Mwabukusi na wenziwe warejea Mbeya kwa Kishindo

Chadema imegeuka kuwa wakala wa CCM!
Aibu ya karne hiyo..
 
Polisi wame fabricate stori ati CHADEMA imelalamikia nyimbo zake kupigwa nyimbo zake kwenye Mkutano wa S.W

Kwamba?

Your browser is not able to display this video.


Kistaarabu Chadema wanapaswa wakanushe au kukanusha kizingatiwa vyama hivi havina hati miliki ya mtu.

Ama Kwa hakika hii nchi ngumu kweli kweli.

Cc: Rabbon, Extrovert
 
Hii habari inatafakarisha sana. Kwa ndani kabisa imejawa mashindano.

Ni kawaida kwa ma CCM na vibaraka wao kukaa upande mwingine wa wananchi wakiona safari yetu Tahrir kuliko mwisho wa matatizo inanukia:

Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir

Wao hupendelea hIzi:

1. Kanuni za mashirikiano
2. Uratibu wa safari Tahrir
3. Maandalizi ya kisayansi

"Na longo longo za namna hiyo."

Hadithi tena? Maneno matupu hayavunji mfupa. Maneno yametosha.

Tulipo Mwanukusi ni kusema "su!" Twende kazi.

"Unataka katiba mpya, hutaki biashara ya bandari?"

Tukutane Tahrir.
 

Hizo siyo fujo ndugu. Hizo ndiyo zile lugha ambazo ma CCM na vibaraka wao huzisikia na kuzielewa vyema.

Waongea je kiswahili na Putin, Natenyahu au Macron ukitegemea akuelewe?
 
Tulieni.Acha migagasiko yenye miweweseko.Mnamremba marehemu kwa kumvalisha moccasins?Atatembelea wapi?

Kumbe pilipili msizozila kulikoni kuwawasha? Mwalia kuliko wafiwa? Kama si machozi ya mamba ni nini?

Jaribuni kwingine huku tereni lishang'oa nanga!
 
Kumbe pilipili msizozila kulikoni kuwawasha? Mwalia kuliko wafiwa? Kama si machozi ya mamba ni nini?

Jaribuni kwingine huku tereni lishang'oa nanga!
Mchunge kama breki zipo.Msipige kelele/mwano/mayowe tu hukohuko mbeleni.
 
Hizo siyo fujo ndugu. Hizo ndiyo zile lugha ambazo ma CCM na vibaraka wao huzisikia na kuzielewa vyema.

Waongea je kiswahili na Putin, Natenyahu au Macron ukitegemea akuelewe?
ni fujo,
nafanya shughuli zangu za kujipatia kipato kwa bidii manapita na Maandamano ya fujo mnanivuruga na kuniibia, nahasira na nyinyi.......

Baba mtu mzima kama wewe umeondoka nyumbani mzima wa afya wa motrooo umeacha mke na watoto wakijua baba aenda tafuta chochote kitu,

unarudishwa nyumbani umepoa,
au na mingeu ya uso ya kutosha, huku kiuno na miguu ikiwa moja haikai mbili ndio haipatikani kabisa.
inabidi waanze kusikiliza wimbo wa Dunia haina huruma ya Bukuku

Ongeza bidii kwenye kazi zako acha kulazimisha majonzi, hali ngumu na vilio kwenye familia yako ndugu jamaa na marafiki zako. Lakini pia kulazimisha ulemavu wako mwenyewe, tafuta kazi ya kufanya
 
cc: Balozi wa Palestine UN
 
Huyo HAMAS ni Muanzisha Ugomvi tu. Nyuma yake yupo HIZBOLLAH ambaye kwake bila vita haoni maisha. Wachambuzi wa masuala ya kivita wamesema ameanza kupiga jaramba. Hiyo vita wakubwa wasipokuwa makini itaenea mashariki ya kati nzima na kuunga kule Ukraine. Tuombe Mungu sana wamalize kwa njia ya mazungumzo, vita sio kitu kizuri kabisa. Wanaoumuia ni watoto na vikongwe.
 
We need this courage as a nation.

Hongera Kwa manabii wetu.

"Jitihada halali za wazi hizi zinastahili kuungwa mkono na kila mtanzania na hasa aliye mzalendo." -- JKN.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…