Mwabukusi, Lissu, Nshalla na Mbowe mmetuharibia mjadala wa Bandari

Mwabukusi, Lissu, Nshalla na Mbowe mmetuharibia mjadala wa Bandari

Kuwatawala na kuwafanyisha biashara ya utumwa huo ndio wema?. washenzi tu hao, mnatafuta namna ya kutuhamisha kwenye hoja ya msingi na kuiingiza kwenye dini kutafuta huruma ya kuungwa mkono na Waislamu hilo tumelishtukia halitasaidia.
Wewe kijana acha kuwa- Nshalla waarabu wa watu. Wafanya biashara ya utumwa ni wazungu waliokuletea ukristo na sasa wanakulazimisha uingize ushoga ktk dini waliyokuanzisha na wewe ukafuata tu. Rejea tras Atlantic slave trade kisha kawaombe radhi waarabu watukufu kabisa . Wawekezaji wetu wema wa bandari yetu.
 
Mwekezaji ni Mama yenu kupitia mlango wa nyuma.
 
Ni uwekezaji kama ule wa TICTS tatizo ni siasa zilizoingizwa kwenye hili suala zima.
Kwanini msirekebishe vipengele, masharti mabaya. Kwanini hamfanyi hivyo kuitetea Tanzania.

Maslahi ya Tanzania yawe mbele, tumewapa jukumu kulinda rasilimali zetu.
 
Fanyeni kazi acheni waliotafuta nafasi za kula wale mliwachagua wenyewe acheni wawanyooshe kengecwote mliopiga kura
 
Ukomo upo kwenye hii mikataba ya utendaji itakayosainiwa baada ya kuwa azimio limeshapitishwa bungeni.

Zinavunjika ndoa zilizodumu kwa miaka zaidi ya hamsini sembuse mikataba ya kibiashara!.

Kwanini ufikirie masuala hasi badala ya kutazama unakwenda kupata nini kwenye huo mkataba?.
Kwann huo ukomo usieleweke hadharani ? Kuna nini nyuma ya pazia?
Vipi tutapataje faida? Kuna kipengele kimeeleza kiasi tutakachpewa?
Vipi kuhusu kumkabidhi bandari zote nchi nzima incude za maziwa? Nayo ni Sawa?
NENDA KATIBIWE AKILI
 
Aboud Jumbe rais wa awamu ya pili Zanzibar kuna taarifa zinakinzana, wapo wanaosema alizaliwa Mpitimbi - Ruvuma, na taarifa rasmi za kiserikali zinasema alizaliwa Zanzibar.

Mwinyi Seneior Raisi wa awamu ya Tatu Zanzibar amezaliwa Mkuranga hakuna anaepinga hili.

Mwinyi Junior ameanzia siasa kwao akiwa mbunge wa Mkuranga, sasa ni Raisi wa Zanzibar.

Mbali mawaziri kuanzia Mapuri (kutoka Tabora), Mwakanjuki (Kutoka Mbeya), na wengineo. Almost kila awamu Zanzibar ina at least waziri mmoja kutoka Tanganyika.

Hata sasa wapo viongozi wa chama na serikali kwenye serikali ya Mwinyi wanaotoka Tanganyika, mfano Zena Ahmed Said, Suzan Kunambi, Joseph John Kilangi, Charles Hillary, bila kumsahau First lady.

Kwenye chama ndio watupu, almost kila mkoa wapo.
Wewe unaruhusiwa kumiliki ardhi zenji? Kwann WAo wanaruhusiwa Huku? Alafu wewe unakatazwa kule ilhali ni nchi Moja?
 
Kwann huo ukomo usieleweke hadharani ? Kuna nini nyuma ya pazia?
Vipi tutapataje faida? Kuna kipengele kimeeleza kiasi tutakachpewa?
Vipi kuhusu kumkabidhi bandari zote nchi nzima incude za maziwa? Nayo ni Sawa?
NENDA KATIBIWE AKILI
Hoja zako zinafanana na wale waliopotoshwa juu ya vifungu vya azimio lililopita bungeni. Masuala ya mgawanyo wa faida yatakuwepo kwenye hii mikataba itakayosainiwa baadae kati ya DPW na wazalendo.

Ukomo pia ni sehemu ya hiyo mikataba, huwezi kuweka ukomo kwenye mkataba wa jumla.

Hakuna mahali anakabidhiwa bandari, tafuta mtaalam akufafanulie matumizi ya WILL, SHALL na MAY kwenye mkataba namna yanavyoweza kubadili maana nzima ya kinachoandikwa.

Wewe ndiwe utafute daktari wa akili, atibu madhara ya upotoshwaji uliopewa na kina Mwabukusi.
 
Kwanini msirekebishe vipengele, masharti mabaya. Kwanini hamfanyi hivyo kuitetea Tanzania.

Maslahi ya Tanzania yawe mbele, tumewapa jukumu kulinda rasilimali zetu.
Waliokwenda Dubai na kuandika hii mikataba pamoja na wanasheria wa DPW ni wazalendo pengine kutuzidi mimi na wewe tunaojadili humu JF.

Ni suala la uelewa wetu kuwa unapotoshwa kila tunapowasikiliza wanasheria wengi kila siku.
 
Break it down for me mkuu, kwa uelewa wako tunawapa DP bandari zote kwa masharti, vipengele na vigezo vyao. Unaona serikali yetu ipo sawa kukubali haya masharti.
 
Break it down for me mkuu, kwa uelewa wako tunawapa DP bandari zote kwa masharti, vipengele na vigezo vyao. Unaona serikali yetu ipo sawa kukubali haya masharti.
Ndio maana nimeshauri tafuta mtaalam halisi wa sheria akupe tafsiri sahihi za kinachoandikwa sio hawa wanaopotosha vifungu kwa makusudi yao binafsi.

Hakuna wa kumpa DP bandari zote za nchi, tafuta tofauti ya maneno WILL, SHALL na MAY yanapokuwa kwenye mkataba yanamaanisha nini.
 
Weka hapa mkataba na vipengele ambavyo viko sahihi kwa maslahi ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom