Mwabukusi asipotumia taaluma yake vyema, hekima na busara kuongoza TLS atavurunda zaidi ya ilivyokuwa kwa Tundu Lissu na Fatma Karume

Mwabukusi asipotumia taaluma yake vyema, hekima na busara kuongoza TLS atavurunda zaidi ya ilivyokuwa kwa Tundu Lissu na Fatma Karume

Kuna huyu na yule choice wanateseka sana wakiona upinzani umeshika nafasi

Kula kibao cha acha waisome namba ee🎶😂
 
Sifahamu kama kuna mtu anakumbuka au kufahamu kilifanyika wakati wa uongozi TLS chini ya Lissu na huyu mwanamama mwingine Fatma Karume, zaidi ya malumbano, mipasho na mambambano dhidi ya Serikali zilizokuako wakati huo, ambapo matokeo yake sasa, hapakuwezekana kufanyika chochote TLS kwa maslahi na manufaa mapana ya waTanzania.

Na kwahivyo basi,
Ni muhimu sana kwa Rais wa TLS wa sasa kutumia taaluma yake kuiongoza TLS, na kwa hekima na busara, kwa niaba ya waTanzania kutumia njia muafaka za kisheria kuwatetea waTanzania na kufikia hitimisho lenye manufaa kwa ustawi bora wa haki, uhuru na usawa miongoni mwa waTanzania.

Hakuna haja ya kutumia kiburi, majivuno, jeuri, huruma au hisia kwenye mambo muhimu tena ya kisheria kwenye vyombo vya kutolea haki, huko ni kufanya mzaha na harakati binafsi za siasa kwenye haki za wananchi.

Na kwa kufanya hivyo wengi watakosa haki zao za msingi na TLS inaweza kua sababu ya waTanzania wengi kupoteza haki zao, jambo ambalo ni aibu na fedheha kubwa sana kwa jumuiya na familia muhimu sana nzima ya wanasheria Tanzania.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Peleka ujinga na upumbavu wako huko!
 
Mwambukusi uelewa anao ila busara za kiuongozi hana shida inaanzia hapo. Anafikiria ki harakati zaidi kuliko kiuongozi, anafikiria kupambana na watu fulani/mamlaka badala ya kutengeneza mkakati wa ku engage makundi yote.

Ajue anasomewa ramani tu asipobadilika kazi yake itafanyika kuwa ngumu sana achukie hata huo urais wake.
Kila jambo na mahali pake huhitaji busara penye watu waliojitoa ufahamu kwa makusudi n̈a kuamua kukandamiza watu..mtu muovu humbebelezi kuacha ubaya, UNAMKEMEA/UNAMKARIPIA kwa lugha yenye mkazo aache uovu!
 
Sifahamu kama kuna mtu anakumbuka au kufahamu kilifanyika wakati wa uongozi TLS chini ya Lissu na huyu mwanamama mwingine Fatma Karume, zaidi ya malumbano, mipasho na mambambano dhidi ya Serikali zilizokuako wakati huo, ambapo matokeo yake sasa, hapakuwezekana kufanyika chochote TLS kwa maslahi na manufaa mapana ya waTanzania.

Na kwahivyo basi,
Ni muhimu sana kwa Rais wa TLS wa sasa kutumia taaluma yake kuiongoza TLS, na kwa hekima na busara, kwa niaba ya waTanzania kutumia njia muafaka za kisheria kuwatetea waTanzania na kufikia hitimisho lenye manufaa kwa ustawi bora wa haki, uhuru na usawa miongoni mwa waTanzania.

Hakuna haja ya kutumia kiburi, majivuno, jeuri, huruma au hisia kwenye mambo muhimu tena ya kisheria kwenye vyombo vya kutolea haki, huko ni kufanya mzaha na harakati binafsi za siasa kwenye haki za wananchi.

Na kwa kufanya hivyo wengi watakosa haki zao za msingi na TLS inaweza kua sababu ya waTanzania wengi kupoteza haki zao, jambo ambalo ni aibu na fedheha kubwa sana kwa jumuiya na familia muhimu sana nzima ya wanasheria Tanzania.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Naona Wazanzibar mnatamba tu humu mitandaoni. Endeleeni tu Shehe ndo wakati wenu huu
 
miaka mi3?😳

nchi hii inaendeshwa kwa misingi ya sheria na katiba, kiburi, jeuri na majivuno vinatumika wap, tena kwa watu wabobevu hususan katika sheria?🐒

nadhan hakuna sababu hata moja kuiga kiburi, ujuaji mwingi, kutumia hisia na huruma kuongoza vyombo mbalimbali vya umma kwa maslahi mapana ya wananchi wote 🐒
Huu ujumbe wako waambie serikali..ndio mahali pake.
 
