Bhisumbinyama
JF-Expert Member
- Dec 26, 2019
- 797
- 581
- Thread starter
- #141
Nyerere alishaiuza Tanganyika litambo acha wabara wahangaike.Basi na Tanzânia ni kwa wabara tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyerere alishaiuza Tanganyika litambo acha wabara wahangaike.Basi na Tanzânia ni kwa wabara tu
Wewe unaruhusiwa kumiliki ardhi zenji? Kwann WAo wanaruhusiwa Huku? Alafu wewe unakatazwa kule ilhali ni nchi Moja?
Serikali zinazojitambua kama UK, USA unafikiri zingesaini IGA kama hii?Waliokwenda Dubai na kuandika hii mikataba pamoja na wanasheria wa DPW ni wazalendo pengine kutuzidi mimi na wewe tunaojadili humu JF.
Ni suala la uelewa wetu kuwa unapotoshwa kila tunapowasikiliza wanasheria wengi kila siku.
Common sense inakwambia vipengele, masharti yatatuumiza. Mnatetea mkataba huu badala ya kupigania urekebishwe.Upo uzi wa FaizaFoxy utafute halafu tafuta mwanasheria umpe hiyo kazi ya kukutafsiria.
Ndoyo zingesaini vizuri. Kwani una manufaa.Serikali zinazojitambua kama UK, USA unafikiri zingesaini IGA kama hii?
IGA haina matatizo yoyote, tatizo ujuaji wa kitanzania.Serikali zinazojitambua kama UK, USA unafikiri zingesaini IGA kama hii?
Leo masaa manne Hamza Johari ameelezea kifungu kimoja baada ya kingine mpaka vyote kavimaliza, ulikuwepo mahali hapo ili uulize maswali kuliko kuongelea huku pembeni?.Common sense inakwambia vipengele, masharti yatatuumiza. Mnatetea mkataba huu badala ya kupigania urekebishwe.
Mimi nafanya dili na wewe. Masharti, vipengele vyote naweka mimi kuhusu nchi yako, dili yetu⁵. Unaona ni sawa kutetea mkataba huu badala nguvu zako kutumia kuurekebisha.Leo masaa manne Hamza Johari ameelezea kifungu kimoja baada ya kingine mpaka vyote kavimaliza, ulikuwepo mahali hapo ili uulize maswali kuliko kuongelea huku pembeni?.
Hawa ni watetezi, mashujaaa wa Tanganyika. Tungewapa kazi ya ku- negotiate hii mikataba. Hata Urais wana uchungu na rasilimali zetu.Heshima kwenu Wakuu,
Majamaa tajwa hapo juu yawezekana kuwa wamelipwa rushwa kubwa sana na mamlaka za juu ili waharibu mjadala wa kitaifa juu ya uwekezaji wa DP WORLD katika bandari ya Dar es Salaam.
Hili limetokana na ukweli kwamba mara tu mjadala ulipoanza watu hawa walikimbilia kushambulia watu na kukandia asili zao badala ya kujadili hoja iliyopo mezani.
Wengine kama Nshalla walienda mbali mpaka wakafikia kumutukana Rais matusi mabaya kabisa.
Hawa wameonekana dhahiri kutumiwa na Serikali kuharibu mjadala kwa sababu za wazi zifuatazo:
1. Huwezi ukamtukana Rais halafu tena watu wakazingatia unachokiongea badala yake kila mtu ataamka na kumlinda huku akipuuza unachosema.
2. Kuwabagua wazanzibar na kuonesha kuwa hawana haki ya kusimamia mambo ya nchi wawapo viongozi. Hapa Mbowe, Mwabukusi na Lissu wameonesha dhahiri kuwa wamekula mlungula wa kutosha ili wajifanye wanawashambulia wazanzibar kisha watu wasimame kuwatetea na agenda ya msingi isahaulike.
Hawa jamaa wameharibu kila kitu na watajibu siku ya kiama kwa kukubali kutumiwa ili kuwasahaulisha watu agenda muhimu na nyeti.
Hao walevi wabaguzi na watukanaji?Hawa ni watetezi, mashujaaa wa Tanganyika. Tungewapa kazi ya ku- negotiate hii mikataba. Hata Urais wana uchungu na rasilimali zetu.
Unawachukilia vibaya. Hata viongozi wa serikali wa sasa ni wabaguzi, angalia teuzi. Pesa, ajira zinavyogawana kuhusu Tanzania bara na Zanzibar. Kuna watu wanatukana kama Wazinbari kuhusu wabara, Jussa, Othman?21Hao walevi wabaguzi na watukanaji?
Siku zote wanufaika wa haya mambo ya KIPUMBAVU huwa mnachukia sana mtu yeyote kusema ukweli. Mim kama mim najiuliza kwa nin iwe Bandari zote mpaka za maziwa makuu.Heshima kwenu Wakuu,
Majamaa tajwa hapo juu yawezekana kuwa wamelipwa rushwa kubwa sana na mamlaka za juu ili waharibu mjadala wa kitaifa juu ya uwekezaji wa DP WORLD katika bandari ya Dar es Salaam.
Hili limetokana na ukweli kwamba mara tu mjadala ulipoanza watu hawa walikimbilia kushambulia watu na kukandia asili zao badala ya kujadili hoja iliyopo mezani.
Wengine kama Nshalla walienda mbali mpaka wakafikia kumutukana Rais matusi mabaya kabisa.
Hawa wameonekana dhahiri kutumiwa na Serikali kuharibu mjadala kwa sababu za wazi zifuatazo:
1. Huwezi ukamtukana Rais halafu tena watu wakazingatia unachokiongea badala yake kila mtu ataamka na kumlinda huku akipuuza unachosema.
