Mvutano mkali kati ya Trump na Zelensky watokea katika Ikulu ya White House

Mvutano mkali kati ya Trump na Zelensky watokea katika Ikulu ya White House

Sio anajiamini kupitiliza

Huo mkataba wa kifedhuli huko ukraine wangemuona mpumbavu na heshima yake ingepotea kabisa Jr ungekuwa ni wewe ungetia saint mkataba huo?
We uliambiwa kuna kitu cha bure duniani, na kama angekuwa hataki kusaini mkataba si angekataa before pale imeonyesha ni jinsi gani alivyo kiburi while anamtrgemea us kwa karibu asilimia 60 kwenye hii vita
 
TAIWAN nawaita tena.

Pataneni na ndugu yenu muwe kitu kimoja.

Xi akimuhakikishia tu Trump atarudi kuwekeza Marekani biashara ya microchips ambayo Trump anailalamikia Taiwan mpaka leo na wakaweka sawa mambo mengine kadhaa kati yao mtaenda na maji hamtakaa muamini.

Pataneni muishi kwa umoja.

Hamtopata ishara nyingine zaidi ya hii.
 
Netanyau awapatanishe
20230426_165053.jpg
 
Kapambania nini mkuu.

Kapambania nini mkuu, mauaji ya askari wa Ukraine one million plus and a few thousand Russia soldiers not forgetting 20 million + displaced Ukrainians bila faida yoyote kwa Ukraine?This stupid boy deserves scorning and shunning.To me Trump is doing the right thing.Viva Trump.
Kipanya44 anakwambia askari wa urusi waliokwisha chinjwa ni laki8 na uupuzi, halafu anamalizia na neno tutazidi kuwachinja. Source that Kiev independent 'the mouth piece of Ukrainian propaganda'
 
We uliambiwa kuna kitu cha bure duniani, na kama angekuwa hataki kusaini mkataba si angekataa before pale imeonyesha ni jinsi gani alivyo kiburi while anamtrgemea us kwa karibu asilimia 60 kwenye hii vita
Trump hakuonyesha busara toka first day hivyo zele kuonyesha kiburi ni haki yake ,hata hivyo Britain na eu watachukua task hio
We uliambiwa kuna kitu cha bure duniani, na kama angekuwa hataki kusaini mkataba si angekataa before pale imeonyesha ni jinsi gani alivyo kiburi while anamtrgemea us kwa karibu asilimia 60 kwenye hii vita
 
Kapambania nini mkuu.

Kapambania nini mkuu, mauaji ya askari wa Ukraine one million plus and a few thousand Russia soldiers not forgetting 20 million + displaced Ukrainians bila faida yoyote kwa Ukraine?This stupid boy deserves scorning and shunning.To me Trump is doing the right thing.Viva Trump.
Tremp anataka madini mzee
Marekani hapigani bure hasha!
Mkono mtupu walambwaje?
Ubakaji upo wa aina nyingi.
 
Uko sahihi mkuu ni wakati wa Africa kujitathmini na pia kuangalia kwa ukaribu kitu kinachoitwa msaada japo naona tumelala wa pono.
Tatizo ni tamaa za baadhi ya viongozi, pindi wanapoona wananchi wao kama wanyama
Hata aje nani hakuna wa kuacha kuomba
Mtu anakuambia deni letu linahimilika tena anakenua meno kabisa
Ila ukimuuliza lini utajitawqla? Hana jibu
 
Kwa hili Tukio Zelensky kaonyesha ujasiri wa hali ya Juu kubishana na Trump pamoja na makamu wake ndani ya white house. Naamini hakuna raisi wa Afrika na hata Europe ambaye angeweza kulifanya hili na kulithibitisha hili angalia mazungumzo ya Trump na waziri mkuu wa Uk na yale ya Trump na Macron

Mwanzoni wakati Zelensky alipoonyesha huu ujasiri mbele ya Putin tulihisi ni kwasababu anapewa kiburi na NATO. Je, huu ujasiri wa sasa anapewa na nani?

