Mwabukusi, Lissu, Nshalla na Mbowe mmetuharibia mjadala wa Bandari

Wajinga mko wengi mpaka aibu
 
Sheria ya Zanzibar hairuhusu MTU asiye mzanzibar kumiliki ardhi acha upotoshaji

Sipotoshi mkuu. Ardhi inapatikana, kama upo tayari twende nitakufikisha hadi kwa wahusika na hati utapata kutoka serikalini.

Fuata utaratibu, kama huna hela usisingizie sheria.

Hata uzanzibari wenyewe unapatikana bure kisheria. Wapo waluguru, wamasai, wamakonde, wasukuma... wengi tu ni wazanzibari kwa kuzaliwa au kuishi Zanzibar.

Au unataka kusema wale wataliano, na hawa ndugu zetu wanaoishi Zanzibar wamemiliki kinyume na sheria?
 
Hao wanakodishiwa hawauziwi
 
Wameuharibu ama wametuambia kilichomo humo kwa lugha nyepesi.
 
Hat Kama ila mam wetu Ni mweupe Jana aliongeaa Tena nilitetemeka hatari na nilikuwa ndani mle

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada, ungekuwa na akili kdg tu japo kama za kuku wa kienyeji usingeandika huu ujinga!
 
Wewe fala ndio hujitambui kabisaa!
Watu hatupingi uwekezaji bali tunapinga aina ya mkataba ambao ni wa kipigaji ulioambatana na rushwa kubwa.
 
Wewe fala ndio hujitambui kabisaa!
Watu hatupingi uwekezaji bali tunapinga aina ya mkataba ambao ni wa kipigaji ulioambatana na rushwa kubwa.
Wewe acha kum- RUGEMELEZA NSHALLA mwenzako.
 
Wewe fala ndio hujitambui kabisaa!
Watu hatupingi uwekezaji bali tunapinga aina ya mkataba ambao ni wa kipigaji ulioambatana na rushwa kubwa.
Unaifahamu mikataba ambayo serikali imesaini na inafanya kazi muda huu?, tofauti ya hiyo mikataba na huo wa DP ni ipi?, usikaririshwe tu kama kasuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…