Mvuto wa Ajabu: Watu, Watoto na Wanyama. Mabaya yapo pia

Hiyo nguvu uliyonayo aliitambua unconsciously ndo maana ikamletea kigugumizi kukuuongoza.
Kinachoitunza hiyo nguvu ni strong positive emotions kama upendo, imani thabiti na vingine, lakini emotions kama greed na fear vinaiondoa hiyo nguvu.
Mfano hapo ungewaza kujikweza mbele yake huyo msimamizi sababu tu una high frequency vibration basi ingekuwa ndo mwanzo wa anguko lako.
 
Naelewa mkuu,
Kwenye chart za vibration...

Mambo ya pride, desire na fear yana vibrate chini kabisa kwenye graph 📊
 
Habari fadhili, kama una nia ya kuelekeza afanye nini unaweza kuelekeza tu.
1. Kuhusu kipato, mara nyingi kipato ni perception ya mtu tu.
2. Kisomo, elimu za nje zote ni zao la elimu ya ndani, huyo hizo nguvu ni pamoja na utambuzi wa ndani ambao huwezi kuulinganisha na system yoyote iliyopo huku nje system ya elimu, dini n.k hvyo ukitambua hilo maana yake anweza kua kitu chochote na kufanya shughuli yoyote.
 
Nashindwa kumuelewaa...😅😅😅
Nakazia hapo kwenys ujuaji hapoo...hataki kushindwa hiyo mbaya..
Kwenye maisha kuna muda unahitaji mizani isibalance ili maisha yaende...
Ukubali kujishusha au kushuka...
Ujishushe? Unamaana gani hapa?
 
Kwa wenzetu Aura ni energy huwa inamzunguka binaadamu ikiwa na rangi mbalimbali zenye maana zake, naona kama ni tofauti na suala la nyota.
Nashauri uendelee kujifunza, and yes upo sahihi. sisi Tanzania ni ukosefu wa msamiati ndio changamoto, unaposikia mtu ana nyota kali maana yake ni destiny nzuri sana, waganga na wachawi hua wanafanya destiny swap, au kuiba nyota. sasa destiny katika kiswahili ndio hyo hyo inaitwa nyota, aura pia ndio hyo hyo inaitwa nyota, pia karma ya maisha haya kuna wengine wanaiita pia nyota. lugha haijitoshelezi au maana na tafsiri zimeingiliana sana, kiasi misconceptions ni nyingi.
 
Wala sikuhitaji kujua anapata shilingi ngapi kwa mwezi, nilitaka kujua ana kipato kizuri/kati/kibaya/etc
Na kisomo kujua; nimesoma hadi std 7/ form 4/6 au chuo degree 1/2/3 etc. Haya yatanisaidia kujua ni nini hasa cha kufanya.
 
On point..

Katika maisha yangu sijawahi kuweka binadamu katika external grades za kuweka na society.. Hizo Zina illusion mbaya sana..

Wengi wanaishi kwa matakwa ya external values ambazo kimsingi hazina ukubwa wowote
 
Wala sikuhitaji kujua anapata shilingi ngapi kwa mwezi, nilitaka kujua ana kipato kizuri/kati/kibaya/etc
Na kisomo kujua; nimesoma hadi std 7/ form 4/6 au chuo degree 1/2/3 etc. Haya yatanisaidia kujua ni nini hasa cha kufanya.
Hayo ni meaning less mkuu,
Kinapokuja swala la spiritual essence ni heri ukauliza mambo ya kihisia sana na wala ya si ya kiakili. Akili ni zao la programming
 
Nashindwa kumuelewaa...😅😅😅
Nakazia hapo kwenys ujuaji hapoo...hataki kushindwa hiyo mbaya..
Kwenye maisha kuna muda unahitaji mizani isibalance ili maisha yaende...
Ukubali kujishusha au kushuka...
Ushindi ni perception au mtazamo wa mtu, ukisema hataki kushindwa maana yake ulikua unajishindanisha. ila hapo ni kua kila mtu anazungumzia mtazamo wake, hicho alicho demonstrate sio spiritual powers ila ni aura safi ambayo inavutia sana, yaani akikaa popote watu wanakuja bila wao kujijua, akikaa dukani tu watu wanajaa sababu wanafata good energy inayotolewa na aura safi. hvyo mara nyingi wanaomfata ni energy vampires, ila hawajijui sababu hawana utambuzi wa kutoka ndani.

kwa upande wako pia ulikua sahihi lakini uliangalia kwa jicho la kimazoea na vitisho vya hapa na pale, hakuna mtu ambae hua yuko sahigi na hakuna mtu ambae anakosea, ila kuna kupanuka kwa fahamu ili kuweza kuona mambo kwa ukamili. unapoona nusu nusu haimaanishu haupo sahihi,
 
Hayo ni meaning less mkuu,
Kinapokuja swala la spiritual essence ni heri ukauliza mambo ya kihisia sana na wala ya si ya kiakili. Akili ni zao la programming
Si unajua mambo ya kiroho yameshikamana na yale ya kimwili, mwili ni kama kivuli tu cha uhalisia wa kiroho.
 
Si unajua mambo ya kiroho yameshikamana na yale ya kimwili, mwili ni kama kivuli tu cha uhalisia wa kiroho.
Sio kwa mantiki hiyo...
Mambo ya kiroho hayahusiani na saikolojia.

Ulichokuwa unauliza ni saikolojia..

Hilo halihusiani na mambo ya kiroho
 
Mimi naona aura is just a man made concept... Aura haipo ila vibrations ni kweli Zina exist... Kuna watu yeye Kaishika mtoto, anaanza kulia, mwingine akimwangalia tu anaanza kulia
Aura ipo, na energy vibrations zipo. Unaweza kua na aura safi sana, ila energy vibrations zinabadilika kulingana na mood yako, kumbuka unaishi duniani, saa yoyote mtu kakukera n.k so energy vibrations hazipo constant ila zina median difference yaani kuna ww labda unavibrate katika frequency ya love mostly, na hiyo ni kawaida ila haimaanishi kua haupati kabisa hasira. so energy levels ni hisia, aura ni field yako wewe ya energy nayo inabadilika kulingana na mood yako,
 
Hebu explain aura mkuu
 
Mkuu, hilo si lazima liwe suala la “higher vibration” au nguvu za kiroho. Mara nyingi ni mchanganyiko wa haiba, body language, confidence na namna unavyo-interact na watu/wanyama. Watoto na wanyama wanaweza kumkaribia mtu wanayemwona mtulivu na asiye na tishio. Kuhusu watu kukuangalia au kukuchukia, hapo usihitimishe haraka kuwa ni spiritual—maana kila mtu ana sababu zake. 😄
 
Sio kwa mantiki hiyo...
Mambo ya kiroho hayahusiani na saikolojia.

Ulichokuwa unauliza ni saikolojia..

Hilo halihusiani na mambo ya kiroho
Mambo ya kiroho yanahusiana na saikolojia.

wanachokiita utatu mtakatifu kwenye dini ni BODY, MIND and SOUL. sikolojia inabebwa na MIND, sasa kunapokua na shida kwenye mind ndio mtu anakua ameharibika kisaikolojia.
 
Sasa aura umeundwa na nini haswa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…