Mwabukusi asipotumia taaluma yake vyema, hekima na busara kuongoza TLS atavurunda zaidi ya ilivyokuwa kwa Tundu Lissu na Fatma Karume

Mwabukusi asipotumia taaluma yake vyema, hekima na busara kuongoza TLS atavurunda zaidi ya ilivyokuwa kwa Tundu Lissu na Fatma Karume

Mwambukusi uelewa anao ila busara za kiuongozi hana shida inaanzia hapo. Anafikiria ki harakati zaidi kuliko kiuongozi, anafikiria kupambana na watu fulani/mamlaka badala ya kutengeneza mkakati wa ku engage makundi yote.

Ajue anasomewa ramani tu asipobadilika kazi yake itafanyika kuwa ngumu sana achukie hata huo urais wake.
shukran sana gentleman,
kwa kuliona hilo na kulieleza humu kirahisi sana na kwa lugha nyepesi...👊💪
 
ndrugu muerevu,
hili si suala la CCM, hili ni jambo muhimu sana kwa wananchi Tanzania nzima,

na huu ni ushauri wa maana sana kwa maslahi mapana ya uongozi na ustawi wa TLS na Taifa kwa ujumla , hakuna haja ya makasiriko wala mihemko 🐒
Mlihitaji Mwabukusi apongeze kubakwa kwa binti wa yombo au apongeze wamasai kufukuzwa ngorongoro?

Kanjunjumele Ashikilie hapo hapo, na bado hajarudi kuzungumzia bandari zetu 😂😂
 
tukijiepusha na hisia, huruma na hukumu za mapema kabla ya sheria kuchukua mkondo malalamiko ya dhuluma hayatakwisha daima..

keki ya Taifa ni Pamoja na huduma za umeme, maji, afya, usafirishaji, elimu ambazo ni kazi za jasho na mikono yetu wenyewe kama waTanzania...

tuendelee kulipa bila kukwepa kodi, tozo na ushuru ambazo ndizo hasa zinafanikisha keki ya Taifa kua tamu zaidi kwa wote, barabara zitajengwa, kilimo kitabadilika n.kkwa maslahi mapana ya waTanzania wote 🐒
Wamasai nao umewakumbuka? Au wanafukuzwa kwa maslahi ya nani? Mwarabu?? SHAME
 
Nchi hii ukifuata sheria ipasavyo watawala na wafuasi wao wanakuona una kiburi, majivuno, jeuri, huruma au hisia .
Mnae Mwabukusi kwa miaka 3 mpede msipende. Watanzania wnamuhitaji sana kipindi hiki
miaka mi3?😳

nchi hii inaendeshwa kwa misingi ya sheria na katiba, kiburi, jeuri na majivuno vinatumika wap, tena kwa watu wabobevu hususan katika sheria?🐒

nadhan hakuna sababu hata moja kuiga kiburi, ujuaji mwingi, kutumia hisia na huruma kuongoza vyombo mbalimbali vya umma kwa maslahi mapana ya wananchi wote 🐒
 
Kumbuka atakuwepo mpaka 2027, kwahiyo bado sana.......nchi yetu neno haki linaonekana ni la watu fulani tu.......na kutokana na machawa kuwa wengi hadi kwenye vyombo vya haki na taasisi kadhaa zisizo za kiserikali zinazojifanya zinadeal na haki kumbe matapeli......Acha Mnyakyusa asaidie kupaza sauti na kuwasha tochi palipo na giza,hata asiposikilizwa.......kuna siku atakuwa reference
 
Bado hamjasema[emoji23] na hapo ndio chuma kimegusa kidogo tuu
Huenda ni iD ya AG hii [emoji2][emoji2]
Screenshot_20240821-081620.jpg
 
Mbona Mwambukusi yuko kwenye mstari wa yale majukumu ya msingi ya TLS kama wasemavyo S 4 shida ya watawala wengi wetu hawapendi kuelezwa ukweli wanapenda kuchekewa chekewa wakati wao wakiwa mbele kupoka haki za msingi za raia wakati mwingine hata kutumia vyombo vya dola kwanini ucheke na kiongozi wa aina hiyo mfano? Kuchekeana chekeana ndo kumetufikisha sehemu tukienda kwenye mahakama za usuluhishi huko nje tunaonekana vituko hatujui tunachofanya elimu zetu hazina maana
 
sure,
kuna umuhimu zaidi wa Rais wa sasa wa TL, kujizuia au kujitenga na harakati au mapambano dhidi ya serikali,

then akatumia ubobevu wake katika sheria katika kuchochea mageuzi makubwa TLS na ikawa professional body ambayo ina nguvu na inaaminika na kuheshimika Africa mashariki,

