Ok, a fact by which proofs?That is a truth fact, not an impression.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok, a fact by which proofs?That is a truth fact, not an impression.
EU 😅😅 hii interview ime onyesha kwamba Russia alikua seriouse amalize vita within few days lakini baada ya US na EU kuingia ika mbidli pia apungue nguvu kuendana naoAkili hana
Nani anampa jeuri hii, anajiamini kupitiliza while he got nothing
Kwa style hii inaonekana kama hakuna watu wa press,viongozi wetu wa Africa huwa wanakula hata makofi ila inabakia kuwa siri tu...Mabishano Makali Katika Oval Office: Zelensky Aingia Katika Mvutano Mkubwa na Viongozi wa Marekani
Rais DonaldTrump na Rais wa Ukraine #VolodymyrZelensky walikuwa na mivutano mikali wakati walipokutana katika Ikulu ya White House.
Trump na Makamu wake Rais JDVance walionyesha wazi kuwa waliona kwamba Zelensky anapaswa kuwa na shukrani zaidi kwa msaada wa kijeshi na msaada mwingine kutoka Marekani, wakidai kwamba Ukraine "haina kadi" na wanachezea "vita vya tatu vya dunia."
Mivutano hii imekuwa ikiongezeka tangu wiki iliyopita wakati Zelensky alisema kuwa Trump anishi katika "eneo la upotoshaji" lililoumbwa na Urusi, huku Trump akimuita Zelensky "dikteta."
===================
Volodymyr Zelensky arrived at the White House this morning to sign a Mineral Deal with the United States and a VERY LOUD and VERY HEATED argument broke out, inside the Oval Office.
The arguing is so fierce, it can be heard well down the hallways outside the Oval Office!
Numerous sources are reporting that Zelensky started tangling with Vice President JD Vance, asking HIM to come to Ukraine and Vance allegedly replied "I won't take part in another one of your Propaganda Tours."
Zelensky then said a series of things and President Trump was heard telling Zelensky "You don't have the cards, but you're Gambling with World War 3."
This is clearly descending into something Zelensky never expected - or never thought possible - and things are getting very VERY heated right now.
Hatari sana utajiri, American citizen, white supremacy vyote vinaunda jeuri ndani ya kichwa cha Trump so hana muda wa kusikiliza anataka ufuate maelekezo. Zelensky yuko emotional anataka aeleze previous deals zilivo fell na kumlaani Putin, Trump anataka amwage signature ili waanze kumpelemba Putin and I'm sure wataenda kwa step sio kumsasambua kama huyu wa Ukraine. Halafu pia language barrier huwezi shindana na huyo Rubio anaongea kama kameza 💿. Anakwambia the only person on planet anaweza kuleta piece Ukraine ni mmoja nae ni Trump dharau iliyoje. Uk kwa unafki atakuwa pembeni anaangalia uelekeo wa hili saga huku anaendelea na mambo yake.Haswa
Tena waafrika wengi hawajielewi
Wao wanadhalilika na mwisho wa siku wanagawana wao
Haiwezekani miaka 70 unapewa tu za kujikimu
Ila Trump ana majibu makali sana anawafaa wanaoenda kuomba
Na EU wanaanza kukata misaada na kuwekeza kwenye Ulinzi zaidi
The continuous conflict in Ukraine is easy evidence of that. Are you aware of Putin's motivations for attacking Ukraine?Ok, a fact by which proofs?
Aliyekosa ustaarabu ni Zelensky au Trump? Kwangu naona Zelensky aliji control sana. Mitandaoni watu wanamponda sana Trump kwa hii issue.Ni wazi kabisa Zelensky hakuwa sawa kabisa kichwani, unaweza kusema kuwa ni kama vile alikuwa ametumia bangi maana alikosa kabisa ustaarabu wa kuzungumza na Rais wa nchi ndani ya WHITE HOUSE na hivyo aliamuriwa kuondoka na aliambiwa anaweza kuja siku nyingine atakapo kuwa sawa.
Bangi sio kitu kizuri...tujiepushe na matumizi ya bangi na aina zingine za madawa ya kulevya kwani yanaharibu akili.
Wewe ndio unayemuona mjinga. Mwizi akiingia nyumbani kwako anataka kumbaka hata mkeo utamwangalia tu kwa sababu ana silaha kukushinda?Hapa ndipo linapokuja swali muhimu: Kwa nini ulipigana wakati hauna nguvu ya kupigana?
Ameshaiharibu nchi kwa sasa!
Na ndiyo maana watu wanamuona ni mjinga, hawamheshimu.
