Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 7,745
- 11,267
EUAkili hana
Nani anampa jeuri hii, anajiamini kupitiliza while he got nothing
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EUAkili hana
Nani anampa jeuri hii, anajiamini kupitiliza while he got nothing
Nikionaga argument za kitoto namna hii kwenye huu mgogoro hua nasikitika naishia kublock, mnafuatiliaga hata mambo madogo madogo nyie?Kwahiyo mkuu mtaani kwako jirani yako ana mamlaka ya kukupangia nani anapaswa kuwa rafiki yako na nani hapaswi?
Huyo ni aina ya wanaume ambao mwizi kaingia ndani kwake yeye ataikimbia familia huku akisema kaka jambazi wewe endelea na yako tuWewe ndio unayemuona mjinga. Mwizi akiingia nyumbani kwako anataka kumbaka hata mkeo utamwangalia tu kwa sababu ana silaha kukushinda?
No offence, hili ni swali la kijinga kabisa linalopaswa kuulizwa na mtu alieanza kuufuatilia huu mgogoro leo.Mkuu what was he supposed to do? Bend over to Putin and handover Ukraine to him?
Mkuu nakuomba kuanzia sasa futa taarifa zote uliwahi kusikia na kuziamini kuhusu dunia kupitia CNN,BBC, The New York Times, NK...tumelishwa Sana uongo hadi chanzo cha vita yetu na Idd Amin ilikuwa ni uongo,Trump taperi... hata Kwa Israel kasaidia kisha anataitaka Gaza iwe yake.. hahahaha... Kwa Taleban anataka silaha zake waliobahatika kina Biden so kuna anachotaka Afghanstan
Ningemwona mwamba kama angekataa upuuzi wa Boris Johnson na NATO, halafu wakafanya mazungumzo na Putin ili kuweka mambo sawa KABLA YA VITA.Zelensiky kaonyesha umwamba sio uingie mikataba ya kipumbavu kama ya DP world ushangilie tu inatakiwa ujue manufaa ya nchi yako kwanza
US ni mbabe kwa nguvu alizowekeza dunianiHatari sana utajiri, American citizen, white supremacy vyote vinaunda jeuri ndani ya kichwa cha Trump so hana muda wa kusikiliza anataka ufuate maelekezo. Zelensky yuko emotional anataka aeleze previous deals zilivo fell na kumlaani Putin, Trump anataka amwage signature ili waanze kumpelemba Putin and I'm sure wataenda kwa step sio kumsasambua kama huyu wa Ukraine. Halafu pia language barrier huwezi shindana na huyo Rubio anaongea kama kameza 💿. Anakwambia the only person on planet anaweza kuleta piece Ukraine ni mmoja nae ni Trump dharau iliyoje. Uk kwa unafki atakuwa pembeni anaangalia uelekeo wa hili saga huku anaendelea na mambo yake.
Uko sahihi mkuu ni wakati wa Africa kujitathmini na pia kuangalia kwa ukaribu kitu kinachoitwa msaada japo naona tumelala wa pono.US ni mbabe kwa nguvu alizowekeza duniani
Trump anaangalia maslahi zaidi
European union lazima wajipange
Naona wameitisha nchi zote za Ulaya sio tu nchi wanachama bali wote wa ulaya
Wanasema safe in numbers 😄
Mkuu kwanza kabisa mtu yuko katika vita unamtaka a sign big deals kama hii 🇺🇸 ni kuwa abusive towards him, but who cares. Na wao kutokuchimba hayo madini ni sababu yanataka investment kubwa so 🇺🇸 wana take advantage ya kusema kuwa imekuwa ikimsaidia na hana utetezi sababu amekuwa akiomba. Cha msingi hapo labda aangalie jinsi ya Ukraine kufaidika japo ndio hivo tunarudi kule kule Trump anatumia nguvu na jeuri za 🇺🇸 kitu ambacho hakimpi Zelensky uwanja mkubwa wa kuwa na maamuzi ukizingatia kuwa kuwa ameshachoshwa na vita. Ni kama kuruka moto na kukanyaga jivu. Ukizingatia hiyo mikataba inakuwa mirefuKwa hili Tukio Zelensky kaonyesha ujasiri wa hali ya Juu kubishana na Trump pamoja na makamu wake ndani ya white house. Naamini hakuna raisi wa Afrika na hata Europe ambaye angeweza kulifanya hili na kulithibitisha hili angalia mazungumzo ya Trump na waziri mkuu wa Uk na yale ya Trump na Macron
Mwanzoni wakati Zelensky alipoonyesha huu ujasiri mbele ya Putin tulihisi ni kwasababu anapewa kiburi na NATO. Je, huu ujasiri wa sasa anapewa na nani?
