Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Hii habari inatafakarisha sana. Kwa ndani kabisa imejawa mashindano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila usiwe na bashasha inayopitiliza furaha ya Moyo wako.Hilo nyomi la uhakika .. siyo watu mamilioni kibao kutwa kulia lia kuibiwa kura.
Balozi wa Palestine huko UN ameomba Israel isiruhusiwe kujilinda kwani itakuwa ni sawa na kuwapa License to killBasi tuseme, wakitaka kumaliza tatizo la hao watu, wawaondoe hapo wote, kwa kuwau!
. Kuwahamisha pekee haitoshi kumaliza tatizo; tofauti ya hapo, ni kutafuta njia ya kukubali kuishi kwa heshima kwa kila upande.
Duh!!Balozi wa Palestine huko UN ameomba Israel isiruhusiwe kujilinda kwani itakuwa ni sawa na kuwapa License to kill
Haya maneno umeyatunga mwenyewe, au vipi?Balozi wa Palestine huko UN ameomba Israel isiruhusiwe kujilinda kwani itakuwa ni sawa na kuwapa License to kill
Ila usiwe na bashasha inayopitiliza furaha ya Moyo wako.
Mbona unaongea kama Kuna jambo Jipya limetokea!!
Balozi wa Palestine huko UN ameomba Israel isiruhusiwe kujilinda kwani itakuwa ni sawa na kuwapa License to kill
Waliomjenga na kumpa kiburi Israel na kumfanya sasa awe nje ya uwezo wao wana wajibu wa kujaribu kumkumbusha Israel umuhimu wa kutambua kuwa usalama wake ni kutafuta njia za kuishi kwa amani na jirani zake na kuheshimiana nao. Itambulike wazi kwamba kila mmoja wao anayo haki ya kuishi kwa amnai kwa kuheshimiana.Kalamu Kuna mtu anayeweza kulitatua hili tatizo??
Basi tuseme, wakitaka kumaliza tatizo la hao watu, wawaondoe hapo wote, kwa kuwau!
. Kuwahamisha pekee haitoshi kumaliza tatizo; tofauti ya hapo, ni kutafuta njia ya kukubali kuishi kwa heshima kwa kila upande.
Kuna kauli,
"Hatuangalii rangi ya paka bali uwezo wa kukamata panya".
Kila la heri wapambanaji.
hawa hakuna kitu watafanya,
tena wawe tu makini na kauli zao,
coz wakiswekwa ndani tena sidhani kama kutakua na kundi lenye habari nao
si hitaji chochote nachokipata chanitosha na familia yangu,Kwani wewe ni nabii kuyanena ya kesho kama Tito? Au wewe hutaki katiba mpya au unataka bandari kuuzwa? Kulikoni Dua mbaya hizo Kwa waja wake Mola waliojitoa swadaka?
Tungepata watu wabishi kama 100 tu kama mdude, tungekuwa mbali sana.
si hitaji chochote nachokipata chanitosha na familia yangu,
sitaki fujo wala ghasia za yeyeto,
ila ni tahadhari tu kwenye maigizo ya eti wanatetea wanyonge hali yakua wanasaka matonge
Hili swali lako linaendelea kusumbua akili.Kalamu Kuna mtu anayeweza kulitatua hili tatizo??
fujo zenu na uvivu wenu pelekeni huko......Basi sisi tunataka haya:
1. Katiba Mpya Sasa.
2. Uchaguzi kama katiba mpya ipo.
3. Bandari kuondolewa sokoni.
Hayo ni haki yetu wala si fujo kuyahitaji.
Kwa vile wewe hayakuhusu, Moro wanasema: "karakabaho" yaani kaa hapo hapo. Tena Kwa kutulia tuli!
Hii ngoma si yako. Tuachie wenyewe tuicheze.
Sura hizo zinasema tupo pamoja.Sijui usahihi wa hili, hasa hizo sura hapo kwenye hiyo picha, lakini inashawishi kidogo.