Mvutano mkali kati ya Trump na Zelensky watokea katika Ikulu ya White House

Mvutano mkali kati ya Trump na Zelensky watokea katika Ikulu ya White House

Mwanaume rijali ndio unatakiwa uwe kama Zelesky, sio kwasababu una pesa na nguvu unataka Kila mtu akija kwako akulambe lambe miguu ni ujinga.

Safi sana mh Zelesky umewafuata nyumbn kwao na kuwaonyesha uanaume.
 
baada ya kuvamiwa ulitaka afanyeje? jibu bila mihemuko.
I repeat ,tafuta taarifa,soma ili ujue chanzo cha mgogoro huo.Chanzo sio what you here in the Western media.Kama kavamiwa, swala la ku-sign mikata ya madini imetoka wapi.Wake up.
 
Nahisi watamuondoa very soon.Ukraine kama Ukraine inahitaji complete overhaul.Kwa yanayoendelea sasa kati ya US na Russia,something major is in the offing with regards to Ukraine ana Zelensky.
Too late kumuondoa, kwenye hili europe and america hawako katika page moja, wamechelewa sana
 
Aisee bora kasimamia anachoamini ingekuwa kiongozi wa kiafrika ungekuta mkataba wa kipuuzi ushasainiwa zamani
Zele kaonyesha kuwa haijalisha una nguvu ndogo kiasi gani, haijalishi shida ulizokuwa nazo ni bora kuwa na msimamo.
Trump alifikiri angepata kitonga
Kiongoz wa kiafrika angekuja na kampeni ya kusifia mkataba huo, hawanaga uzalendo (japo si wote)
 
Naamn Zelenski anajuta kwasasa.

Jamaa linamfanyia kama vile toy tu sio Rais wa Ukraine.
Tabia ya toy unaweza kulifanya utakalo na wala lisilalamike.

Je, umeona tabia hiyo kwa Zele?
 
Back
Top Bottom