2. Kuwabagua wazanzibar na kuonesha kuwa hawana haki ya kusimamia mambo ya nchi wawapo viongozi. Hapa Mbowe, Mwabukusi na Lissu wameonesha dhahiri kuwa wamekula mlungula wa kutosha ili wajifanye wanawashambulia wazanzibar kisha watu wasimame kuwatetea na agenda ya msingi isahaulike.
Hawa jamaa wameharibu kila kitu na watajibu siku ya kiama kwa kukubali kutumiwa ili kuwasahaulisha watu agenda muhimu na nyeti.
Unajiuliza, kwanini ukubali bandari zote, nchi nzima. Sio tu hivyo pia hatuwezi kuendeleza bandari zote zingine Tanzania bila kupata ruhusa ya DP World. Tuna nchi hapa?Siku zote wanufaika wa haya mambo ya KIPUMBAVU huwa mnachukia sana mtu yeyote kusema ukweli. Mim kama mim najiuliza kwa nin iwe Bandari zote mpaka za maziwa makuu.
Dar es Salaam, Tanga, Mtwara na Lindi, Ziwa Tanganyika, Ziwa Victoria, Ziwa Nyasa, Ziwa Eyasi zote ziwe chini ya DP WORLD. Hata kama mnaowatawala hawana akili haiwezekani, labda ifikie tu mda vitawaliwe kwa nguvu ya Mkono wa Chuma.
Inashangaza sana mkataba unatetewa zaidi na serikali kulio DP World Wagumu kusema kwamba kama serikali tumekosea, tunarekebisha vipengele, vigezo, marsharti ya huu mkataba muhimu uwe sawa.Siku zote wanufaika wa haya mambo ya KIPUMBAVU huwa mnachukia sana mtu yeyote kusema ukweli. Mim kama mim najiuliza kwa nin iwe Bandari zote mpaka za maziwa makuu.
Dar es Salaam, Tanga, Mtwara na Lindi, Ziwa Tanganyika, Ziwa Victoria, Ziwa Nyasa, Ziwa Eyasi zote ziwe chini ya DP WORLD. Hata kama mnaowatawala hawana akili haiwezekani, labda ifikie tu mda vitawaliwe kwa nguvu ya Mkono wa Chuma.
Wamekuzuia nini sasa wewe PimbiHeshima kwenu Wakuu,
Majamaa tajwa hapo juu yawezekana kuwa wamelipwa rushwa kubwa sana na mamlaka za juu ili waharibu mjadala wa kitaifa juu ya uwekezaji wa DP WORLD katika bandari ya Dar es Salaam.
Hili limetokana na ukweli kwamba mara tu mjadala ulipoanza watu hawa walikimbilia kushambulia watu na kukandia asili zao badala ya kujadili hoja iliyopo mezani.
Wengine kama Nshalla walienda mbali mpaka wakafikia kumutukana Rais matusi mabaya kabisa.
Hawa wameonekana dhahiri kutumiwa na Serikali kuharibu mjadala kwa sababu za wazi zifuatazo:
1. Huwezi ukamtukana Rais halafu tena watu wakazingatia unachokiongea badala yake kila mtu ataamka na kumlinda huku akipuuza unachosema.
2. Kuwabagua wazanzibar na kuonesha kuwa hawana haki ya kusimamia mambo ya nchi wawapo viongozi. Hapa Mbowe, Mwabukusi na Lissu wameonesha dhahiri kuwa wamekula mlungula wa kutosha ili wajifanye wanawashambulia wazanzibar kisha watu wasimame kuwatetea na agenda ya msingi isahaulike.
Hawa jamaa wameharibu kila kitu na watajibu siku ya kiama kwa kukubali kutumiwa ili kuwasahaulisha watu agenda muhimu na nyeti.
Sheria ya Zanzibar hairuhusu MTU asiye mzanzibar kumiliki ardhi acha upotoshajiNani kakatazwa?
Kwani hapa Tanganyika hapana wasomali wanamiliki ardhi? Tumeungana nao? Wale wakomoro pale kariakoo wanaomiliki hoteli, kuna wayamen wana miliki nyumba nyingi sana, mbali wahindi ndio usiseme kabisa... kumiliki ardhi ni hela yako tu, hizo nyengine ni chuki binafsi.
Zanzibar wataliano wanamiliki ardhi kubwa za ufukweni, tena wenyeji kuna maeneo hawaruhusiwi hata kupita, je wameungana nao? Hakuna mtu anaeweza kukuzuia kumiliki ardhi Zanzibar.
Mimi ninae brother wangu kanunua ardhi Zanzibar ambayo aliuziwa na mmakonde na ameshajenga. Pia kuna familia ipo Turiani ni jamaa zangu wanamiliki mashamba Pemba kabisa.
Wahi mirembe hospital mara mojaHoja zako zinafanana na wale waliopotoshwa juu ya vifungu vya azimio lililopita bungeni. Masuala ya mgawanyo wa faida yatakuwepo kwenye hii mikataba itakayosainiwa baadae kati ya DPW na wazalendo.
Ukomo pia ni sehemu ya hiyo mikataba, huwezi kuweka ukomo kwenye mkataba wa jumla.
Hakuna mahali anakabidhiwa bandari, tafuta mtaalam akufafanulie matumizi ya WILL, SHALL na MAY kwenye mkataba namna yanavyoweza kubadili maana nzima ya kinachoandikwa.
Wewe ndiwe utafute daktari wa akili, atibu madhara ya upotoshwaji uliopewa na kina Mwabukusi.