Bahati mbaya siyo kila ujasiri utakusaidia. Kuna mstari mwembaba sana unaotenganisha ujasiri na kiburi cha kijinga. Zelensky alitakiwa kupima risk zinazomkabili yeye na nchi yake. Lakini yeye alijali zaidi kuonyesha umwamba wake na kutaka kuonekana yeye ni mkombozi wa Ukraine kutoka katika makucha ya Russia, kitu ambacho ameshashindwa kabisa na naamini vizazi vijavyo vya Ukraine vitamchukulia Zelensky kama raisi mjinga zaidi kuwa kutokea pale Ukraine

N.B
Makosa anayoyafanya Zelensky ndio ambayo yalimuangusha Hitler na Ujerumani yake mpaka kufikia kibaraka na tegemezi kwa marekani.
Bila kusahau makosa kama haya yaliidondosha Japan
Huu ujasiri anaupata kwa kuwa anaijua agenda nzima.He knows what the West is all about.
 
Mabishano Makali Katika Oval Office: Zelensky Aingia Katika Mvutano Mkubwa na Viongozi wa Marekani

Rais DonaldTrump na Rais wa Ukraine #VolodymyrZelensky walikuwa na mivutano mikali wakati walipokutana katika Ikulu ya White House.

Trump na Makamu wake Rais JDVance walionyesha wazi kuwa waliona kwamba Zelensky anapaswa kuwa na shukrani zaidi kwa msaada wa kijeshi na msaada mwingine kutoka Marekani, wakidai kwamba Ukraine "haina kadi" na wanachezea "vita vya tatu vya dunia."

Mivutano hii imekuwa ikiongezeka tangu wiki iliyopita wakati Zelensky alisema kuwa Trump anishi katika "eneo la upotoshaji" lililoumbwa na Urusi, huku Trump akimuita Zelensky "dikteta."
===================

Volodymyr Zelensky arrived at the White House this morning to sign a Mineral Deal with the United States and a VERY LOUD and VERY HEATED argument broke out, inside the Oval Office.

The arguing is so fierce, it can be heard well down the hallways outside the Oval Office!
Numerous sources are reporting that Zelensky started tangling with Vice President JD Vance, asking HIM to come to Ukraine and Vance allegedly replied "I won't take part in another one of your Propaganda Tours."

Zelensky then said a series of things and President Trump was heard telling Zelensky "You don't have the cards, but you're Gambling with World War 3."

This is clearly descending into something Zelensky never expected - or never thought possible - and things are getting very VERY heated right now.

Very soon, Zelensky will be in coffin…!!
 
Why
Naona nchi karibu zote za Ulaya zimemtia moyo Zelensky kuwa wako pamoja naye, psmoja na Australia, Canada.
Kasoro Hungary imemsifia Trump
There is sanity in Hungary.
 
Hatari aisee.

Malumbano makali yalizuka katika Oval Office siku ya Ijumaa kati ya Rais Donald Trump na mwenzake wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, ambaye alitarajia kushawishi Marekani kuendelea kutoa msaada wa kiusalama katika ziara yake jijini Washington.

Wakiwa wamepandisha sauti, Trump na Zelensky — pamoja na Makamu wa Rais JD Vance — walihusika katika mvutano mkali kuhusu aina ya msaada wa Marekani na iwapo Zelensky alikuwa ameonyesha shukrani ya kutosha.


View: https://youtu.be/z2s2pogllis?si=pN-KMPHDGJ-XuXjs

A.I
 
Naona nchi karibu zote za Ulaya zimemtia moyo Zelensky kuwa wako pamoja naye, psmoja na Australia, Canada.
Kasoro Hungary imemsifia Trump
Ametua hapa Stansted kuja kufutwa machozi
Wote wana maslahi na sasa naona kuna nchi watasaini nae huenda
 
Hasa Ujerumani hata hiyu Kansela mpya naye yuko pamoja ma Zele.
Huku mambo yanawaka wazungu wanasema ifike mahali tuwe na mdomo wa kuongea
Sasa wote wanataka kuongeza budget zao za Ulinzi na kukata misaada ya nchi masikini
Ni mda sasa wa kuwatimua wasiotaka kusikia
 
Back
Top Bottom