Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka wa 3 kishajua atapambaba vipiUkweli ni kwamba hawezi kushinda vita kweli.
Hana silaha, silaha anazotumia zote zinatoka USA.
Hana satellite ya kijeshi sasa atatumia vipi hiyo misaada ya silaha anayopatiwa na Marekani mfano mizinga hizo coordination za kupiga eneo husika atatumia nini?
Makombora ya USA yanatumia mfumo wa GPS na alipatiwa msaada na satellite za Elon Musk.
Akinyimwa hivyo vyote hawezi kupigana nchi itaendelea kumegwa na Russia.
Sasa achague moja, akubali dili na USA ili sehemu ya nchi yake ibaki au nchi yake iendelee kumegwa na Russia?
Kwani Assad alikuwa anapewa msaada na marekani?Ukraine haiwezi kushinda hiyo vita.
Mpaka kufikia hapa tokea vita ianze, imebebwa sana na Marekani.
Marekani akiamua kuchomoa msaada, yaliyomkuta Assad yatamkuta Zelenskyy.
Mama weee!!
Zele ni shujaa na hawakutegemea msimamo imara kama ule, tena ndani ya White house. Trump na Vance wameaibika sana kukosa mkataba wa ajabu ajabu wa madini.Trump alimuaunderstamate jamaa wakihisi kijinga litapewa tu mkataba lisaini ovyo
Urusi.Kwani Assad alikuwa anapewa msaada na marekani?
Miaka 3 yote hiyo kapambana kwa misaada.Mwaka wa 3 kishajua atapambaba vipi
Mkuu kwa congo hawaitiki sababu wanachukua madini kupitia hao M23Maisha hayaaa
Tshesekedi kapeleka maombi Jana mara ya nnea kwa Marekani wawape migodi ya dhahaabu wawasaidie ulinzi na kujenga ukuta jamaa WAMEKAA kimyaa
Leo wameishia kumkumbushia wanataka watu wao waliopigwa na risasi kwanza....
Nasema hivi M23 nyuma kuna wengi sana na hili SWALA kwangu topic closed sitongelea Tena Hawa M23 loh
Nimemuona Huruma Huyu mtu
Jamaa kawa Kama Jibwa fulani
kakosa Heshima wanamuona kama Jinga Fulani hivi
umasikini Mbaya sana
View: https://x.com/BRICSinfo/status/1895536558452904031?t=p-D0Oe1zDp7MzwMdxDzu_w&s=19
Yule raisi wa Ukraine ameingia 18 za wanaotaka mali za nchi yake nae amekubali,wakampatia silaha za mkopo,hela hana zakuwarejeshea sasa wanamlazimisha asaini ili iwe mbadala wa ulinzi,ulaya yote kl mtu anazitaka hizo mali.Mabishano Makali Katika Oval Office: Zelensky Aingia Katika Mvutano Mkubwa na Viongozi wa Marekani
Rais DonaldTrump na Rais wa Ukraine #VolodymyrZelensky walikuwa na mivutano mikali wakati walipokutana katika Ikulu ya White House.
Trump na Makamu wake Rais JDVance walionyesha wazi kuwa waliona kwamba Zelensky anapaswa kuwa na shukrani zaidi kwa msaada wa kijeshi na msaada mwingine kutoka Marekani, wakidai kwamba Ukraine "haina kadi" na wanachezea "vita vya tatu vya dunia."
Mivutano hii imekuwa ikiongezeka tangu wiki iliyopita wakati Zelensky alisema kuwa Trump anishi katika "eneo la upotoshaji" lililoumbwa na Urusi, huku Trump akimuita Zelensky "dikteta."
===================
Volodymyr Zelensky arrived at the White House this morning to sign a Mineral Deal with the United States and a VERY LOUD and VERY HEATED argument broke out, inside the Oval Office.
The arguing is so fierce, it can be heard well down the hallways outside the Oval Office!
Numerous sources are reporting that Zelensky started tangling with Vice President JD Vance, asking HIM to come to Ukraine and Vance allegedly replied "I won't take part in another one of your Propaganda Tours."
Zelensky then said a series of things and President Trump was heard telling Zelensky "You don't have the cards, but you're Gambling with World War 3."
This is clearly descending into something Zelensky never expected - or never thought possible - and things are getting very VERY heated right now.
