Mwabukusi, Lissu, Nshalla na Mbowe mmetuharibia mjadala wa Bandari

Mwabukusi, Lissu, Nshalla na Mbowe mmetuharibia mjadala wa Bandari

Huwezi kuweka ushahidi kwenye jukwaa la watu wote kama hili. Ukiwa na umri fulani utaelewa kwa kina nini ninaongelea ukiwa sehemu ya hawa maziwa mdomoni watoto wa smartphone huwezi kuelewa ninachokiongelea.
eti unaogopa kuweka kwenye jukwaa la watu wote kama hili, wewe sema huna huo ushahidi,ungekua nao ulivyo na kiherehere ungekua ushauweka....
 
eti unaogopa kuweka kwenye jukwaa la watu wote kama hili, wewe sema huna huo ushahidi,ungekua nao ulivyo na kiherehere ungekua ushauweka....
Masuala haya ni makubwa kuliko tunavyoyaongelea, biashara halali na haramu zinazoendelea pale TPA zinatengeneza mabilioni ya pesa, elewa tu kwamba wazee hawa wanakwenda kutajirika baada ya hii michakato yote wanayoifanya mbele ya waandishi wa habari.
 
nilijua utaleta evidence wameingiziwa shilingi ngapi, kumbe ni nadharia zako tu kuwa wanaenda kutajirika...ukiulizwa how,im sure huwezi kujibu
 
Waarabu ni watu wa kheri sana. Hawana shida. Tunawakaribisha bongo. Tena waje upesi.
Kuwatawala na kuwafanyisha biashara ya utumwa huo ndio wema?. washenzi tu hao, mnatafuta namna ya kutuhamisha kwenye hoja ya msingi na kuiingiza kwenye dini kutafuta huruma ya kuungwa mkono na Waislamu hilo tumelishtukia halitasaidia.
 
Hahaha useme wewe halafu uniulize Mimi? "Kubakwa" ni TUSI kubwa sana?
Sio mimi niliesema mimi nimenukuu tu aliesema ni huyo wakili wenu msomi mwambukusi ndio maana nimekuuliza wewe unaamini Tanganyika imebakwa?
 
Uliposema tu..''Yawezeka kuwa'' basi hakuna haja yakutilia maanani jambo lako sababu ni nadharia,
 
Heshima kwenu Wakuu,

Majamaa tajwa hapo juu yawezekana kuwa wamelipwa rushwa kubwa sana na mamlaka za juu ili waharibu mjadala wa kitaifa juu ya uwekezaji wa DP WORLD katika bandari ya Dar es Salaam.

Hili limetokana na ukweli kwamba mara tu mjadala ulipoanza watu hawa walikimbilia kushambulia watu na kukandia asili zao badala ya kujadili hoja iliyopo mezani.

Wengine kama Nshalla walienda mbali mpaka wakafikia kumutukana Rais matusi mabaya kabisa.

Hawa wameonekana dhahiri kutumiwa na Serikali kuharibu mjadala kwa sababu za wazi zifuatazo:
1. Huwezi ukamtukana Rais halafu tena watu wakazingatia unachokiongea badala yake kila mtu ataamka na kumlinda huku akipuuza unachosema.

2. Kuwabagua wazanzibar na kuonesha kuwa hawana haki ya kusimamia mambo ya nchi wawapo viongozi. Hapa Mbowe, Mwabukusi na Lissu wameonesha dhahiri kuwa wamekula mlungula wa kutosha ili wajifanye wanawashambulia wazanzibar kisha watu wasimame kuwatetea na agenda ya msingi isahaulike.

Hawa jamaa wameharibu kila kitu na watajibu siku ya kiama kwa kukubali kutumiwa ili kuwasahaulisha watu agenda muhimu na nyeti.
SPIN
 
Back
Top Bottom