Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Marekani atawafanya Ulaya kuinganisha nguvu kubwa jambo ambalo litapunguza ushawishi wa Marekani.Huku mambo yanawaka wazungu wanasema ifike mahali tuwe na mdomo wa kuongea
Sasa wote wanataka kuongeza budget zao za Ulinzi na kukata misaada ya nchi masikini
Ni mda sasa wa kuwatimua wasiotaka kusikia
Endapo Marekani atajiondoa NATO na kujitenga na Ulaya ajue nguvu na ushawishi wake utapungua.
Kumbuka vita vyote alivyopigana Us, Ufaransa na UL walimuunga mkono