Lakini pia ikawa miongoni mwa powerful and vibrant Law Society katika kushirikisna au kushauriana na serikali na kutengeneza au kujenga mfumo na utamaduni muafaka zaidi wa kutetea na kulinda haki za waTanzania wanaodhulumika katika mambo mbalimbali humu nchini..

na kwa kufanya hivyo historia ya Tanzania itamkumbuka..🐒
 
Mlihitaji Mwabukusi apongeze kubakwa kwa binti wa yombo au apongeze wamasai kufukuzwa ngorongoro?

Kanjunjumele Ashikilie hapo hapo, na bado hajarudi kuzungumzia bandari zetu 😂😂
sifahamu msimamo wa TLS kwenye maeneo hayo,
ushauri wangu ni katika kumfanya ajizuie na namna au style anayotumia kutaka kufikia muafaka wa mambo kadiri anavyoamini wakati huo akiwa anafanya siasa....

hata hivyo,
hivi kulikua na mtu mjeuri na mjuaji kama Lisu au Fatma Karume humu nchini, tena kwenye awamu ya5?

kuna mtu leo hii anaweza kuja kusema kwama lisu au fatma walifanya hili au lile wakati wa oungozi wao? Y

You know why?
kiburi na jeuri zao za kisiasa huko nje wakaingia nazo uongozini, plus ulevi wa sifa za kijinga kama unazojaribu kumpampu muungwa,

ikiwa hata tumia hekima na busara mathalani akakuskiza,atakwama mchana kweupe, na muda wake utafika atakwenda nyumbani na hata tamani tena hata kukiskia tu TLS 🐒
 
Wamasai nao umewakumbuka? Au wanafukuzwa kwa maslahi ya nani? Mwarabu?? SHAME
wamasai wa wapi tena gentleman?

wa ngorongoro,
wote walishahamia msomera mkoani Tanga na huko wanakula maisha balaa...🐒
 
Kumbuka atakuwepo mpaka 2027, kwahiyo bado sana.......nchi yetu neno haki linaonekana ni la watu fulani tu.......na kutokana na machawa kuwa wengi hadi kwenye vyombo vya haki na taasisi kadhaa zisizo za kiserikali zinazojifanya zinadeal na haki kumbe matapeli......Acha Mnyakyusa asaidie kupaza sauti na kuwasha tochi palipo na giza,hata asiposikilizwa.......kuna siku atakuwa reference
of course kama ataleta kiburi na jeuri ataingia kwenye reference ya kushindwa vibaya kuongoza TLS sawa na akina Lisu na Fatma, hilo liko wazi sana gentleman 🐒
 
sifahamu kama kuna mtu ana kumbuka au kufahamu kilifanyika wakati wa uongozi TLS chini ya Lisu na huyu mwanamama mwingine Fatma Karume, zaidi ya malumbano, mipasho na mambambano dhidi ya serikali zilizokuako wakati huo, ambapo matokeo yake sasa, hapakuwezekana kufanyika chochote TLS kwa maslahi na manufaa mapana ya waTanzania...

na kwahivyo basi,
ni muhimu sana kwa Rais wa TLS wa sasa kutumia taaluma yake kuiongoza TLS, na kwa hekima na busara, kwa niaba ya waTanzania kutumia njia muafaka za kisheria kuwatetea waTanzania na kufikia hitimisho lenye manufaa kwa ustawi bora wa haki, uhuru na usawa miongoni mwa waTanzania...

hakuna haja ya kutumia kiburi, majivuno, jeuri, huruma au hisia kwenye mambo muhimu tena ya kisheria kwenye vyombo vya kutolea haki, huko ni kufanya mzaha na harakati binafsi za siasa kwenye haki za wananchi..

na kwa kufanya hivyo wengi watakosa haki zao za msingi na TLS inaweza kua sababu ya waTanzania wengi kupoteza haki zao, jambo ambalo ni aibu na fedheha kubwa sana kwa jumuiya na familia muhimu sana nzima ya wanasheria Tanzania..🐒

Mungu Ibariki Tanzania

Acha kuzunguka zunguka na maeelezo marefu. Nyooka moja kwa moja kwenye pointi yako kuwa unataka Mwabukusi asiwe anaikosoa Serikali kama Lissu na Fatuma Karume. Maana inawezekana na wewe ni miongoni mwa watanzania mbumbumbu wanaoamini Serikali inaongozwa na Malaika ambao kila wanachofanya ni sahihi - hawakosei kwa hiyo hawapaswi kukosolewa.
 