Bahati mbaya siyo kila ujasiri utakusaidia. Kuna mstari mwembaba sana unaotenganisha ujasiri na kiburi cha kijinga. Zelensky alitakiwa kupima risk zinazomkabili yeye na nchi yake. Lakini yeye alijali zaidi kuonyesha umwamba wake na kutaka kuonekana yeye ni mkombozi wa Ukraine kutoka katika makucha ya Russia, kitu ambacho ameshashindwa kabisa na naamini vizazi vijavyo vya Ukraine vitamchukulia Zelensky kama raisi mjinga zaidi kuwa kutokea pale Ukraine
N.B
Makosa anayoyafanya Zelensky ndio ambayo yalimuangusha Hitler na Ujerumani yake mpaka kufikia kibaraka na tegemezi kwa marekani.
Bila kusahau makosa kama haya yaliidondosha Japan
Kinachomuuma Trump ni free lunch aliyokuwa akipewa Zelenskyy. Jamaa anataka marejesho yenye riba.🤣🤣🤣ishindwe mara ngapi kuichukua? kama Trump kinamuuma ana hiyari pia ya kuacha kutoa silaha vilevile maana hajalazimishwa kuitoa.
Ni wazi alimchukia zaidi pale alipoalikwa na biden na akaenda kuipigia kampeni democrat kule pennysilvaniaKwa nini ni paka na panya.
Chuki yao pia imeongezeka hasa kile kipindi Cha kampeni ambapo Zele alimpigia kampeni Harris kule pennysilvaniaSiyo paka na panya, bali maslahi yanatafutwa.
Haujapita hata mwezi tangu Trump alipomweta Zele dictator, Zele amasema tu tayari kufanya Kazi na Us kuchimba rare earth metals then Trump amasema tena Zere ni kiongozi jasiri hajuwi kwanini alimwita dictator.
Kuwa Na Akiba Ya Maneno Zele Kesho Akabadilika Na Kuwa Kondoo Uwezi Kujitutumuwa Kwa....Mwanaume rijali ndio unatakiwa uwe kama Zelesky, sio kwasababu una pesa na nguvu unataka Kila mtu akija kwako akulambe lambe miguu ni ujinga.
Safi sana mh Zelesky umewafuata nyumbn kwao ni kuwaonyesha uanaume.
Sio anajiamini kupitilizaAkili hana
Nani anampa jeuri hii, anajiamini kupitiliza while he got nothing
Mkuu ni hivii,Marekani kama watasitisha msaada wao kwa Ukraine,the war will be over,Ulaya hawana kitu,wanajitutumua tu.US ni mbabe kwa nguvu alizowekeza duniani
Trump anaangalia maslahi zaidi
European union lazima wajipange
Naona wameitisha nchi zote za Ulaya sio tu nchi wanachama bali wote wa ulaya
Wanasema safe in numbers 😄
Realy huyu jamaa ni kiburi sana, jana hakukua na haja ya kubishana maana hata vance alianza kuongea kistaarabu ila akawa anamkatishaEU 😅😅 hii interview ime onyesha kwamba Russia alikua seriouse amalize vita within few days lakini baada ya US na EU kuingia ika mbidli pia apungue nguvu kuendana nao