Mwabukusi asipotumia taaluma yake vyema, hekima na busara kuongoza TLS atavurunda zaidi ya ilivyokuwa kwa Tundu Lissu na Fatma Karume

Wewe na mleta mada mna akili zinazofanana. Kabla ya kuhoji ufanisi wa hao waliotajwa, tungehoji na maraisi wengine walifanya nini. Nimeshangaa uelewa wako kuwa, uanaharakati ni kuwa unprofessional kitu ambacho sio sahihi. TLS ni civil society ambayo kazi yake kubwa ni pamoja na kupaza sauti na kuchukua hatua pale sheria za nchi zinapokiukwa.
 
Huenda ni iD ya AG hii [emoji2][emoji2]View attachment 3075349
akileta kiburi, jeuri na mapambano dhidi ya serikali badala ya kushauriana nayo namna bora ya kutetea haki na kufikia muafaka wa haki katika mambo mbalimbali yenye maslahi mapana ya waTanzania wote, anaweza kujikuta anaongoza miezi sita tu kipindi kilichobaki akiwa nje ya uongozi kwa labda kunyang'anywa sifa za uongozi kwasabb za kimaadili au utovu wa nidhamu
binafsi sijasema kuna mtu katoka nje ya mstari,
ni mapema mno...

nimetoa tu angalizo na ushauri wa kitaalamu kwa Boss mpya wa TLS kufanikiwa,

binafsi I want to see a very powerful TLS in Tz, I want to see vibrant TLS inTz, I want to see East African people talking about professionalism in TLS etc...

mengine yatakua hisia mseto tu za wanguwana 🐒
 
Uliowataja wote ni wapambani haki,so unataka kusema kina hosea ndo walifanya vizuri??

Maccm bhana.
 
Muuze nchi watu wawapigie makofi?

Hao wanaouza nchi ndio wamejaa kiburi na majivuno.
makofi ya nini gentleman?

ameuza nchi nani, na by the way nchi haiuziki ni muhimu kuondoa upotofu wa aina hiyo kwenye fikra zao, ni kukaribisha au kukomaza umaskini ndani yako..


hata hivyo nazungumzia TLS,
kwamba boss mpya wa TLS atumie taaluma yake, hekima na busara kuongoza Taasisi ile na atafanikiwa,
vinginevyoa atakwama kama walivyovurunda Lisu na Fatma 🐒
 
Ccm hapendi haki mtu anayetetea haki ni adui yao
 
Rudi kwa waliokutuma. Waambie haujawakuta
 
Mwabukusu hawezi kuvurunda.. Mti mwema lazma upigwe mawe!! Hata jiwe alipigwa sana Mawe
vp Lisu na Fatma,
Kiliwashinda nini au hata kukumbuka tu kwamba walikua mabosi wa TLS hukumbuki?

they did nothing completely 🤣

kwababu ya kiburi, jeuri na ujuaji mwingi kumbe mbele kiza 🐒
 
kujizungusha unajizungusha mwenyewe tu gentleman 🐒

I very clear,
ushauri wangu wa kitaalamu wa kitaifa kwa boss mpya wa TLS ndio huo na ni hayari kuufuata na sio Lazima hata kidogo

hizo blabla zingine na imani potofu za kisiasa labda tutakutana kwenye platform au hoja nyingine, ila kwenye hili la TLS bilashaka nimeeleweka vyema bila mbambamba yoyote 🐒
 
Kwa viazi, Hizo nyakati za usio wapenda ndiyo angalau ulipata kutambua kuwa hiyo taasisi ina exist
Taasisi hiyo iliku vibrant sana kipindi cha uongozi wa Dr Edward Hossea, TLS was at least hot 🐒
 
muerevu relax bas, mihemko ya nini sasa?

wakumbushe kwanza wanguwana Lisu alikua boss wa TLS lini?

na ni muhimu kwa kifupi sana ukawaelezea na hiyo record ya mambo mazito alofanya Lisu wakati huo akiwa Rais wa TLS 🤣
 
Ya Lisu na Fatma ilisubiriwa kwa hamu na gamu na ikaenda mikono mitu bila hata cha ku-uma 🤣
We chawa mkuu ndio maana lisu mlimpiga risasi mapema sio mnazidi kudhihirisha kwa wananchi kua ccm sio wapenda haki wao na serikali yao
 
Unaelewa wajibu wa TLS?
MWABUKUSI aliulizwa hilo swali siku ya uchaguzi alitaka kutapika aise 🤣

ni muhimu sana ukajikita zaidi kwenye ushauri wa kitaalamu kwa Boss mpya wa TLS ili kuchochea ufaninisi katika kuyafikia malengo na mipango ya Jumla ya TLS hususan katika masuala ya haki 🐒
 
Shida sio Mwabukusi. Huenda kwa sababu sio kada wa kijani, ataandamwa mno na kupe/chawa wa kijani.
 
katika kipindi cha uongozi wa Lisu na Fatma pale TLS umewahi kuona hayo uliyoyataja kama kazi kubwa ya Civil Societies, sijui kupaza sauti na kuchukua hatu?

kama sio blablaa, kelele mingi na kubwekabweka kusiko na mpangilio mpaka muda wao ukaisha 🤣
 
Kwahiyo mtu akitetea watu anakuwa hafai, ila waziri, atetee polisi, serikali, mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya nk, hata kama hawako sawa? Acha uchawa KAZI ya wakili ni kutetea anayeonekana kuonewa. Iwe serikali, taasisi, kiwanda, mtu binafsi au Kampuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…