johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Rais wa TLS Mh BAK Mwabukusi amesema kabla ya Maridhiano huanza na Muafaka vinginevyo Bila muafaka hayo Maridhiano yanabaki kuwa domestic arrangements hayana nguvu ya kisheria wala Uhalali wa kisiasa
Mwabukusi amewataka Chadema watuonyeshe huo Muafaka wa kitaifa
Ni Ukurasani X
Anaanza kwa kusema..
HUKU SITE TULETEENI TUNDU ANTIPAS LISSU MUGWAY.
Kabla ya Maridhiano huwa tuna anza na muafaka.Mnao piga kelele ya Maridhiano tuonesheni muafaka wa Kitaifa( kinyume cha hapo inabaki kuwa domestic arrangement isiyokuwa na nguvu ya kisheria wala uhalali wa kisiasa.
Umuhimu wa Muafaka:Muafaka wa kitaifa huweka misingi ya kuelewana kuhusu masuala nyeti kama haki za kisiasa, mgawanyo wa madaraka, uchumi, na utawala wa sheria. Bila msingi huu, maridhiano yanaweza kuwa ya juu juu tu.
Yani inakuwa kama habgaisha Bwege au Meli iliyo baharini bila kujua inakoelekea.Kipaumbele cha Misingi: Muafaka wa kitaifa hutoa mwelekeo wa pamoja kwa jamii nzima, unaotoa nafasi kwa maridhiano kuwa endelevu na yanayokubalika kwa wengi Je, hao wana maridhiano wamewahi kukuonesha Muafaka wa kitaifa ulio jumuishi na na wenye nguvu za kisheria? ( Jiulize nami ni Jiulize ili mwisho tuulizaneWenzetu huanza na Muafaka kabla ya Maridhiano.)
Ni vyema kufikia muafaka wa kitaifa kwanza ili maridhiano yawe na nguvu ya kudumu. Hata hivyo, hali halisi inaweza kulazimisha kuanza na maridhiano kama njia ya kujenga mazingira ya kufanikisha muafaka.
Katika muktadha wa Tanzania, au nchi yoyote yenye changamoto za kijamii na kisiasa, ni muhimu kufuata njia inayochukua mtazamo wa pande zote na kulenga maslahi ya muda mrefu.Kwa hiyo katika hila bado Tundu Antipas Mughway Lissu anatosha......