Tetesi: Mvutano wafukuta kati ya JK na YM nani aanze urais kati ya RK na JM

Huu ni uongo mkuu
 
Mwezi July baada ya bunge kuvunjwa tutaona mengi. Na tunaweza kupata rais Mpya kabisa this year.

Let's continue praying. Mimi naanza na Novena na sala kama ilivyotangazwa na kabisa katoliki.

Tunataka Rais mwenye Maamuzi, uthubutu kama Magufuli ndo hii Tz itapiga hatua. Vinginevyo 2030 tutakuwa hapahapa
 
Wacha kupoteza sala kwenye mambo ambayo Mungu ameshaamua
 
Ona hii mfuasi wa mtabiri tambitambi mdudu.
 

Atukuzwe Mungu aliyeruhusu mauti iwepo!

futi kumi ardhini ndio mwisho wa jeuri.

NO REFORMS, NO ELECTION
#free Lissu#
 
I can guess these abbreviations refer to: Ridhiwani Kikwete(RM) na (JM) Januari Makamba are all rubbish! bila kupepesa macho wala mdomo na wapiga debe wao all are rubbish
Halafu tunategemea hii inchi siku moja itakuja piga hatua mbele
,yaani watu wenye akili kama Tundu Lissu wanaishiya kufungwa magerezani halafu wajinga wajinga wanaobebwa kwa mbeleko za baba zao ndiyo tuje tuwakabidhi inchi?
 
acha lutunga uongo usiokuwa na maana yoyote
 
hakika
 
Hakuna Rais pale ,asema Bwana
 
RK sema alitumik vibaya mno enzi za mzee JK bila kujua. JK alikuwa rais bora sana sema tafiki zake wengi walitumia muda kumhujumu. RK kuwa rais sioni shida kabisa. EN nadhani na yeye atakuwa rais wa mpito tu kupisha kijiti cha RK, maana S alikosea masharti yaani hakujua wenzake walimuweka pale ili 2025 warudi wenyewe ila akapindua meza ila hiyo meza inaenda kumlalia mwenyewe na kizazi chake kitapotezwa (kama ni wajanja watafute uraia arabuni kabisa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…