city bookstore
JF-Expert Member
- Oct 27, 2022
- 375
- 987
Kuna huyu na yule choice wanateseka sana wakiona upinzani umeshika nafasi
Kula kibao cha acha waisome namba ee🎶😂
Kula kibao cha acha waisome namba ee🎶😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Peleka ujinga na upumbavu wako huko!Sifahamu kama kuna mtu anakumbuka au kufahamu kilifanyika wakati wa uongozi TLS chini ya Lissu na huyu mwanamama mwingine Fatma Karume, zaidi ya malumbano, mipasho na mambambano dhidi ya Serikali zilizokuako wakati huo, ambapo matokeo yake sasa, hapakuwezekana kufanyika chochote TLS kwa maslahi na manufaa mapana ya waTanzania.
Na kwahivyo basi,
Ni muhimu sana kwa Rais wa TLS wa sasa kutumia taaluma yake kuiongoza TLS, na kwa hekima na busara, kwa niaba ya waTanzania kutumia njia muafaka za kisheria kuwatetea waTanzania na kufikia hitimisho lenye manufaa kwa ustawi bora wa haki, uhuru na usawa miongoni mwa waTanzania.
Hakuna haja ya kutumia kiburi, majivuno, jeuri, huruma au hisia kwenye mambo muhimu tena ya kisheria kwenye vyombo vya kutolea haki, huko ni kufanya mzaha na harakati binafsi za siasa kwenye haki za wananchi.
Na kwa kufanya hivyo wengi watakosa haki zao za msingi na TLS inaweza kua sababu ya waTanzania wengi kupoteza haki zao, jambo ambalo ni aibu na fedheha kubwa sana kwa jumuiya na familia muhimu sana nzima ya wanasheria Tanzania.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Waambie ukweli Hawa mapimbi hawaelewi kitu chochote kabisa!Mpo busy na Mwabukusi badala ya kudili na Mwanasheria wa Serikali kuhusu Nchi wanavyooingiza kwenye madeni yanayolipwa kila siku hao TLS wanatuingiza hasara gani?
Kila jambo na mahali pake huhitaji busara penye watu waliojitoa ufahamu kwa makusudi n̈a kuamua kukandamiza watu..mtu muovu humbebelezi kuacha ubaya, UNAMKEMEA/UNAMKARIPIA kwa lugha yenye mkazo aache uovu!Mwambukusi uelewa anao ila busara za kiuongozi hana shida inaanzia hapo. Anafikiria ki harakati zaidi kuliko kiuongozi, anafikiria kupambana na watu fulani/mamlaka badala ya kutengeneza mkakati wa ku engage makundi yote.
Ajue anasomewa ramani tu asipobadilika kazi yake itafanyika kuwa ngumu sana achukie hata huo urais wake.
pwagu na pwaguzi mnapeana moyo sio 🤣Mtoa mada Wala hajitambui TLS ya Sungusia ndio anaisemea!?
relax na upunguze makasiriko gentleman ,Peleka ujinga na upumbavu wako huko!
Naona Wazanzibar mnatamba tu humu mitandaoni. Endeleeni tu Shehe ndo wakati wenu huuSifahamu kama kuna mtu anakumbuka au kufahamu kilifanyika wakati wa uongozi TLS chini ya Lissu na huyu mwanamama mwingine Fatma Karume, zaidi ya malumbano, mipasho na mambambano dhidi ya Serikali zilizokuako wakati huo, ambapo matokeo yake sasa, hapakuwezekana kufanyika chochote TLS kwa maslahi na manufaa mapana ya waTanzania.
Na kwahivyo basi,
Ni muhimu sana kwa Rais wa TLS wa sasa kutumia taaluma yake kuiongoza TLS, na kwa hekima na busara, kwa niaba ya waTanzania kutumia njia muafaka za kisheria kuwatetea waTanzania na kufikia hitimisho lenye manufaa kwa ustawi bora wa haki, uhuru na usawa miongoni mwa waTanzania.
