S.M.P2503
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 2,421
- 4,344
Itajulikanaje wakati mmoja alishambuliwa na malisasi na mwingine akalushiwa mabomu kwenye ofisi yake... hivi wewe wakati haya mambo yanafanyika ulikuwa wapi? masikio hayakusikia wala habari za kusimuliwa na vyombo vya habari na macho hayakuona luningani kilichokuwa kinaendelea wakati huo. Chonde chonde, msije mkapitisha Mwabukusi kule kwenye tanuru mlimo wapitisha wengine halafu mnajifaragua kwamba hawakufanya kitu...kipindi cha Lisu na Fatma sifa za kijinga zilikua zaidi ya hizi gentleman 🐒
na hakuna kuchoka kusema na kueleza ukweli...
na mpaka leo hao watu hawajulikani hata walifanya nini mpaka wa leo, ule wa sifa na kiburi, ujuaji mwingi kumbe mbele kiza uliwaponza 🐒
ushauri mwanana wa maana sana nimeutoa kitaamu na kwahivyo nimetekeleza wajibu wangu vyema na sidaiwi tena ikiwa mambo yatakwenda kombo huko tuendako 🐒