Mwabukusi, Lissu, Nshalla na Mbowe mmetuharibia mjadala wa Bandari

Sawa hao ni mawakala wa wazungu turudi kwenye mada mkataba unamaslahi gani kwa Taifa??? Na Falme za Kiarabu zimewahi kutusaidia nini watanzania???
 
Wala hakuna rushwa yoyote wamepewa, Hawa jamaa wanahitaji majibu ya maswali machache tu likiwemo " Kwanini bandari za Zanzibar hazimo kwenye mkataba huu"? Nina uhakika hata wewe huna jibu la swali hilo.!
 
“Hao ulio wataja ni mawakala wa wazungu”
Swali. Kwa statement yako, prove ulichokisema in relation to evidence kwamba kweli wanatumika na so called “wazungu”
 
Umetumwa wewe lakini umechekewa.

Wewe ni wale wale sema umekuja kama malaika wa nuru lkn gizani wewe ni lucifer tu
 
“Hao ulio wataja ni mawakala wa wazungu”
Swali. Kwa statement yako, prove ulichokisema in relation to evidence kwamba kweli wanatumika na so called “wazungu”
Muulize pia walioingia mkataba ni mawakala wa Waarabu?
 
Kichwa chako kina matatizo
Wewe unaona ni Sawa kabisa MTU WA bara kutoruhusiwa kuwa kiongozi Zenj Wala kumiliki ardhi zenji lakini MTU WA zenji bara anakuwa na sifa Hizo hyo Kwako ni Sawa kabisa?
Hii ni aina ya rushwa ili kuwafanya wazenj wasitamani kujitoa kwenye muungano. Kwa nn upendeleo wa waziwazi namna hii na kumnyima mtanganyika haki kama hiyo huko zenj?
 
Hisia na chuki zinakuongoza hakuna wa kuweza kumhonga Mbowe hahongeki nitajie hata mmoja wa kuweza kumhonga Mbowe hao ccm wenyewe wana njaa kama nini.
 
Unakunywa mapombe machafu. Itakuwa ile Gongo ya Kiniesi.
 
“Hao ulio wataja ni mawakala wa wazungu”
Swali. Kwa statement yako, prove ulichokisema in relation to evidence kwamba kweli wanatumika na so called “wazungu”
Sio kila unachokifahamu unakiweka hadharani mbele ya mamilioni ya macho ya wasomaji wa humu JF.

Tambua ugumu wa hivi vita haswa baada ya wapigaji kuhakikishiwa mwisho wa upitishaji wa magumashi yao pale TPA.
 
kwani hao wanaochukua bandari zetu sio waarabu?? wewe mtu akikuita mmatumbi is it not a fact???

Huko Uk nako wana mkataba wa milele???

Nani anatumia ujinga kuteka akili ya nani??? wewe sema kama una maslahi na hao 'waarabu'?
Tunataka tija ya uchumi iongezeke hata angekuwa ni mhindi anakuja kumiliki hiyo bandari kwetu ni sawa tu.

Tunataka kuondoka na foleni za kuingiza meli ambazo zina uhusiano wa moja kwa moja na bei za bidhaa huku mitaani.

Tunataka kuharakisha utoaji wa mizigo katika eneo lile la bandari, hali inayoleta ujenzi wa ICDs nyingi katika maeneo yale ambazo zinamilikiwa na wenye uhusiano wa karibu na wanasiasa wenye vyeo vikubwa serikalini.

Tumetambua na tulishatambua faida za DPW muda mrefu sana uliopita na tupo na Rais SSH na serikali yake, mahali ambapo TRA inaweza kupata trilioni 27 kwa mwaka na wakati kwa sasa inapata trilioni 7 tu, tupo na mipango yote ya serikali ya sasa.

Hawa kina Mwabukusi, Lissu na Dr Slaa wanatumiwa na wote wenye kufaidika na haya magumashi yanayoendelea kuwatajirisha wachache pale TPA, lakini mwisho wake umekaribia.
 
Wala hakuna rushwa yoyote wamepewa, Hawa jamaa wanahitaji majibu ya maswali machache tu likiwemo " Kwanini bandari za Zanzibar hazimo kwenye mkataba huu"? Nina uhakika hata wewe huna jibu la swali hilo.!
Jibu lipo la kwanza suala la Bandari kila mmoja anasimamia bandari zake la pili Bandari za zanzibar tayari washapewa Makaburu kuziendsha
 
matatizo ya kuandika vitu

Huku unaminywa minywa antena(haragi lambeya)

Maliza kwanza mchezo kaoge shika handset Yako
 
kwani hao wanaochukua bandari zetu sio waarabu?? wewe mtu akikuita mmatumbi is it not a fact???

Huko Uk nako wana mkataba wa milele???

Nani anatumia ujinga kuteka akili ya nani??? wewe sema kama una maslahi na hao 'waarabu'?
Kaka nasema hivi kama Nshalla angemtukana mama yako ungeendelea kujadili mkataba au ungeshulika naye kwanza kumlinda mama yako?
 
Akina Mwabukusi a.k.a watukanaji wanawakilusha na kutetea mfumo wa uozo Bandarini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…