Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema imegeuka kuwa wakala wa CCM!
Aibu ya karne hiyo..
Hii habari inatafakarisha sana. Kwa ndani kabisa imejawa mashindano.
Kwa hiyo CCM ndiyo wanafurahi?Angalia mbuzi huyu!Chadema watanuna
Kwa hiyo CCM ndiyo wanafurahi?Angalia mbuzi huyu!
Sura hizo zinasema tupo pamoja.
Tulieni.Acha migagasiko yenye miweweseko.Mnamremba marehemu kwa kumvalisha moccasins?Atatembelea wapi?CCM #4? Uzi huu unajielekeza vyema:
Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa
Ukishaumwa na nyoka ukiona unyasi unastuka.
fu
fujo zenu na uvivu wenu pelekeni huko......
Natoa rai kwa Jeshi la polisi kuzuia fujo zenu kikamilifu zinazoathiri bidii zetu maeneo yetu ya kujtafutia riziki.
Jitu kubwa na familia yake linalilia mambo ya ambayo ni dhahiri hayafui dafu, badala ya kufanya bidii kuilisha na kuifurahisha familia na ukoo wake.
Tulieni.Acha migagasiko yenye miweweseko.Mnamremba marehemu kwa kumvalisha moccasins?Atatembelea wapi?
Mchunge kama breki zipo.Msipige kelele/mwano/mayowe tu hukohuko mbeleni.Kumbe pilipili msizozila kulikoni kuwawasha? Mwalia kuliko wafiwa? Kama si machozi ya mamba ni nini?
Jaribuni kwingine huku tereni lishang'oa nanga!
Mchunge kama breki zipo.Msipige kelele/mwano/mayowe tu hukohuko mbeleni.
ni fujo,Hizo siyo fujo ndugu. Hizo ndiyo zile lugha ambazo ma CCM na vibaraka wao huzisikia na kuzielewa vyema.
Waongea je kiswahili na Putin, Natenyahu au Macron ukitegemea akuelewe?
cc: Balozi wa Palestine UNHaya maneno umeyatunga mwenyewe, au vipi?
"Israel isiruhusiwe kujilinda", ikiwa na maana kujilinda kwa Israel ni kuwaua waPalestina?
Na hawa waPalestina wao hawatakiwi "kujilinda"?
Kwani tatizo ni nini. Nani anaruhusa ya kujilinda dhidi ya mwingine, na kwa sababu zipi?
Hao walioanzisha hilo tatizo ndio wana wajibu wa kulitatua.
Huyo HAMAS ni Muanzisha Ugomvi tu. Nyuma yake yupo HIZBOLLAH ambaye kwake bila vita haoni maisha. Wachambuzi wa masuala ya kivita wamesema ameanza kupiga jaramba. Hiyo vita wakubwa wasipokuwa makini itaenea mashariki ya kati nzima na kuunga kule Ukraine. Tuombe Mungu sana wamalize kwa njia ya mazungumzo, vita sio kitu kizuri kabisa. Wanaoumuia ni watoto na vikongwe.Waliomjenga na kumpa kiburi Israel na kumfanya sasa awe nje ya uwezo wao wana wajibu wa kujaribu kumkumbusha Israel umuhimu wa kutambua kuwa usalama wake ni kutafuta njia za kuishi kwa amani na jirani zake na kuheshimiana nao. Itambulike wazi kwamba kila mmoja wao anayo haki ya kuishi kwa amnai kwa kuheshimiana.
Hali ya wapalestina ya kunyang'anywa hata hicho kidogo kilichobaki, na kuwa wakimbizi bila kuwa na mahali wanapoweza kupaita kwao, hilo ni tatizo lisiloweza kufumbuliwa kwa nguvu za silaha.
Kwa hiyo, hao wakubwa waliolianzisha hapo, wana wajibu wa kulitafutia ufumbuzi wa haki katika kila kundi kwa kadri iwezekanavyo.
Wasiukwepe wajibu wao huo.
We need this courage as a nation.Kwamba?
View attachment 2776191
Kistaarabu Chadema wanapaswa wakanushe au kukanusha kizingatiwa vyama hivi havina hati miliki ya mtu.
Ama Kwa hakika hii nchi ngumu kweli kweli.
Cc: Rabbon, Extrovert
We need this courage as a nation.
Hongera Kwa manabii wetu.
Jamaa waunde chama chao sasa
Ninakubaliana na tafsiri yako ya jinsi ulivyoisoma hiyo picha.Sura hizo zinasema tupo pamoja.