Mwabukusi na mfupa uliowalemea wengi

U disappointed me Kwa comment hii.

Kumbe wasaliti ni Hawa Hawa wanaojiita WAPINZANI!!
Narudia, inabidi kuunganisha nguvu makundi yote na si kupingana kama Mwabukus et al anavyofanya malumbano na chadema. Tunaipa CCM advantage tukinza kulumbana wenyewe kwa wenyewe....
 
"Ni lazima upate ridhaa ya wananchi kwanza kisha uingie Bungeni ndio utetee maslahi ya Wananchi." Unafikiria backwards.
Mgao wa umeme ukizidi kama ilivyo sasa, kumbe inahitajika tupate ridhaa ya Wananchi Kisha tuingie bungeni kuepuka kuonekana pressure group!!
 
Narudia, inabidi kuunganisha nguvu makundi yote na si kupingana kama Mwabukus et al anavyofanya malumbano na chadema. Tunaipa CCM advantage tukinza kulumbana wenyewe kwa wenyewe....
Na kuungana ni vitendo, Si maneno,

Nilitegemea kumuona Sugu na company yake akiwasapport Slaa, Mdude na Mwambukusi!!
 
Well said
 
Mwabukusi ni mama waste of space and soon atakua kama Wengine

Keshajimqliza
 
Akili yako unayoiona kubwa imeshindwa kung'amua kwamba Chama sio issue kwenye jambo hili msingi analolipigania Mwabikusi....na unaamini katika uwezo wa Chama kubeba maono makubwa.
Akili yako unayoiona kubwa imeshindwa kungamua kuwa bila platform imara ya kusemea huwezi kuitikisa serikali! Sasa ngoja tuone kama hii TRIO itafika wapi! Mwanza wamerudi wamelowa! Can you comment on that?

lazima kuwe na presure groups zenye nguvu! hawa watatu, sidhani kama wanaweza kuitikisa serikali. IT IS EA TO SILENCE THEM! lakini muungano wa wengi utaitikisa serikali na kusalimu amri kwa madai ya katiba mpya/tume huru!

Kosa analolifanya ni kuishambulia chadema badala ya kuungana nayo akapata wingi wa pressure group!
Jana hajafanya mkutano wamemsambaratisha........ being single or trio ni ngumu serikali kukuogopa!
 
U disappointed me Kwa comment hii.

Kumbe wasaliti ni Hawa Hawa wanaojiita WAPINZANI!!
nani mpinzani? Me? Not at all, ila naungana na wapigania haki wote, chadema, mwabuKusi, mdude BUT NOT SLAA

Mwabuksi will never confront serikali being single! even beeing three of them! Tafuta walipo wengi nguvu ya umma iwe kubwa!
Mobilize watu watoe woga, wawe tayari kufa, bila hivyo hutapata mtu kwenye maandamano maana tu waoga, MIMI, SISI, WEWE na WALE
 
Aliye gundua vyama vya siasa mjanja sana.
Alijua vitatumika kuwaburuza watu kimakundi hata kwa hoja ambazo baadhi ya wanachama hawaziungi mkono moyoni mwao.
Alijua Kuna hoja zitazimwa na hoja ya utiifu kwa chama.

Katiba mpya muhimu ipatikane Sasa na kipengele cha mgombea binafsi ipewe kipaumbele.

Nawaona CCM, ACT na CHADEMA wote walewale wasaliti tu na wanasimamia maslahi ya wachache viongozi wa juu ktk vyama.
 
Akienda chadema atapoteza hata fikia malengo yake Kama Akina tundu risu pale chadema ccm Wana mkono wao

so it's better apambane kwa njia yake/chama chake

inaweza kutokea miujiza Kama ilivyo tokea kutoka driver daradara kwenda uwakiri mpaka uana harakati na kuku barika na kuhusu sraha Lina weza kuwa daraja tu la kufikia malengo yake
mda utaongea mkuu
 
Yaani anajaribu kutwambia Kwa Mfano,

Wafanyabiashara walipoona mfumo wa ukandanizaji wa Kodi kupitia maafisa wa tra umezidi,

Kwamba wafanyabiashara kariakoo wasingeandamana, wangeanzisha chama Cha siasa!!
Usilinganishe mambo ya wafanyabiashara na kodi na MOVEMENT ya kuiondoa serikali madarakani (KWA NJIA ZA KISHERIA) . YOU WILL BE CONFRONTED ACORDINGLY WHEN YOU ARE SINGLE. Lakini kama mko wengi kwenye legally established movement kama chama cha siasa, mtaitikisa serikali na kukubali katiba mpya/tume huru!
Think deep! Ndiyo maana nimesema shallow thinking!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…