Tetesi: Mvutano wafukuta kati ya JK na YM nani aanze urais kati ya RK na JM

Subiri uone. Omba uhai.

hakuna binadamu aliyewahi kujiandaa kwa uraisi nchini kama lowasa i mean, alifanya kila kitu sawa, alijipipanga kila mahali na hata akina rostamu alikuwa nao lkn mwisho wa siku haikuwa, angalia raila anafanya kila kitu sawa wakati mwingine hata anashinda labda kwa hesabu za kura lkn hawi raisi, hivyo haya mambo hayatabiriki kwani hata huyu wa sasa hatujui hata kama atatoboa uraisi mpaka 2030.

kama kuna chochote cha kujifunza, uraisi wa tanzagiza hautabiriki kabisa, sawa wamewatanguliza wastaafu lkn nani kasema na wao watakuwepo siku ya maamuzi ya nani awe raisi? …
 
Crap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…