Mwabukusi na wenziwe warejea Mbeya kwa Kishindo

Mwabukusi na wenziwe warejea Mbeya kwa Kishindo

Mbeya tumekomaa kinoma... Bandari ingekua ipo mbeya huyu Mama yenu angeshaondoka
 
Wewe ndo hujui,

Tawala zote ziko chini ya mwanakondoo!!
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jidanganye...

Endelea kujidanganya PAKUBWA....
 
Nikurebishe hapo

Wapi tumesema tunataka mapinduzi?

Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa

Tunawajua vyema kuliko mnavyodhani.

Agenda ziko wazi:

1. Katiba mpya ni Sasa.
2. Hakuna katiba mpya, hakuna uchaguzi.
3. Bandari haziko sokoni

Ya mapinduzi ni ya kwako ndugu!
Si yake...

Ni yako/yenu.....

TAHRIR ni kipenzi cha mapinduzi [emoji1787][emoji1787]
 
Ukombozi ni safari ndefu. Hatimaye uelekeo Tahrir unasomeka waziwazi.

Kulikoni?

1. Katiba Mpya ni sasa!
2. Hakuna Katiba, Mpya hakuna uchaguzi.
3. Biashara ya bandari, haipo.


"Wale watanzania wenzetu, wana halisi wa nchi hii wamerejea Mbeya na kupokelewa kwa kishindo:

View attachment 2775874

Mungu atupe nini?

Kesho Mama Abduli na washirika wake wakae mkao wa kula, watege masikio tutakuwa na jambo letu Mbeya:

View attachment 2775877

Safari yetu Tahrir, Mbeya itaibariki.

"Eh Mola wetu uwalinde waja wako hawa ambao kwa nchi hii iliyoteseka mno, kwa dhati wamejitoa."

Tuonane Tahrir.
Aaaa wapi.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo watawaua wote, au itakuwaje; maanake sioni ushindi bila kuwamaliza hao watu wote wanaokandamizwa.

Hakuna silaha yoyote inayoweza kumaliza ugomvi wa namna hiyo.
Ngoja tuone hapo Gaza ni makazi ya Wapalestina milioni 2.3
 
Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa
fb_img_1680258242993-jpg.2572153


Tunawajua vyema kuliko mnavyodhani.

Agenda ziko wazi:

1. Katiba mpya ni Sasa.
2. Hakuna katiba mpya, hakuna uchaguzi.
3. Bandari haziko sokoni

mapinduzi ni sasa.
 
Ngoja tuone hapo Gaza ni makazi ya Wapalestina milioni 2.3
Basi tuseme, wakitaka kumaliza tatizo la hao watu, wawaondoe hapo wote, kwa kuwau!
. Kuwahamisha pekee haitoshi kumaliza tatizo; tofauti ya hapo, ni kutafuta njia ya kukubali kuishi kwa heshima kwa kila upande.
 
Back
Top Bottom