Hakuna haja ya kutumia kiburi, majivuno, jeuri, huruma au hisia kwenye mambo muhimu tena ya kisheria kwenye vyombo vya kutolea haki, huko ni kufanya mzaha na harakati binafsi za siasa kwenye haki za wananchi.
Na kwa kufanya hivyo wengi watakosa haki zao za msingi na TLS inaweza kua sababu ya waTanzania wengi kupoteza haki zao, jambo ambalo ni aibu na fedheha kubwa sana kwa jumuiya na familia muhimu sana nzima ya wanasheria Tanzania.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Huu ujumbe wako waambie serikali..ndio mahali pake.miaka mi3?😳
nchi hii inaendeshwa kwa misingi ya sheria na katiba, kiburi, jeuri na majivuno vinatumika wap, tena kwa watu wabobevu hususan katika sheria?🐒
nadhan hakuna sababu hata moja kuiga kiburi, ujuaji mwingi, kutumia hisia na huruma kuongoza vyombo mbalimbali vya umma kwa maslahi mapana ya wananchi wote 🐒
Peleka hizo ramli zako kwenu..wewe shida yako nini, umekatazwa kusifu?akileta kiburi, jeuri na mapambano dhidi ya serikali badala ya kushauriana nayo namna bora ya kutetea haki na kufikia muafaka wa haki katika mambo mbalimbali yenye maslahi mapana ya waTanzania wote, anaweza kujikuta anaongoza miezi sita tu kipindi kilichobaki akiwa nje ya uongozi kwa labda kunyang'anywa sifa za uongozi kwasabb za kimaadili au utovu wa nidhamu 🐒
actually,Unavyeti vya chuo gan na umesea nn chuo weka
Wewe ndie mamlaka yake ya tathmini kujua kama amefanikiwa au amekwama..? Mwache Mwabukusi afanye lazi yake, hayo unayosema muda wa kufanya hayo ulishapita kitambo..makofi ya nini gentleman?
ameuza nchi nani, na by the way nchi haiuziki ni muhimu kuondoa upotofu wa aina hiyo kwenye fikra zao, ni kukaribisha au kukomaza umaskini ndani yako..
hata hivyo nazungumzia TLS,
kwamba boss mpya wa TLS atumie taaluma yake, hekima na busara kuongoza Taasisi ile na atafanikiwa,
vinginevyoa atakwama kama walivyovurunda Lisu na Fatma 🐒
mimi sijatathmini gentleman, ni metoa tu professional technical advice ili afanikiwe kirahisi na hatimae historia itamkumbuka 🐒Wewe ndie mamlaka yake ya tathmini kujua kama amefanikiwa au amekwama..? Mwache Mwabukusi afanye lazi yake, hayo unayosema muda wa kufanya hayo ulishapita kitambo..
Gentleman,Peleka hizo ramli zako kwenu..wewe shida yako nini, umekatazwa kusifu?
Labda ungetoa definition ya mwanaharakati (activists) kwanza; ndiyo tujadili, maanda sioni yupi hayajawahi kuwa activist kabla ya kutaka mtu awe professional. Professional atakuwaje active ile aeleweke?Naunga mkono hoja
Niliuliza humu Hakuna Ubishi Mwabukusi ni Mwanaharakati, Je TLS Yake Iwe ya Kiharakati, Au Asilete Harakati Zake kwenye TLS Yetu, Ibaki Kuwa Profesheno Body?
- Tujikumbushe Kauli hii ya Rais Samia Atafanya Kazi na TLS ya Aina Gani? Hizi ni Salaam kwa Mwabu,. Swali ni is He A Bow Down Type or a Stand Firm?.
P
Hawawezi kukuelewa lkn ndio ushasema ukweli, muda utaongea.ukweli ndio bangi yenyewe hiyo gentleman mpaka usievuta unaisikilizia dah 🤣
ukweli ni kitu cha ajabu sana Lakini itabidi uzoee tu bob🐒
😁😁😁😁vp Lisu na Fatma,
Kiliwashinda nini au hata kukumbuka tu kwamba walikua mabosi wa TLS hukumbuki?
they did nothing completely 🤣
kwababu ya kiburi, jeuri na ujuaji mwingi kumbe mbele kiza 🐒