Tetesi: Mvutano wafukuta kati ya JK na YM nani aanze urais kati ya RK na JM

Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.

Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.

Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.

Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
Sina D mbili. Hebu nieleweshe RK JM na EN ndo kina nani?
 
Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.

Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.

Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.

Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
YM ana ushawishi gani nchi hii?
 
RK sema alitumik vibaya mno enzi za mzee JK bila kujua. JK alikuwa rais bora sana sema tafiki zake wengi walitumia muda kumhujumu. RK kuwa rais sioni shida kabisa. EN nadhani na yeye atakuwa rais wa mpito tu kupisha kijiti cha RK, maana S alikosea masharti yaani hakujua wenzake walimuweka pale ili 2025 warudi wenyewe ila akapindua meza ila hiyo meza inaenda kumlalia mwenyewe na kizazi chake kitapotezwa (kama ni wajanja watafute uraia arabuni kabisa)
Kiti kitamu sana kile mzee, We subiri Avushwe Kuanzia November ndio mtaanza Kuona NGOZI yake halisi tena usishangae akaanza Kuwawinda Mpotee kabisa na Upepo wote ubadilike, Halafu ili apate nafasi vizuri inabidi Mstaafu aliyegoma kustaafu astaafishwe tu
 
Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.

Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.

Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.

Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.

Aanze MOKORIZI maana FEBRUARY mpigaji sana.
 
Waislam watumpumzishe kwanza kwa kweli. Uongozi wao always unakuwaga mbaya sana! Nchi huwa inaharibika sana. Ukweli mchungu☹️

NB. Mimi ni mwafrika niliyejitambua, sina dini
 
Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.

Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.

Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.

Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
Wote hawapati kitu. Mungu atawashangaza!
 
Familia ya makamba ina ushawishi gani sasa?
 
Back
Top Bottom