Huenda ni iD ya AG hii [emoji2][emoji2]View attachment 3075349
akileta kiburi, jeuri na mapambano dhidi ya serikali badala ya kushauriana nayo namna bora ya kutetea haki na kufikia muafaka wa haki katika mambo mbalimbali yenye maslahi mapana ya waTanzania wote, anaweza kujikuta anaongoza miezi sita tu kipindi kilichobaki akiwa nje ya uongozi kwa labda kunyang'anywa sifa za uongozi kwasabb za kimaadili au utovu wa nidhamu 🐒
 
kipindi cha Lisu na Fatma sifa za kijinga zilikua zaidi ya hizi gentleman 🐒

na hakuna kuchoka kusema na kueleza ukweli...

na mpaka leo hao watu hawajulikani hata walifanya nini mpaka wa leo, ule wa sifa na kiburi, ujuaji mwingi kumbe mbele kiza uliwaponza 🐒

ushauri mwanana wa maana sana nimeutoa kitaamu na kwahivyo nimetekeleza wajibu wangu vyema na sidaiwi tena ikiwa mambo yatakwenda kombo huko tuendako 🐒
Kwa viazi, Hizo nyakati za usio wapenda ndiyo angalau ulipata kutambua kuwa hiyo taasisi ina exist
 
sifahamu kama kuna mtu ana kumbuka au kufahamu kilifanyika wakati wa uongozi TLS chini ya Lisu na huyu mwanamama mwingine Fatma Karume, zaidi ya malumbano, mipasho na mambambano dhidi ya serikali zilizokuako wakati huo, ambapo matokeo yake sasa, hapakuwezekana kufanyika chochote TLS kwa maslahi na manufaa mapana ya waTanzania...

na kwahivyo basi,
ni muhimu sana kwa Rais wa TLS wa sasa kutumia taaluma yake kuiongoza TLS, na kwa hekima na busara, kwa niaba ya waTanzania kutumia njia muafaka za kisheria kuwatetea waTanzania na kufikia hitimisho lenye manufaa kwa ustawi bora wa haki, uhuru na usawa miongoni mwa waTanzania...

hakuna haja ya kutumia kiburi, majivuno, jeuri, huruma au hisia kwenye mambo muhimu tena ya kisheria kwenye vyombo vya kutolea haki, huko ni kufanya mzaha na harakati binafsi za siasa kwenye haki za wananchi..

na kwa kufanya hivyo wengi watakosa haki zao za msingi na TLS inaweza kua sababu ya waTanzania wengi kupoteza haki zao, jambo ambalo ni aibu na fedheha kubwa sana kwa jumuiya na familia muhimu sana nzima ya wanasheria Tanzania..🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Nyie ccm na wafuas wenu wote ni wapumbavu ndio maana nchi toka uhuru mnafikiria matundu ya choo, haya tuambie lissu alivurunda Nini tls?
Kwa taarifa yako Rais iliyeweka records nzur na anayependwa kuliko wote tls ni lissu nyie wapumbavu wa mamluki nkuba kama hamjalizika na uchaguzi nenden mahakaman kama huyo zwazwa wenu alivyoahidi.
 
miaka mi3?😳

nchi hii inaendeshwa kwa misingi ya sheria na katiba, kiburi, jeuri na majivuno vinatumika wap, tena kwa watu wabobevu hususan katika sheria?🐒

nadhan hakuna sababu hata moja kuiga kiburi, ujuaji mwingi, kutumia hisia na huruma kuongoza vyombo mbalimbali vya umma kwa maslahi mapana ya wananchi wote 🐒
Unaelewa wajibu wa TLS?
 
Back
Top Bottom