Mvutano mkali kati ya Trump na Zelensky watokea katika Ikulu ya White House

Mvutano mkali kati ya Trump na Zelensky watokea katika Ikulu ya White House

😄😄😄 yaani unaweza fikiri kama hichi kikao si cha marais ,ila kiukweli zelensky ni comedian lakini hata Trump naye kuna kitu hakipo sawa kuwa kiongozi wa taifa kubwa kama Marekani maana anachokifanya Trump ni kuonesha mataifa mengine kutoiamini Marekani katika jambo lolote.
Wamarekani wanaon Trump anawafaa kuwa rais kwa mara ya pili ila ww msambaa wa bumbuli unaona Trump hafai kuwa Rais wa Us.
 
Wamarekani wanaon Trump anawafaa kuwa rais kwa mara ya pili ila ww msambaa wa bumbuli unaona Trump hafai kuwa Rais wa Us.
Yani kuna watu wanashida kwenye uwezo wa kufikiri. Wamarekani wenyw nchi yak wamechagua kwa kishindo then mbongo mmoja hiv anaona kam hawajielewi
 
Ni wazi kabisa Zelensky hakuwa sawa kabisa kichwani, unaweza kusema kuwa ni kama vile alikuwa ametumia bangi maana alikosa kabisa ustaarabu wa kuzungumza na Rais wa nchi ndani ya WHITE HOUSE na hivyo aliamuriwa kuondoka na aliambiwa anaweza kuja siku nyingine atakapo kuwa sawa.
Bangi sio kitu kizuri...tujiepushe na matumizi ya bangi na aina zingine za madawa ya kulevya kwani yanaharibu akili.
 
Zele ni mwamba sana! Trump mshamba tu hatamaliza miaka 4 hapo! mark my word
 
Ni wazi kabisa Zelensky hakuwa sawa kabisa kichwani, unaweza kusema kuwa ni kama vile alikuwa ametumia bangi maana alikosa kabisa ustaarabu wa kuzungumza na Rais wa nchi ndani ya WHITE HOUSE na hivyo aliamuriwa kuondoka na aliambiwa anaweza kuja siku nyingine atakapo kuwa sawa.
Bangi sio kitu kizuri...tujiepushe na matumizi ya bangi na aina zingine za madawa ya kulevya kwani yanaharibu akili.

Wewe unavyoona yale yalikuwa ni kikao Cha Majadiliano ya kidiplomasia kati ya MaRais wa Nchi hiyo Mbili tofaufi au ilikuwa ni ugomvi wa Walevi wa pombe katika Klabu ya pombe za kienyeji?
 
Hapa umetoa boko aisee. Putin hana haja na ardhi ya mtu. Kinachoitokea Ukraine ni kitendo chake cha kutaka kumletea Russia adui sebuleni kwake. Hayo mengine uliyoandika ni mihemuko yako tu ya kuwa pro-west.
Kwahiyo mkuu mtaani kwako jirani yako ana mamlaka ya kukupangia nani anapaswa kuwa rafiki yako na nani hapaswi?
 
Unajifurahisha mkuu.Yaani Ukrainians are proud of a man who has led to the slaughter of 1 million plus Ukrainian soldiers and flight of 20 million plus Ukrainians?That surely can't be.
Mkuu what was he supposed to do? Bend over to Putin and handover Ukraine to him?
 
Kapambania nini mkuu.

Kapambania nini mkuu, mauaji ya askari wa Ukraine one million plus and a few thousand Russia soldiers not forgetting 20 million + displaced Ukrainians bila faida yoyote kwa Ukraine?This stupid boy deserves scorning and shunning.To me Trump is doing the right thing.Viva Trump.
baada ya kuvamiwa ulitaka afanyeje? jibu bila mihemuko.
 
Its sad jinsi wanavyoionyesha dunia kuwa wameshikilia hatma ya wananchi wa Ukraine. No free lunch huu msemo unatakiwa kutiliwa mkazo na kila mwenye akili timamu
Haswa
Tena waafrika wengi hawajielewi
Wao wanadhalilika na mwisho wa siku wanagawana wao

Haiwezekani miaka 70 unapewa tu za kujikimu
Ila Trump ana majibu makali sana anawafaa wanaoenda kuomba
Na EU wanaanza kukata misaada na kuwekeza kwenye Ulinzi zaidi
 
Hapa ndipo linapokuja swali muhimu: Kwa nini ulipigana wakati hauna nguvu ya kupigana?

Ameshaiharibu nchi kwa sasa!

Na ndiyo maana watu wanamuona ni mjinga, hawamheshimu.
Mtu anakuja nyumbani kwako anajichagulia kimabavu chumba hiki na hiki ni vyangu, baba mwenye nyumba utakubali hilo?
 
Dogo alijipanga mkuu na kabla ya kuja alikutana na jamaa WA Eu wakamwonya mapema HUYO hana issue

Kifupi mkuu HATA eu NATO nao Wana MASLAHI makubwa pale Ukraine usione wajinga Wana control VYUMBA vya jeshi ykahisi wanalinda dada zaooo

KUNA mizigo inatoka kila siku KWENDA kwao huko

Haikuwa rahisi kumuumiza kichwa zelesnky kiujumla trump ndio kaaibika

Makaratasi kapeleka toilet hakasafishsie chooo na nahisis trump kukasirika vile alijibiwa hio mikataba peleka choon wakatawazie akapanic

HATA rate anayorudia aendi Ukraine mojakwamoja.......
Hakuna nchi za mabeberu wasioangalia maslahi yao
Angalia mazungumzo ya Trump na Kier Starmer yalikuwaje
Hata yeye kabamizwa sana
EU Wana maslahi makubwa sana na wameingiza hela na silaha nyingi sana
 
Nawashauri Watanzania ambao hawajaitizama Video yote, mwanzo mpaka mwisho, waitizame.

Form your own opinion and perspective.

Hata hivyo Watanzania mtagundua tunalishwa matango pori na propaganda za mrengo wa kulia na wakuzaji wa himaya za Wazungu. White Supremacist.
Nimeshangazwa na maoni ya baadhi ya members ni kama source ya hii vita imekuwa twisted. Huyo Russia yeye kashachukua part ya reserve ya hayo wanayogombea akina Trump. Na tatizo la hawa powerful countries hujui nani yuko na nani kwa hiyo kutumbukia shimoni ni sekunde tuu. Binafsi simlaum Zelensky sababu alivamiwa. Na Putin kasema hii vita haitakwisha bali itapumzika.
 
Back
Top Bottom