Mtanzania2020
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 1,033
- 2,307
Sina D mbili. Hebu nieleweshe RK JM na EN ndo kina nani?Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.
Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.
Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.
Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
YM ana ushawishi gani nchi hii?Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.
Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.
Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.
Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
Kiti kitamu sana kile mzee, We subiri Avushwe Kuanzia November ndio mtaanza Kuona NGOZI yake halisi tena usishangae akaanza Kuwawinda Mpotee kabisa na Upepo wote ubadilike, Halafu ili apate nafasi vizuri inabidi Mstaafu aliyegoma kustaafu astaafishwe tuRK sema alitumik vibaya mno enzi za mzee JK bila kujua. JK alikuwa rais bora sana sema tafiki zake wengi walitumia muda kumhujumu. RK kuwa rais sioni shida kabisa. EN nadhani na yeye atakuwa rais wa mpito tu kupisha kijiti cha RK, maana S alikosea masharti yaani hakujua wenzake walimuweka pale ili 2025 warudi wenyewe ila akapindua meza ila hiyo meza inaenda kumlalia mwenyewe na kizazi chake kitapotezwa (kama ni wajanja watafute uraia arabuni kabisa)
Y=YusufuSina D mbili. Hebu nieleweshe RK JM na EN ndo kina nani?
RK ni presidential Material shida izi kete ujui mzee wake atacheza vipi lakini jamaa anafaa kabisa kuwa Mkuu wa NchiAfadhali Rais awe Benson Kigaila kuliko huyo RK.
Hafai kabisa,,, hata huo uwaziri kapewa kwasababu ya mzee tu, lakini hana kaliba ya uongozi kabisa...RK ni presidential Material shida izi kete ujui mzee wake atacheza vipi lakini jamaa anafaa kabisa kuwa Mkuu wa Nchi
Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.
Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.
Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.
Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
Fisadi huyo si ataimaliza nchi?RK ni presidential Material shida izi kete ujui mzee wake atacheza vipi lakini jamaa anafaa kabisa kuwa Mkuu wa Nchi
Limekuwa koloni sasa!HM- from z to tz 2030
Wote hawapati kitu. Mungu atawashangaza!Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.
Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.
Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.
Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
Kwa kifupi January alishaaga mashindano, Ridhiwani siyo Presidential material 2040 tunampa Jafo atakuwa ameiva
Familia ya makamba ina ushawishi gani sasa?Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.
Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.
Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.
Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
Well defined as Silent languageI can guess these abbreviations refer to: Ridhiwani Kikwete(RM) na (JM) Januari Makamba are all rubbish! bila kupepesa macho wala mdomo na wapiga debe wao all are rubbish
EN ndio RaisHana lolote atakatwa na haingii 5 bora kuondoa tishio. EN naye............