Marekani atawafanya Ulaya kuinganisha nguvu kubwa jambo ambalo litapunguza ushawishi wa Marekani.Huku mambo yanawaka wazungu wanasema ifike mahali tuwe na mdomo wa kuongea
Sasa wote wanataka kuongeza budget zao za Ulinzi na kukata misaada ya nchi masikini
Ni mda sasa wa kuwatimua wasiotaka kusikia
Kwa kweli, hawa ndo viongozi wanaotakiwa. Sio kiongozi muogamuoga wa kuendeshwa na wanaume wenzake.Kamvimbia Putin mpaka Leo anamchezesha na sasa Trump huyo jamaa apewe heshima yake.
hii ndoto yenu ina zaidi ya mwaka sasaVery soon, Zelensky will be in coffin…!!
Mpumbavu putin yeye huyohuyo avamie nchi ya watu, afu huyo huyo aanze kutishia nyuklia, afu Zelensky ndo aambiwe anataka kusababisha ww3!!😄😄😄, Je Tanzania tuko tayari kupangiwa marafiki na kenya? Je Cuba wako tayari kupangiwa wa kushirikiana naye na US?Nikionaga argument za kitoto namna hii kwenye huu mgogoro hua nasikitika naishia kublock, mnafuatiliaga hata mambo madogo madogo nyie?
Unajua ilibaki kidogo kutokea ww3 mwaka '62 baada ya Urusi ku station makombora ya nyuklia Cuba na kufanya hiki hiki wanachofanya Nato na Marekani Ukraine?
Marekani peke yake hawezi vitaMarekani atawafanya Ulaya kuinganisha nguvu kubwa jambo ambalo litapunguza ushawishi wa Marekani.
Endapo Marekani atajiondoa NATO na kujitenga na Ulaya ajue nguvu na ushawishi wake utapungua.
Kumbuka vita vyote alivyopigana Us, Ufaransa na UL walimuunga mkono
Huyu babu ni mlafi wa waziwaziMarekani peke yake hawezi vita
Alikimbizwa Somalia mpaka wakatoa na movie
Watoto wa Baba huko kwenye pembe yetu
Hakuna vita anaweza zaidi ya ndege kama waisrael
Ulaya wataungana na sio European union tu bali Ulaya yote kwani wameitisha mkutano wa Dharura
Ingawa kila mmoja anaangalia maslahi yake, lakini Trump anafanya mengine sivyo
Umejua kumsoma vizuri jamaa. Nawaambia watu kwamba hii script ilishapangwa kitambo - ni suala la utekelezaji tu.Asante kwa kunipotezea vijana wangu nguvu kazi ya Taifa la UKRAINE uyu YAHUDI akili anayo pengine!!!!! Lkn Namashaka wanatuzea picha la kihindi!!!
Ili iyonekane kama Hataki vile kama yupo kutetea rasilimali za UKRAINE Nasema Aya kwa Sababu mwanzo uyu Zelensky Aligoma kabisa kutoa Madini ¿¿¿¿ mala baada ya Siku kadhaa!!!¿¿ Akakubali kutoa ayo Madini!!!
jana Kajidai kutetea Heshima ya UKRAINE na rasilimali zake pengine baada Siku kadhaaa Tutasikia Tayali Wanakutana ili kusaini Mkataba YAHUDI Sijawai kuwaamini!!!
ngoja Tuone ili Picha Mana uyu Zalensky ni YAHUDI pegine Jasusi wa MAREKANI anacheza na Akili za wa UKRAINE na Dunia!!!!!
Jamaa usimtajetaje acha ap9telee huko kuzimu kwasababu yeye huyu Kissinger na dr Anthony Fauci ndio waanzilishi wa Ukimwi ili kupunguza waafrika.
Kissinger ndo myahudi pekee namchukia.
Jamaa usimtajetaje acha ap9telee huko kuzimu kwasababu yeye huyu Kissinger na dr Anthony Fauci ndio waanzilishi wa Ukimwi ili kupunguza waafrika.
Kissinger ndo myahudi pekee namchukia.
Jamaa usimtajetaje acha ap9telee huko kuzimu kwasababu yeye huyu Kissinger na dr Anthony Fauci ndio waanzilishi wa Ukimwi ili kupunguza waafrika.
Kissinger ndo myahudi pekee namchukia.
Nikajua ushaniblock 😄No offence, hili ni swali la kijinga kabisa linalopaswa kuulizwa na mtu alieanza kuufuatilia huu mgogoro leo.
Yaani kijana wa miaka 44 amepambana na Rais wa Marekani na Makamu wa Rais wake hadi kijasho kimewatoka halafu unamdharau? Kwa taarifa yako, Zele ameonesha yeye ni Kiongozi wa Kweli wa wananchi wake. Alipotua Uingereza akijibu swali la mwandishi kwa mbaaaali alisikika akisema, "F..k him"! Unafikiri alimtukana nani?Nimemuona Huruma Huyu mtu
Jamaa kawa Kama Jibwa fulani
kakosa Heshima wanamuona kama Jinga Fulani hivi
umasikini Mbaya sana
View: https://x.com/BRICSinfo/status/1895536558452904031?t=p-D0Oe1zDp7MzwMdxDzu_w&s=19