Well so are the african presidents too, selected not elected. But circle it doesnt end there.You must first understand that presidents in the West are selected, not elected. Who then select them, and why?
Tatizo ProNATO mnajitoa akili. Marekani kukataa Russia kuweka silaha pale Cuba mnaona sawa ila Russia kukataa Ukraine isijiunge NATO mnaoana Ukraine anaingiliwa uhuru wake na kunyanyaswa.baada ya kuvamiwa ulitaka afanyeje? jibu bila mihemuko.
Kwanini zele kaondoka katika kikao inamaana angekuwa anafaidika na hii dili asingetoka hivyo akubali kupambana mpaka mwisho ashindwe uwanjani sio kulazimishwa deal ambayo itamnyonya Ukraine siku zote kisa msaada ambao sio msaada ni mkopo wa kihuniAtakiwasha vipi sasa endapo mfadhili wake mkuu ataamua kumnyima misaada ujue comments zenu kuna wakati zina chekesha sana 🤣🤣🤣
Kitendo cha Zelensky kutaka Ukraine ijiunge NATO maana yake alikuwa tayari kupiganaMkuu Zele hakuchagua kupigana ujue.
You mean Ukrainians are not allowed to choose who to be friends with only because of insecure neighbour?The continuous conflict in Ukraine is easy evidence of that. Are you aware of Putin's motivations for attacking Ukraine?
Cuba hakuwa anafikiria tu kuweka silaha za Urusi bali alishaziweka, tofauti na Ukraine ambae alikuwa anawaza tu kujiunga na NATO. US haikuivamia Cuba bali Urusi imeivamia Ukraine. Hizi ni tofauti 2 kubwa.Tatizo ProNATO mnajitoa akili. Marekani kukataa Russia kuweka silaha pale Cuba mnaona sawa ila Russia kukataa Ukraine isijiunge NATO mnaoana Ukraine anaingiliwa uhuru wake na kunyanyaswa.
Alichotakiwa kufanya Zelensky kilikuwa kile ambacho kimetanywa na maraisi wote wa Ukraine waliontangulia, ambacho ni kukaa mbali na NATO.
Narudia tena UKRAINE INGEKAA MBALI NA NATO Crimea isingemegwa wala hii vita ya sasa isingetokea.
you ought to realize that those presidents serve their real owners, who chose them rather than their constituents. They are able to do anything, including instigate conflicts for the gain of their owners, who profit from the production of weapons.Well so are the african presidents too, selected not elected. But circle it doesnt end there.
But there is more, shed more light?
They are free to choose, but not in the manner that they do. You should also be aware of the number of biolabs that have been set up in Ukraine and their effects on global health security.You mean Ukrainians are not allowed to choose who to be friends with only because of insecure neighbour?
Kabla ya kuvamiwa, alipaswa kufanyaje? Jibu bila mhemko. Zingatia pia uchochezi na ushawishi wa Boris Johnson.baada ya kuvamiwa ulitaka afanyeje? jibu bila mihemuko.
Wee jamaa so kwa akili yako namna ulivyo tizama ile clip unaamini kwamba trump na Jd vence walimuita zele kwa lengo la ku- negotiate nae kuhusu mkataba wa kumaliza vita kweli ?? Hauoni kwamba lengo lao lilikuwa ni kumdhalilisha na kuzidi kumtisha Maana kama wangekuwa na lengo hilo kweli wasinge fanya kile walichokifanya , Trump anajua kwamba hata zele akikataa kuingia mkataba ambao yeye anautaka still uwezo wa kuyachukua hayo madini anao so walicho kifanya ni kumdhalilisha tu Ili apate kutambua kwamba yeye sio lolote wala chochote kwaoKwanini zele kaondoka katika kikao inamaana angekuwa anafaidika na hii dili asingetoka hivyo akubali kupambana mpaka mwisho ashindwe uwanjani sio kulazimishwa deal ambayo itamnyonya Ukraine siku zote kisa msaada ambao sio msaada ni mkopo wa kihuni
Marekani alidhani Russia ingeshindwa vita, ili yeye aikalie Ukreni na kuhonyoa rasilimali zake. Ila ngoma imebuma.Nimeshangazwa na maoni ya baadhi ya members ni kama source ya hii vita imekuwa twisted. Huyo Russia yeye kashachukua part ya reserve ya hayo wanayogombea akina Trump. Na tatizo la hawa powerful countries hujui nani yuko na nani kwa hiyo kutumbukia shimoni ni sekunde tuu. Binafsi simlaum Zelensky sababu alivamiwa. Na Putin kasema hii vita haitakwisha bali itapumzika.