Mvuto wa Ajabu: Watu, Watoto na Wanyama. Mabaya yapo pia

Sasa mkuu kama kila mtu ana nyota nzuri ila shida ni uchafu kwanini sasa kunakuwa na issue za kuibiana nyota?
 
Binafsi huwa nina tatizo moja, sipendi kuongea na watu wenye umri wa baba yangu i mean watu wazima, coz najijua sichelewi kuanza kutoa maelekezo kama Mwalimu au boss

Kuepuka mivutano, najiweka mbali.
 
Hii ilinitokea kesho yake nilipoenda kumuona mkurugenzi; naingia ofisini nakuta mishangazi kama yote nikawekwa mtu kati, ila dk moja ilitosha wao kuacha kila kitu wakaanza kunisikiliza Mimi😁😁🙌
 
Watu kama wewe hutumika sana bila kujua kuwaingizia pesa maboss huko kariakoo, ni mambo ambayo yapo sana kibaya wahusika unakuta hata hawajijui wao wenyewe.
 
Ila pia mkuu sio mivuto yote ni vitu vya kuzaliwa navyo, mivuto mengine huvutwa kupitia madini ambayo watu huvaa hasa katika pete hizi.
 
Watu kama wewe hutumika sana bila kujua kuwaingizia pesa maboss huko kariakoo, ni mambo ambayo yapo sana kibaya wahusika unakuta hata hawajijui wao wenyewe.
Kwaio mtu anapewa dawa au unarogwa kwa nyota au inakuaje kama una weza KUELEZEA kwa faida ya wengi
 
Mimi WAZEE NIMEWAI kuwaongoza kwenye management ila Huwa nawaheshimu sana sipendagi kuonyesha utovu wa nidhamu au kuwadharau
Binafsi huwa nina tatizo moja, sipendi kuongea na watu wenye umri wa baba yangu i mean watu wazima, coz najijua sichelewi kuanza kutoa maelekezo kama Mwalimu au boss

Kuepuka mivutano, najiweka mbali.
 
Mkuu hilo la aura kuita nyota ni geni kabisa kwangu kwanza kwa Tanzania wengi hawafahamu kuhusu aura hata hao waganga, ukiangalia aliyoyaeleza mleta mada ni mchanganyiko wa mambo kadhaa hivyo si kitu kimoja.
Habari UHURU, pole kwa kuchelewa kujibu, hata mleta mada hajui anachokizungumzia kwa undani na ni sawa yupo sahihi kwa upande wake.

Hapa Tanzania, Aura ndio wanatafsiri kama Nyota, na vile vile destiny wanaitafsiri kama Nyota.
 
Sasa mkuu kama kila mtu ana nyota nzuri ila shida ni uchafu kwanini sasa kunakuwa na issue za kuibiana nyota?
Kuna wengine wanatamani kua sehemu isiyo ya kwao. mfano ww unaweza kutawala dunia nzima, ila mwenzio yeye ana uwezo wa kutibu tu na kua mtu wa kawaida. sasa anatamani kua sehemu ambayo hatakiwi kuwepo.

Au mwingine anataka akubalike kila sehemu wakati yeye destiny yake sio kukubalika bali kujenga.
 

Ila angalia kwa makini kwa kupitia nyuzi zako jana na leo naona unaweza kuwa na Narcissistic Personality Disorder ambaya ni ni form ya Mental Illness. Ifanyie kazi isizidi ukawa na Schizophrenia bure. Punguza muvi za Kizungu naona zinaongeza tatizo lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…