Ndiyo apigane mwenyewe asiende kuomba omba Marekani amsaidie.Zelensiky kaonyesha umwamba sio uingie mikataba ya kipumbavu kama ya DP world ushangilie tu inatakiwa ujue manufaa ya nchi yako kwanza
Unajifurahisha mkuu.Yaani Ukrainians are proud of a man who has led to the slaughter of 1 million plus Ukrainian soldiers and flight of 20 million plus Ukrainians?That surely can't be.Big up Zelensky.. Ukrainian are proud of you... Simama imara Putin mwenyewe kachoka
Kwa alichomfanyia Trump akubaliane na Putin aichukue nchi yeye aachie ngazi.Sasa ndiyo aamue: Imma nchi ichukuliwe na Russia au akubali dili na Marekani?
Huyo bado ulaya inamsaidia Sasa madini hatawapa ulaya. Na USA atapunguza nguvu zake duniani maana mataifa mengi yataacha kumuangalia na kuanza kujidhatiti kivyao na hiyo itafanya USA kujiunga na china na russia north Korea na kutengeneza uharibifu wa dunia hiiHuyu mjinga angekubali tu uhalisia kuwa alitumika kama toilet paper na sasa ana mavi na hashikiki tena. Uzuri Trump hana mbambamba. Sign mkataba USA aje apigane nchini kwako kwa faida, yaan kuchimba na kuondoka na madini. Au ulete ujuaji tumwachie Mrusi amalize kazi yake, amani ipatikane.
Kwa Nini isiwe wewe ndio umeshiba propaganda za NATO/USA/EU!??HACHA UBISHANI WA KIJINGA INAONEKA HUELEWI THE ROOT OF THE WAR WEWE UMESHOBISHWA PROPAGANDA ZA URUSI
Uchambuzi wako ni sahihi mkuu.jamaa kabanwa mbavu kweli kweli.Yule raisi wa Ukraine ameingia 18 za wanaotaka mali za nchi yake nae amekubali,wakampatia silaha za mkopo,hela hana zakuwarejeshea sasa wanamlazimisha asaini ili iwe mbadala wa ulinzi,ulaya yote kl mtu anazitaka hizo mali.
Ulaya wanataka vita iendelee kwakua wanachukua mali kimya kimya,wanajua vita ikiisha wao watakua na hasara,Trump anataka kuwazidi wenzake kwakubeba mali kitu ambacho ulaya haipo tayari
Akili za kipumbavu kabisa hizo.... Urusi hajawai kuwa na ajenda za kuteka nchi ukiona anateka nchi yoyote ujue kachokozwa sana ndiyo maana ajawai kuwa na makoloni hata africa au India na Asia bila ya sababu nchi zilizo kuwa na tabia hiyo ni nchi za ulaya wao wanavamia tu na kuua duniani kote kuvamia na kutwaaa makoloni ...kama urussi ingekuwa na hiyo ajenda isinge kubali kuiachia UJERUMANI kumbuka kuwa ugerumani ilikatwa mapande mawili moja la urussi na moja ya nchi washirika wa USA NA UINGEREZA ....Usalama wa Ukraine ndio Usalama wa bara lote la Ulaya, hususani Ulaya Magharibi.
Ukraine ikishindwa Vita maana yake ni kwamba Ulaya yote kabisa itakuwa imetekwa na Urusi. Hili litakuwa jambo baya sana tena ni jambo la hatari kubwa sana kupita kiasi kwa Watu wote kabisa wa bara la Ulaya.
Kwa hali kama hiyo, ni Bora Watu wa Ulaya waingie katika Vita ya Tatu ya dunia kuliko kuruhusu Urusi ishinde Vita hiyo.
Kwanza kabisa, lengo Kuu mojawapo la kuanzishwa kwa NATO ilikuwa ni kupambana na Udikteta wa Watawala wababe wa Urusi.
Urusi ikishinda Vita hii, bado ataendelea kuteka maeneo mengine zaidi na zaidi hadi Ulaya yote kabisa iwe chini ya Utawala wa Urusi, Putin hataishia kuiteka Ukraine peke yake.
Fuvu chovu la kufikiria Lisu kaingiaje hapa. Hata Yesu ungemshauri ajisalimishe kwa shetani asiuwawe msalabani.Akina Tundu Lissu ndio hawa akina Zelensky....kulialia kwa WAJOMBA....Mh.Rais Trump hataki wapwa......