shukran sana gentleman,Mwambukusi uelewa anao ila busara za kiuongozi hana shida inaanzia hapo. Anafikiria ki harakati zaidi kuliko kiuongozi, anafikiria kupambana na watu fulani/mamlaka badala ya kutengeneza mkakati wa ku engage makundi yote.
Ajue anasomewa ramani tu asipobadilika kazi yake itafanyika kuwa ngumu sana achukie hata huo urais wake.
Mlihitaji Mwabukusi apongeze kubakwa kwa binti wa yombo au apongeze wamasai kufukuzwa ngorongoro?ndrugu muerevu,
hili si suala la CCM, hili ni jambo muhimu sana kwa wananchi Tanzania nzima,
na huu ni ushauri wa maana sana kwa maslahi mapana ya uongozi na ustawi wa TLS na Taifa kwa ujumla , hakuna haja ya makasiriko wala mihemko π
Wamasai nao umewakumbuka? Au wanafukuzwa kwa maslahi ya nani? Mwarabu?? SHAMEtukijiepusha na hisia, huruma na hukumu za mapema kabla ya sheria kuchukua mkondo malalamiko ya dhuluma hayatakwisha daima..
keki ya Taifa ni Pamoja na huduma za umeme, maji, afya, usafirishaji, elimu ambazo ni kazi za jasho na mikono yetu wenyewe kama waTanzania...
tuendelee kulipa bila kukwepa kodi, tozo na ushuru ambazo ndizo hasa zinafanikisha keki ya Taifa kua tamu zaidi kwa wote, barabara zitajengwa, kilimo kitabadilika n.kkwa maslahi mapana ya waTanzania wote π
miaka mi3?π³Nchi hii ukifuata sheria ipasavyo watawala na wafuasi wao wanakuona una kiburi, majivuno, jeuri, huruma au hisia .
Mnae Mwabukusi kwa miaka 3 mpede msipende. Watanzania wnamuhitaji sana kipindi hiki
Huenda ni iD ya AG hii [emoji2][emoji2]Bado hamjasema[emoji23] na hapo ndio chuma kimegusa kidogo tuu
sure,Naunga mkono hoja
Niliuliza humu Hakuna Ubishi Mwabukusi ni Mwanaharakati, Je TLS Yake Iwe ya Kiharakati, Au Asilete Harakati Zake kwenye TLS Yetu, Ibaki Kuwa Profesheno Body?
- Tujikumbushe Kauli hii ya Rais Samia Atafanya Kazi na TLS ya Aina Gani? Hizi ni Salaam kwa Mwabu,. Swali ni is He A Bow Down Type or a Stand Firm?.
P
sifahamu msimamo wa TLS kwenye maeneo hayo,Mlihitaji Mwabukusi apongeze kubakwa kwa binti wa yombo au apongeze wamasai kufukuzwa ngorongoro?
Kanjunjumele Ashikilie hapo hapo, na bado hajarudi kuzungumzia bandari zetu ππ
of course kama ataleta kiburi na jeuri ataingia kwenye reference ya kushindwa vibaya kuongoza TLS sawa na akina Lisu na Fatma, hilo liko wazi sana gentleman πKumbuka atakuwepo mpaka 2027, kwahiyo bado sana.......nchi yetu neno haki linaonekana ni la watu fulani tu.......na kutokana na machawa kuwa wengi hadi kwenye vyombo vya haki na taasisi kadhaa zisizo za kiserikali zinazojifanya zinadeal na haki kumbe matapeli......Acha Mnyakyusa asaidie kupaza sauti na kuwasha tochi palipo na giza,hata asiposikilizwa.......kuna siku atakuwa reference
sifahamu kama kuna mtu ana kumbuka au kufahamu kilifanyika wakati wa uongozi TLS chini ya Lisu na huyu mwanamama mwingine Fatma Karume, zaidi ya malumbano, mipasho na mambambano dhidi ya serikali zilizokuako wakati huo, ambapo matokeo yake sasa, hapakuwezekana kufanyika chochote TLS kwa maslahi na manufaa mapana ya waTanzania...
na kwahivyo basi,
ni muhimu sana kwa Rais wa TLS wa sasa kutumia taaluma yake kuiongoza TLS, na kwa hekima na busara, kwa niaba ya waTanzania kutumia njia muafaka za kisheria kuwatetea waTanzania na kufikia hitimisho lenye manufaa kwa ustawi bora wa haki, uhuru na usawa miongoni mwa waTanzania...
hakuna haja ya kutumia kiburi, majivuno, jeuri, huruma au hisia kwenye mambo muhimu tena ya kisheria kwenye vyombo vya kutolea haki, huko ni kufanya mzaha na harakati binafsi za siasa kwenye haki za wananchi..
