Mwabukusi asipotumia taaluma yake vyema, hekima na busara kuongoza TLS atavurunda zaidi ya ilivyokuwa kwa Tundu Lissu na Fatma Karume

Kuna huyu na yule choice wanateseka sana wakiona upinzani umeshika nafasi

Kula kibao cha acha waisome namba eeπŸŽΆπŸ˜‚
 
Peleka ujinga na upumbavu wako huko!
 
Kila jambo na mahali pake huhitaji busara penye watu waliojitoa ufahamu kwa makusudi n̈a kuamua kukandamiza watu..mtu muovu humbebelezi kuacha ubaya, UNAMKEMEA/UNAMKARIPIA kwa lugha yenye mkazo aache uovu!
 
Naona Wazanzibar mnatamba tu humu mitandaoni. Endeleeni tu Shehe ndo wakati wenu huu
 
Huu ujumbe wako waambie serikali..ndio mahali pake.
 
Naona Wazanzibar mnatamba tu humu mitandaoni. Endeleeni tu Shehe ndo wakati wenu huu
baki huko huko na fikra na mawazo finyu ya kibaguzi tahadhali sana gentleman πŸ’
 
Peleka hizo ramli zako kwenu..wewe shida yako nini, umekatazwa kusifu?
 
Unavyeti vya chuo gan na umesea nn chuo weka
actually,
mimi ni mwanadiplomasia mbobevu katika siasa za kitaifa na kimataifa, utawala, kilimo na ufugaji Lakini pia ni mwalimu vyuo vikuu mbalimbali vya kitaifa na kimataifa, ni nabii muhuburi ambae pia ni kiongozi muandamizi wa wanainchi miongoni mwa majimbo ya uchaguzi kisiasa, yanayopiga HATUA kwa haraka sana kimaendeleo kwa wananchi wake πŸ’

hata hivyo,
ushauri wangu huu wa kitaalamu ni kwa maslahi mapana ya Taifa na wote wale wanataka kufanikiwa kirahisi katika idara, taasisi au maeneo wanayoyaongoza, sawa gentleman? right?πŸ’
 
Wewe ndie mamlaka yake ya tathmini kujua kama amefanikiwa au amekwama..? Mwache Mwabukusi afanye lazi yake, hayo unayosema muda wa kufanya hayo ulishapita kitambo..
 
Majizi yameanza kulia
unalilia nini tena gentleman na huo ndio ukweli uliobaki? na mbona wakati wa LISU na Fatma haukulia uje ulie kwa boss mpya wa TLS wa sasa?πŸ’

unatafuta huruma eee
 
Wewe ndie mamlaka yake ya tathmini kujua kama amefanikiwa au amekwama..? Mwache Mwabukusi afanye lazi yake, hayo unayosema muda wa kufanya hayo ulishapita kitambo..
mimi sijatathmini gentleman, ni metoa tu professional technical advice ili afanikiwe kirahisi na hatimae historia itamkumbuka πŸ’

tizama LISU na Fatma wanakumbukwa kwa kiburi tu 🀣
 
Peleka hizo ramli zako kwenu..wewe shida yako nini, umekatazwa kusifu?
Gentleman,
si ungetulia tu huko huko na ushirikina na mihemko yako..

unakuja hapa kumbwelambwela bila hoja, mawazo mapya wala fikra mbadala?

wewe sasa si ni sawa na useless na nonsense tu πŸ’
 
Labda ungetoa definition ya mwanaharakati (activists) kwanza; ndiyo tujadili, maanda sioni yupi hayajawahi kuwa activist kabla ya kutaka mtu awe professional. Professional atakuwaje active ile aeleweke?
 
ukweli ndio bangi yenyewe hiyo gentleman mpaka usievuta unaisikilizia dah 🀣

ukweli ni kitu cha ajabu sana Lakini itabidi uzoee tu bobπŸ’
Hawawezi kukuelewa lkn ndio ushasema ukweli, muda utaongea.
 
vp Lisu na Fatma,
Kiliwashinda nini au hata kukumbuka tu kwamba walikua mabosi wa TLS hukumbuki?

they did nothing completely 🀣

kwababu ya kiburi, jeuri na ujuaji mwingi kumbe mbele kiza πŸ’
😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…