Mvutano Mirathi ya Mengi wapamba moto. Abdiel & Benjamin wapinga kutupwa maombi yao na Mahakama ya Rufani

Inavyosomeka hao kinabenjamin walirdhi hisa za marehemu mama yao na hisa za marehemu mengi aliwalisisha. Watoto wake mapacha baada wanandoa hao ambao waligawana hisa zao
 
Naona Kuna mtu atapotezwa muda si mrefu.watu wakichoka usumbufu huchukua maamuzi yasiyo na bugudha na shortcut!!
 
Heri angeendelea kupambana na madame Ritha haya yote yasingetokea
 
Bila kumsahau the late bilionea Mrema wa Ngurdoto, Naura Spring, na Impala hotels Arusha.
Wote hao ngozi ya mkaa inategemea nn? Wahindi sharti kuu wanakatazwa kuoa weusi kuepusha Mbanga dizaini hizi
 
Hii sheria mbona sioni ikimsaidia mtoto wa mpakanjia na amina chifupa(muislamu)na wenzie kwa kudhulumiwa na msimamizi ambaye ni muislamu mwenzao?Kijana kutwa analalamika kwa mange na kesi keshapeleka mahakamani
Sio kama naupendelea Uislamu ila Uislamu umeeleza vzr sana mambo ya mirathi na ukifuata sheria hasaa hakuna atakaelalamika.
kwenye Uislamu ni jambo dogo sana hilo
 
Haya ndio madhara ya wanaume kuvuka stage. Mzee kufika fainali badala ya kutulia, ndio anaanza kuangaika na wadada wa mjini. Mwisho wa siku jina na heshima vinachafuka, na mali zinaweza kwenda hivi hivi tu.

Only simps play themselves by marrying these types of chicks. Just burst a nut and step, if you're not strong enough to resist.
 
Hata taahira hawezi kuamini kama Mengi kaandika ule wosia, yeye kaandikiwa, kapelekewa kitandani wakati anakaribia kukata roho, akaambiwa saini hapa ili upewe rufaa ya matibabu India, akasaini, baada ya kusaini, ndio hivyo tena, wakafanya walilofanya..
 
Sema watoto walizembea kumuacha mzee wao auguzwe na Jacquiline, hata kama alikataa wasingemsikiliza
 
Inavyosomeka hao kinabenjamin walirdhi hisa za marehemu mama yao na hisa za marehemu mengi aliwalisisha. Watoto wake mapacha baada wanandoa hao ambao waligawana hisa zao
Kuna kesi ilitolewa uamuzi wa kuongeza muda wa kufunga mirathi ya Mercy Mengi kwa sababu Mercy Mengi bado anamiliki 35% ya Share katika mali za Reginald Mengi, kwa hiyo wakaomba mahakama iongeze muda ili kusubiri maamuzi ya kesi ya mirathi ya Reginald Mengi, mahakama ilikubali na kuongeza muda wa miezi 6.
 
Kuna Mdau amesema hapo juu kuwa mzee Mengi aliandika kitabu kuhusu maisha yake; akimaanisha kuwa mzee alikuwa na akili kabisa mpaka kuandika kitabu ambacho kilishazinduliwa na kinauzwa mpaka sasa. Huu hauwezi kuwa utetezi wa Jacquiline?
 
Kitabu alikiandika ndani ya mwaka mmoja ?
 
Ukiwa na pesa shida ukiwa masikini shida..Yani tafarani
 
Kitabu alikiandika ndani ya mwaka mmoja ?
Jibu linaweza kuwa hapana, ni zaidi ya mwaka mmoja. Watahoji zile kurasa au habari zilizoandikwa kitabuni kuanzia muda aliotajwa kuwa ni mgonjwa (kama zipo) je ni za kweli au zina mushkeli? Kwamba kitabu ni halali kwa miaka aliyokuwa mzima na sio halali kwa stori zilizoandikwa akiwa mgonjwa?
 
Tufanyaje? Ili kuweza kutoka Hapa
 
Nlisikia nami mda tu ila dogo ni mjinga sana,hata akiongea unajua tu ni hewa...mjomba na mama zake wadogo walikua hawana mia erasto alipokuepo,leo kila mmoja anamiliki kitengo pale SG resort
Huyo dogo anabanduliwa na mzungu?
 
Kuna Mdau amesema hapo juu kuwa mzee Mengi aliandika kitabu kuhusu maisha yake; akimaanisha kuwa mzee alikuwa na akili kabisa mpaka kuandika kitabu ambacho kilishazinduliwa na kinauzwa mpaka sasa. Huu hauwezi kuwa utetezi wa Jacquiline?
Hauwezi sababu wakati anasaini huo wosia alikuwa kitandani, kuna uwezekano wakati anasainishwa hakuwa hata anajua ni nini hasa, most likely aliambiwa saini hapa ili upewe rufaa ya matibabu, na kwakua anataka kupona akasaini, baada ya kusaini wakammaliza. Maana kipindi kile anakaribia kuaga dunia Jacky alimzungushabkwenye vyombo vya habari kufanya publicity stunts ili ionekane wanapendana sana, kumbe ni maandalizi wanafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…