Naona Wazanzibar mnatamba tu humu mitandaoni. Endeleeni tu Shehe ndo wakati wenu huu
baki huko huko na fikra na mawazo finyu ya kibaguzi tahadhali sana gentleman 🐒
 
akileta kiburi, jeuri na mapambano dhidi ya serikali badala ya kushauriana nayo namna bora ya kutetea haki na kufikia muafaka wa haki katika mambo mbalimbali yenye maslahi mapana ya waTanzania wote, anaweza kujikuta anaongoza miezi sita tu kipindi kilichobaki akiwa nje ya uongozi kwa labda kunyang'anywa sifa za uongozi kwasabb za kimaadili au utovu wa nidhamu 🐒
Peleka hizo ramli zako kwenu..wewe shida yako nini, umekatazwa kusifu?
 
Unavyeti vya chuo gan na umesea nn chuo weka
actually,
mimi ni mwanadiplomasia mbobevu katika siasa za kitaifa na kimataifa, utawala, kilimo na ufugaji Lakini pia ni mwalimu vyuo vikuu mbalimbali vya kitaifa na kimataifa, ni nabii muhuburi ambae pia ni kiongozi muandamizi wa wanainchi miongoni mwa majimbo ya uchaguzi kisiasa, yanayopiga HATUA kwa haraka sana kimaendeleo kwa wananchi wake 🐒

hata hivyo,
ushauri wangu huu wa kitaalamu ni kwa maslahi mapana ya Taifa na wote wale wanataka kufanikiwa kirahisi katika idara, taasisi au maeneo wanayoyaongoza, sawa gentleman? right?🐒
 
makofi ya nini gentleman?

ameuza nchi nani, na by the way nchi haiuziki ni muhimu kuondoa upotofu wa aina hiyo kwenye fikra zao, ni kukaribisha au kukomaza umaskini ndani yako..

hata hivyo nazungumzia TLS,
kwamba boss mpya wa TLS atumie taaluma yake, hekima na busara kuongoza Taasisi ile na atafanikiwa,
vinginevyoa atakwama kama walivyovurunda Lisu na Fatma 🐒
Wewe ndie mamlaka yake ya tathmini kujua kama amefanikiwa au amekwama..? Mwache Mwabukusi afanye lazi yake, hayo unayosema muda wa kufanya hayo ulishapita kitambo..
 
Majizi yameanza kulia
unalilia nini tena gentleman na huo ndio ukweli uliobaki? na mbona wakati wa LISU na Fatma haukulia uje ulie kwa boss mpya wa TLS wa sasa?🐒

unatafuta huruma eee
 
Wewe ndie mamlaka yake ya tathmini kujua kama amefanikiwa au amekwama..? Mwache Mwabukusi afanye lazi yake, hayo unayosema muda wa kufanya hayo ulishapita kitambo..
mimi sijatathmini gentleman, ni metoa tu professional technical advice ili afanikiwe kirahisi na hatimae historia itamkumbuka 🐒

tizama LISU na Fatma wanakumbukwa kwa kiburi tu 🤣
 
Peleka hizo ramli zako kwenu..wewe shida yako nini, umekatazwa kusifu?
Gentleman,
si ungetulia tu huko huko na ushirikina na mihemko yako..

unakuja hapa kumbwelambwela bila hoja, mawazo mapya wala fikra mbadala?

wewe sasa si ni sawa na useless na nonsense tu 🐒
 
Labda ungetoa definition ya mwanaharakati (activists) kwanza; ndiyo tujadili, maanda sioni yupi hayajawahi kuwa activist kabla ya kutaka mtu awe professional. Professional atakuwaje active ile aeleweke?
 
vp Lisu na Fatma,
Kiliwashinda nini au hata kukumbuka tu kwamba walikua mabosi wa TLS hukumbuki?

they did nothing completely 🤣

kwababu ya kiburi, jeuri na ujuaji mwingi kumbe mbele kiza 🐒
😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom