Mvutano mkali kati ya Trump na Zelensky watokea katika Ikulu ya White House

Mvutano mkali kati ya Trump na Zelensky watokea katika Ikulu ya White House

Trump na Zelenskyy ni paka na panya
Siyo paka na panya, bali maslahi yanatafutwa.
Haujapita hata mwezi tangu Trump alipomweta Zele dictator, Zele amasema tu tayari kufanya Kazi na Us kuchimba rare earth metals then Trump amasema tena Zere ni kiongozi jasiri hajuwi kwanini alimwita dictator.
 
Huu ni mtazamo wako. Mfano wako wa ushoga ni irrelevant.
Hivi aliyevuka mipaka na kumshambulia nwenzie ni nani?
Je ni nani aliyekaribisha majeshi ya Nato kuja karibu na Russia??? Huu ni mgogoro wa kijinga sana na watu tumependikizwa ujinga ujinga
 
Nawashauri Watanzania ambao hawajaitizama Video yote, mwanzo mpaka mwisho, waitizame.

Form your own opinion and perspective.

Hata hivyo Watanzania mtagundua tunalishwa matango pori na propaganda za mrengo wa kulia na wakuzaji wa himaya za Wazungu. White Supremacist.
Ukiitizama utagundua kuwa jamaa walijiandaa kumvuruga, kumshusha, kumwambia bila wao yeye hawezi kuwe exist. Kisha wamwelekeze kufanya wanachokitaka.
 
Tangu mwanzo wa Ubinadamu hiyo ndiyo ajenda mkuu.
 
Ukiitizama utagundua kuwa jamaa walijiandaa kumvuruga, kumshusha, kumwambia bila wao yeye hawezi kuwe exist. Kisha wamwelekeze kufanya wanachokitaka.
Very true Mkulu. Yule mwandishi wa kumuuliza "kwanini hujavaa suti" ndie aliyechokonoa jazba zake.

Halafu akafuatia na JD makamu wa rais kwa kumgaslight.

Mbinu hizi hata hapa JF wanazitumia sana baadhi ya propagandist na spin doctors.

Usipokaa makini na kugundua haraka wanachokufanyia, utajikuta kama Zelenski.

Kwa kifupi wamempiga vita za kisaikilojia.
 
Kama pamoja na misaada ya mabilion ya $ kutoka Marekani bado Urusi ilikuwa inateka maeneo vipi hujiulizi hiyo misaada ikikatwa?
Amewachefua alipowaambia future ya Marekani inaweza kuwa mbaya vilevile.
 
Wewe utakuwa shoga mkuu. Je ni nani aliyekaribisha majeshi ya Nato kuja karibu na Russia??? Huu ni mgogoro wa kijinga sana na watu mmependikizwa ujinga ujinga
Kwa mtazamo wako mimi nishoga mkuu. Ninasisitiza tena ktkt mjadala huu issue ya ushoga ni irrelevant x1000 na zaidi. Ushoga nauchukia lkn si kwa kuutaja hata pasipostahili kama ufanyavyo.
Back to topic. Russia anawajibika kulinda mipaka yake, majeshi gani ya nato yalipelekwa pale?. Krimea ilichukuliwa Ukraine hakureact kwa vita, Russia akaitaka Ukraine yote ndo Ukraine akaamuwa kujipigania. Isa nyie ambao mnataka mwenye nguvu ammeze dhaifu ni dunia ya namna gani mnayoitaka?
 
Tangu mwanzo wa Ubinadamu hiyo ndiyo ajenda mkuu.
inategemea unaangalia kwa upande gani.

as a Homo sapien or as a Neanderthral.

nevertheless binadamu hajaacha kuwa mnyama, mkatili na territorial.

Hii NWO ni ile ya watu wa Baltic;na sio tangia mwanzo wa ubinadamu-ni mtazamo wangu huo.
 
Upo uwezekano Zelensky kaagizwa na nchi za EU kukataa matakwa ya Trump...nina uhakika kwa asilimia 100% kuwa EU NDIYO WAMEMPA MWONGOZO ZELENSKY WA KUFANYA HIVYO.
Watamlinda ?? Maana sio wanaishia kumjaza upepo tu 🤣
 
Kwa mtazamo wako mimi nishoga mkuu. Ninasisitiza tena ktkt mjadala huu issue ya ushoga ni irrelevant x1000 na zaidi. Ushoga nauchukia lkn si kwa kuutaja hata pasipostahili kama ufanyavyo.
Back to topic. Russia anawajibika kulinda mipaka yake, majeshi gani ya nato yalipelekwa pale?. Krimea ilichukuliwa Ukraine hakureact kwa vita, Russia akaitaka Ukraine yote ndo Ukraine akaamuwa kujipigania. Isa nyie ambao mnataka mwenye nguvu ammeze dhaifu ni dunia ya namna gani mnayoitaka?
Dah samahani sana bosi mkubwa naenda kufuta maelezo yangu. Sema mi nimeishi na hao jamaa, kiukweli wazungu wamekuwa wajinga sana. Yaani mfano ikitokea kitu eti wanataka kila mtu akubaliane kama wanavyoona wao. Hebu cheki wanalazimisha eti watoto wadogo wabadili jinsia hahah. Nisamehe sana bosi
 
Umaskini mbaya sana. Ukraine imevamiwa, baadhi ya maeneo yake yamechuliwa na Urusi. Trump ameshaonyesha upande kuwa yupo na Urusi. Zelensky alitegemea kusign deal la madini in exchange for Security guarantees...lakini wapi. Trump na Vance wanamuita stupid president...dah
What a situation Europe and Zelensky is??? Mpaka miaka 4 ya Trump iishe, dunia itakuwa mshikemshike sana
 
.😂😂😂
🎶🎵 ...and another one🤜🤛

..some but not everyone of them trends.

And some as you pointed out, are created solely for that purpose.
Absolutely....

And the sheep's will believe it 😂
 
Back
Top Bottom