Mwabukusi: DPW ingebidi wapewe Bunge waondoke nalo kabisa

kanisa na maaskofu wako hawawezi kupewa na hawajui kuhusu bandari wakae Mbeya waimbe kwaya hiyo bahari walianza kuijua lin?
 
naunga mkono hoja, kama issue ni ufanisi Tanganyika hapa vitu vingi havina ufanisi hata Bunge lenyewe sio fanisi maana yake nalo libinafsishwe sasa kama issue ni kubinafsisha kila kinachokosa ufanisi.
Huu ni malipo ya ule wa kanisa . Kwani nao ni charity?.
 
Unajielewa kweli ,which professional are you ? nisije bishana na mtu kumbe mwalimu wa History.

My professionalism has nothing to do with this topic, but the way unajibu hoja as if ni joke?
Unaulizwa 2+2 ww unajibu swali lingine. It a simple fuckin logic but una run around the bush
Be straight man umeulizwa jibu, una swali uliza hapo hapo, stop jumping around man
Thats childish
 
kanisa na maaskofu wako hawawezi kupewa na hawajui kuhusu bandari wakae Mbeya waimbe kwaya hiyo bahari walianza kuijua lin?
Aiseeee..!! Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo. Kwahiyo wale wabunge wanaochangia kuhusu korosho na wao wanalima pamba unataka kuwaambia nini..!!?? Huu ndo mwanzo wa kila watu wajadili vya kwao..!!

BTW, unadhani kwanini tunasoma? Unaweza kukuta mgogo wa pale Dodoma, anaijua bahari zaidi ya mzaramo wa pwani, ingawa mgogo huyu kwao kuna ukame..!! Kwani hakuna wazungu wanaoujua mlima kilimanjaro zaidi ya Mpare aliyeko Same?
 
Unataka kusema kuwa hao wanaokuja wameitwa na wa upande mwingine na ni mkataba utakaokuwa na maslahi mapana ya watu hao.
Maaskofu wako hawajui kitu kuhusu bandari mtu wa Mbeya anajua nn kuhusu bahari kama sio shobo.!!
 
Tuende taratibu kijana niambie Mkataba wa Tanzania na makanisa kutoa ruzuku kweny hospital kila mwaka tangu mwaka 92 ni wa mda gani ? then ntakujibu kwa hoja
Sema mimi ninaesoma hii coment ni MPUMBAVU
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Maaskofu wako hawajui kitu kuhusu bandari mtu wa Mbeya anajua nn kuhusu bahari kama sio shobo.!!
Una majahazi mangapi. Kumbuka mbeya kuza ziwa Nyasa na Rukwa japo kabla ya Songwe. Pia wanakula sana migebuka yatanganyika
 
Una majahazi mangapi. Kumbuka mbeya kuza ziwa Nyasa na Rukwa japo kabla ya Songwe. Pia wanakula sana migebuka yatanganyika
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Ebu kale maparachichi ukaharishe mbele ,hujui chochote kuhusu bandari ndo maana mnaongea porojo.!
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Hamna hoja hao porojo tu ukitoa hayo maneno yao makali hamna hoja.

Likiisha watakuja suala la katiba.
Kama wale watu wambea kina Juma Lokole wanaenda na trend tu hawako serious.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Ebu kale maparachichi ukaharishe mbele ,hujui chochote kuhusu bandari ndo maana mnaongea porojo.!
Tupe somo Mtaalamu. Bandari ni nini?. Na na umebobea kwenye nini haswa. Nini ambacho hakiwezi fanyika pale bandarini baada ya mkataba kurekebishwa.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