Mwabukusi asipotumia taaluma yake vyema, hekima na busara kuongoza TLS atavurunda zaidi ya ilivyokuwa kwa Tundu Lissu na Fatma Karume

Mwabukusi asipotumia taaluma yake vyema, hekima na busara kuongoza TLS atavurunda zaidi ya ilivyokuwa kwa Tundu Lissu na Fatma Karume

Wewe na mleta mada mna akili zinazofanana. Kabla ya kuhoji ufanisi wa hao waliotajwa, tungehoji na maraisi wengine walifanya nini. Nimeshangaa uelewa wako kuwa, uanaharakati ni kuwa unprofessional kitu ambacho sio sahihi. TLS ni civil society ambayo kazi yake kubwa ni pamoja na kupaza sauti na kuchukua hatua pale sheria za nchi zinapokiukwa.
 
Huenda ni iD ya AG hii [emoji2][emoji2]View attachment 3075349
akileta kiburi, jeuri na mapambano dhidi ya serikali badala ya kushauriana nayo namna bora ya kutetea haki na kufikia muafaka wa haki katika mambo mbalimbali yenye maslahi mapana ya waTanzania wote, anaweza kujikuta anaongoza miezi sita tu kipindi kilichobaki akiwa nje ya uongozi kwa labda kunyang'anywa sifa za uongozi kwasabb za kimaadili au utovu wa nidhamu
Mbona Mwambukusi yuko kwenye mstari wa yale majukumu ya msingi ya TLS kama wasemavyo S 4 shida ya watawala wengi wetu hawapendi kuelezwa ukweli wanapenda kuchekewa chekewa wakati wao wakiwa mbele kupoka haki za msingi za raia wakati mwingine hata kutumia vyombo vya dola kwanini ucheke na kiongozi wa aina hiyo mfano? Kuchekeana chekeana ndo kumetufikisha sehemu tukienda kwenye mahakama za usuluhishi huko nje tunaonekana vituko hatujui tunachofanya elimu zetu hazina maana
binafsi sijasema kuna mtu katoka nje ya mstari,
ni mapema mno...

nimetoa tu angalizo na ushauri wa kitaalamu kwa Boss mpya wa TLS kufanikiwa,

binafsi I want to see a very powerful TLS in Tz, I want to see vibrant TLS inTz, I want to see East African people talking about professionalism in TLS etc...

mengine yatakua hisia mseto tu za wanguwana 🐒
 
Muuze nchi watu wawapigie makofi?

Hao wanaouza nchi ndio wamejaa kiburi na majivuno.
makofi ya nini gentleman?

ameuza nchi nani, na by the way nchi haiuziki ni muhimu kuondoa upotofu wa aina hiyo kwenye fikra zao, ni kukaribisha au kukomaza umaskini ndani yako..

hata hivyo nazungumzia TLS,
kwamba boss mpya wa TLS atumie taaluma yake, hekima na busara kuongoza Taasisi ile na atafanikiwa,
vinginevyoa atakwama kama walivyovurunda Lisu na Fatma 🐒
 
Sifahamu kama kuna mtu anakumbuka au kufahamu kilifanyika wakati wa uongozi TLS chini ya Lissu na huyu mwanamama mwingine Fatma Karume, zaidi ya malumbano, mipasho na mambambano dhidi ya Serikali zilizokuako wakati huo, ambapo matokeo yake sasa, hapakuwezekana kufanyika chochote TLS kwa maslahi na manufaa mapana ya waTanzania.

Na kwahivyo basi,
Ni muhimu sana kwa Rais wa TLS wa sasa kutumia taaluma yake kuiongoza TLS, na kwa hekima na busara, kwa niaba ya waTanzania kutumia njia muafaka za kisheria kuwatetea waTanzania na kufikia hitimisho lenye manufaa kwa ustawi bora wa haki, uhuru na usawa miongoni mwa waTanzania.

Hakuna haja ya kutumia kiburi, majivuno, jeuri, huruma au hisia kwenye mambo muhimu tena ya kisheria kwenye vyombo vya kutolea haki, huko ni kufanya mzaha na harakati binafsi za siasa kwenye haki za wananchi.

Na kwa kufanya hivyo wengi watakosa haki zao za msingi na TLS inaweza kua sababu ya waTanzania wengi kupoteza haki zao, jambo ambalo ni aibu na fedheha kubwa sana kwa jumuiya na familia muhimu sana nzima ya wanasheria Tanzania.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Ccm hapendi haki mtu anayetetea haki ni adui yao
 
Rudi kwa waliokutuma. Waambie haujawakuta
 
Mwabukusu hawezi kuvurunda.. Mti mwema lazma upigwe mawe!! Hata jiwe alipigwa sana Mawe
vp Lisu na Fatma,
Kiliwashinda nini au hata kukumbuka tu kwamba walikua mabosi wa TLS hukumbuki?

they did nothing completely 🤣

kwababu ya kiburi, jeuri na ujuaji mwingi kumbe mbele kiza 🐒
 
Acha kuzunguka zunguka na maeelezo marefu. Nyooka moja kwa moja kwenye pointi yako kuwa unataka Mwabukusi asiwe anaikosoa Serikali kama Lissu na Fatuma Karume. Maana inawezekana na wewe ni miongoni mwa watanzania mbumbumbu wanaoamini Serikali inaongozwa na Malaika ambao kila wanachofanya ni sahihi - hawakosei kwa hiyo hawapaswi kukosolewa.
kujizungusha unajizungusha mwenyewe tu gentleman 🐒

I very clear,
ushauri wangu wa kitaalamu wa kitaifa kwa boss mpya wa TLS ndio huo na ni hayari kuufuata na sio Lazima hata kidogo

hizo blabla zingine na imani potofu za kisiasa labda tutakutana kwenye platform au hoja nyingine, ila kwenye hili la TLS bilashaka nimeeleweka vyema bila mbambamba yoyote 🐒
 
Kwa viazi, Hizo nyakati za usio wapenda ndiyo angalau ulipata kutambua kuwa hiyo taasisi ina exist
Taasisi hiyo iliku vibrant sana kipindi cha uongozi wa Dr Edward Hossea, TLS was at least hot 🐒
 
Nyie ccm na wafuas wenu wote ni wapumbavu ndio maana nchi toka uhuru mnafikiria matundu ya choo, haya tuambie lissu alivurunda Nini tls?
Kwa taarifa yako Rais iliyeweka records nzur na anayependwa kuliko wote tls ni lissu nyie wapumbavu wa mamluki nkuba kama hamjalizika na uchaguzi nenden mahakaman kama huyo zwazwa wenu alivyoahidi.
muerevu relax bas, mihemko ya nini sasa?

wakumbushe kwanza wanguwana Lisu alikua boss wa TLS lini?

na ni muhimu kwa kifupi sana ukawaelezea na hiyo record ya mambo mazito alofanya Lisu wakati huo akiwa Rais wa TLS 🤣
 
Ya Lisu na Fatma ilisubiriwa kwa hamu na gamu na ikaenda mikono mitu bila hata cha ku-uma 🤣
We chawa mkuu ndio maana lisu mlimpiga risasi mapema sio mnazidi kudhihirisha kwa wananchi kua ccm sio wapenda haki wao na serikali yao
 
Unaelewa wajibu wa TLS?
MWABUKUSI aliulizwa hilo swali siku ya uchaguzi alitaka kutapika aise 🤣

ni muhimu sana ukajikita zaidi kwenye ushauri wa kitaalamu kwa Boss mpya wa TLS ili kuchochea ufaninisi katika kuyafikia malengo na mipango ya Jumla ya TLS hususan katika masuala ya haki 🐒
 
Shida sio Mwabukusi. Huenda kwa sababu sio kada wa kijani, ataandamwa mno na kupe/chawa wa kijani.
 
Wewe na mleta mada mna akili zinazofanana. Kabla ya kuhoji ufanisi wa hao waliotajwa, tungehoji na maraisi wengine walifanya nini. Nimeshangaa uelewa wako kuwa, uanaharakati ni kuwa unprofessional kitu ambacho sio sahihi. TLS ni civil society ambayo kazi yake kubwa ni pamoja na kupaza sauti na kuchukua hatua pale sheria za nchi zinapokiukwa.
katika kipindi cha uongozi wa Lisu na Fatma pale TLS umewahi kuona hayo uliyoyataja kama kazi kubwa ya Civil Societies, sijui kupaza sauti na kuchukua hatu?

kama sio blablaa, kelele mingi na kubwekabweka kusiko na mpangilio mpaka muda wao ukaisha 🤣
 
Mwambukusi uelewa anao ila busara za kiuongozi hana shida inaanzia hapo. Anafikiria ki harakati zaidi kuliko kiuongozi, anafikiria kupambana na watu fulani/mamlaka badala ya kutengeneza mkakati wa ku engage makundi yote.

Ajue anasomewa ramani tu asipobadilika kazi yake itafanyika kuwa ngumu sana achukie hata huo urais wake.
Kwahiyo mtu akitetea watu anakuwa hafai, ila waziri, atetee polisi, serikali, mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya nk, hata kama hawako sawa? Acha uchawa KAZI ya wakili ni kutetea anayeonekana kuonewa. Iwe serikali, taasisi, kiwanda, mtu binafsi au Kampuni.
 
Back
Top Bottom