na kwa kufanya hivyo wengi watakosa haki zao za msingi na TLS inaweza kua sababu ya waTanzania wengi kupoteza haki zao, jambo ambalo ni aibu na fedheha kubwa sana kwa jumuiya na familia muhimu sana nzima ya wanasheria Tanzania..π
Mungu Ibariki Tanzania
Acha kuzunguka zunguka na maeelezo marefu. Nyooka moja kwa moja kwenye pointi yako kuwa unataka Mwabukusi asiwe anaikosoa Serikali kama Lissu na Fatuma Karume. Maana inawezekana na wewe ni miongoni mwa watanzania mbumbumbu wanaoamini Serikali inaongozwa na Malaika ambao kila wanachofanya ni sahihi - hawakosei kwa hiyo hawapaswi kukosolewa.sifahamu kama kuna mtu ana kumbuka au kufahamu kilifanyika wakati wa uongozi TLS chini ya Lisu na huyu mwanamama mwingine Fatma Karume, zaidi ya malumbano, mipasho na mambambano dhidi ya serikali zilizokuako wakati huo, ambapo matokeo yake sasa, hapakuwezekana kufanyika chochote TLS kwa maslahi na manufaa mapana ya waTanzania...
na kwahivyo basi,
ni muhimu sana kwa Rais wa TLS wa sasa kutumia taaluma yake kuiongoza TLS, na kwa hekima na busara, kwa niaba ya waTanzania kutumia njia muafaka za kisheria kuwatetea waTanzania na kufikia hitimisho lenye manufaa kwa ustawi bora wa haki, uhuru na usawa miongoni mwa waTanzania...
hakuna haja ya kutumia kiburi, majivuno, jeuri, huruma au hisia kwenye mambo muhimu tena ya kisheria kwenye vyombo vya kutolea haki, huko ni kufanya mzaha na harakati binafsi za siasa kwenye haki za wananchi..
na kwa kufanya hivyo wengi watakosa haki zao za msingi na TLS inaweza kua sababu ya waTanzania wengi kupoteza haki zao, jambo ambalo ni aibu na fedheha kubwa sana kwa jumuiya na familia muhimu sana nzima ya wanasheria Tanzania..π
Mungu Ibariki Tanzania
akileta kiburi, jeuri na mapambano dhidi ya serikali badala ya kushauriana nayo namna bora ya kutetea haki na kufikia muafaka wa haki katika mambo mbalimbali yenye maslahi mapana ya waTanzania wote, anaweza kujikuta anaongoza miezi sita tu kipindi kilichobaki akiwa nje ya uongozi kwa labda kunyang'anywa sifa za uongozi kwasabb za kimaadili au utovu wa nidhamu πHuenda ni iD ya AG hii [emoji2][emoji2]View attachment 3075349
Kwa viazi, Hizo nyakati za usio wapenda ndiyo angalau ulipata kutambua kuwa hiyo taasisi ina existkipindi cha Lisu na Fatma sifa za kijinga zilikua zaidi ya hizi gentleman π
na hakuna kuchoka kusema na kueleza ukweli...
na mpaka leo hao watu hawajulikani hata walifanya nini mpaka wa leo, ule wa sifa na kiburi, ujuaji mwingi kumbe mbele kiza uliwaponza π
ushauri mwanana wa maana sana nimeutoa kitaamu na kwahivyo nimetekeleza wajibu wangu vyema na sidaiwi tena ikiwa mambo yatakwenda kombo huko tuendako π
Nyie ccm na wafuas wenu wote ni wapumbavu ndio maana nchi toka uhuru mnafikiria matundu ya choo, haya tuambie lissu alivurunda Nini tls?sifahamu kama kuna mtu ana kumbuka au kufahamu kilifanyika wakati wa uongozi TLS chini ya Lisu na huyu mwanamama mwingine Fatma Karume, zaidi ya malumbano, mipasho na mambambano dhidi ya serikali zilizokuako wakati huo, ambapo matokeo yake sasa, hapakuwezekana kufanyika chochote TLS kwa maslahi na manufaa mapana ya waTanzania...
na kwahivyo basi,
ni muhimu sana kwa Rais wa TLS wa sasa kutumia taaluma yake kuiongoza TLS, na kwa hekima na busara, kwa niaba ya waTanzania kutumia njia muafaka za kisheria kuwatetea waTanzania na kufikia hitimisho lenye manufaa kwa ustawi bora wa haki, uhuru na usawa miongoni mwa waTanzania...
hakuna haja ya kutumia kiburi, majivuno, jeuri, huruma au hisia kwenye mambo muhimu tena ya kisheria kwenye vyombo vya kutolea haki, huko ni kufanya mzaha na harakati binafsi za siasa kwenye haki za wananchi..
na kwa kufanya hivyo wengi watakosa haki zao za msingi na TLS inaweza kua sababu ya waTanzania wengi kupoteza haki zao, jambo ambalo ni aibu na fedheha kubwa sana kwa jumuiya na familia muhimu sana nzima ya wanasheria Tanzania..π
Mungu Ibariki Tanzania
Unaelewa wajibu wa TLS?miaka mi3?π³
nchi hii inaendeshwa kwa misingi ya sheria na katiba, kiburi, jeuri na majivuno vinatumika wap, tena kwa watu wabobevu hususan katika sheria?π
nadhan hakuna sababu hata moja kuiga kiburi, ujuaji mwingi, kutumia hisia na huruma kuongoza vyombo mbalimbali vya umma kwa maslahi mapana ya wananchi wote π