Mvutano wa kisheria, tuhuma ya msanii aliyechoma picha ya Rais

Mvutano wa kisheria, tuhuma ya msanii aliyechoma picha ya Rais

Endeleeni kuwapotosha vijana kutoka familia maskini huku wa kwenu mkiwahimiza kuwa makini na kujiepusha na siasa za kipumbavu. Huwezi kukuta mtoto wa kiongozi wa ngazi za juu CHADEMA anafanya harakati za kipumbavu au kuropoka hovyo. Watoto wa maskini kama kina Mdude ndo hutolewa kafara ili kupata political mileage. Wewe mleta uzi nina uhakika huwezi ruhusu mwanao achukue picha ya Rais na kuichoma huku akirekodi video.
Wewe ni mtoto wa tajiri au maskini? Au wewe ni chawa unayejivisha uungwana kwa kutoa vitisho kulinda maslahi yako ya kisiasa?

Kwa kifupi wewe ni kikaragosi tu kutetea ubabe wa viongozi wasiofuata sheria. Ile karatasi ni mali yake na ameamua kuichoma! Tembelea madampo kama hutakuta karatasi zenye picha za viongozi zikiungua.

Mshenzi mkubwa wewe!
 
Kwamba hata yule kijana aliyekamatwa Rungwe kwa kosa la kuipiga kiberiti picha ya Rais Samia, hana kosa lolote na hata wakamataji hawajui wampachike kesi gani, maana kwa katiba ya Tanzania kitendo kile ni sawa na mtu kuokota makaratasi ili awashie mkaa kwenye jiko lake.

Inadaiwa kukamatwa kwake kumesababishwa na mihemko tu na fikra duni za viongozi wa Mbeya

View attachment 3033206
Wacha wakapambane kisheria hilo neno lako inasemakana usirudie tena!
 
Endeleeni kuwapotosha vijana kutoka familia maskini huku wa kwenu mkiwahimiza kuwa makini na kujiepusha na siasa za kipumbavu. Huwezi kukuta mtoto wa kiongozi wa ngazi za juu CHADEMA anafanya harakati za kipumbavu au kuropoka hovyo. Watoto wa maskini kama kina Mdude ndo hutolewa kafara ili kupata political mileage. Wewe mleta uzi nina uhakika huwezi ruhusu mwanao achukue picha ya Rais na kuichoma huku akirekodi video.
Mdude umewahi kumchangia pesa ya kujikimu na au kusomesha watotowake?

Kike mkubwa wewe
 
Kwamba hata yule kijana aliyekamatwa Rungwe kwa kosa la kuipiga kiberiti picha ya Rais Samia, hana kosa lolote na hata wakamataji hawajui wampachike kesi gani, maana kwa katiba ya Tanzania kitendo kile ni sawa na mtu kuokota makaratasi ili awashie mkaa kwenye jiko lake.

Inadaiwa kukamatwa kwake kumesababishwa na mihemko tu na fikra duni za viongozi wa Mbeya

View attachment 3033206
my friend, republic hawajawahi kukosa kosa la kushitaki.

kitu nawashauri vijana, siasa sio fujo, nasema hivi kwasababu huwezi kushindana kwenye fujo na mtu mwenye dola na pesa. ccm wana dola na pesa. wewe huna polisi, huna TISS huna jeshi utashindana nao kwa manguvu? si utaumia tu.

Pili, harakati zenu fanyeni kwa busara, hekima na maarifa. Hoja dhidi ya hoja, acheni matusi. Kijana wetu sativa tunamwonea huruma sana, ni mdogo, hana hata career, anatafutiza tu chumba cha kupanga, ila mdomoni alikuwa na matusi mazito sana sana, hafanani na alivyo. sababu hiyo alijitengenezea maadui wengi, hakwenda kwa hekima na busara, hata Mungu kuamwokoa basi tu kwasababu yeye hana Mungu, ni mtu mwenye mdomo mchafu, tujifunze, na yeye ajifunze, jenga hoja, acha matusi.

someni mazingira, Tanzania sio kenya, na sio marekani ambako uhuru wako wa kujieleza upo asilimia mia. marekani unaweza kuchoma ramani ya nchi, au picha ya rais, hawakufanyi kitu. hapa ukichoma utakamatwa na utafungwa. kwa akili tu, badilisheni tactic za mapambano yenu kulingan ana mazingira. huyo dogo amechoma picha ya rais, kwa bongo icho kitu hakikubaliki.

kenya waliandamana, waliharibu vitu, waliwachezea polisi, walifanya yote wapendavyo, na hawakufanywa kitu sana. Tanzania chezea polisi utajua mwenyewe, ndio maana tunasema cheza mziki kulingana na rythm yake.

chadema acheni matusi, chadema acheni matusi, chadema acheni matusi, nimewataja mara tatu. jengeni hoja, mjibiwe kwa hoja, maguvu hamtaweza kwasababu watanzania ni waoga na pia ninyi hamna dola, mnaumiza vijana wetu bure kwa maslahi ya matumbo yenu.
 
Back
Top Bottom