Mwabukusi na wenziwe warejea Mbeya kwa Kishindo

Mwabukusi na wenziwe warejea Mbeya kwa Kishindo

Chawa utahangaika mwisho wa siku utakata pumzi. Sauti ya watanzania haijawahi kuwakilishwa na watu watu watatu.
Hivi ni nani anafadhili movement ya hili kundi la Mwabukusi? Kwa interest gani? Najua hawana ruzuku.
 
Ukombozi ni safari ndefu. Hatimaye uelekeo Tahrir unasomeka waziwazi.

Kulikoni?

1. Katiba Mpya ni sasa!
2. Hakuna Katiba, Mpya hakuna uchaguzi.
3. Biashara ya bandari, haipo.

"Wale watanzania wenzetu, wana halisi wa nchi hii wamerejea Mbeya na kupokelewa kwa kishindo:

View attachment 2775874

Mungu atupe nini?

Kesho Mama Abduli na washirika wake wakae mkao wa kula, watege masikio tutakuwa na jambo letu Mbeya:

View attachment 2775877

Safari yetu Tahrir, Mbeya itaibariki.

"Eh Mola wetu uwalinde waja wako hawa ambao kwa nchi hii iliyoteseka mno, kwa dhati wamejitoa."

Tuonane Tahrir.
Kwani Mbowe anasemaje?
 
Eh Mola wetu uwalinde waja wako hawa ambao kwa nchi hii iliyoteseka mno, kwa dhati wamejitoa."
IMG-20231008-WA0031.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chawa utahangaika mwisho wa siku utakata pumzi. Sauti ya watanzania haijawahi kuwakilishwa na watu watu watatu.
Hivi ni nani anafadhili movement ya hili kundi la Mwabukusi? Kwa interest gani? Najua hawana ruzuku.

Makasiriko yote ya nini ndugu? Kwani wewe hutaki katiba mpya au wewe ni dalali wa bandari?

Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa

Ikipatikana katiba mpya au bandari zikaacha kuuzwa, inakuuma nini wewe unayejidhania kuwa si chawa?

Tumekuwa tukiongea agenda hizi wanazozisema kina Mwabukusi leo, tangia Machi 21, 2023:

Uchaguzi 2024/25 wa nini kama hakuna Katiba Mpya?

Mwabukusi au Slaa walikuwa na agenda hizi enzi hizo? Kama sivyo "chawa" ni nani? Wao, mimi, sisi, wewe au ninyi?

Kwa taarifa yako uchawa kwa maana yake kamili ni kushindwa kusimama na unachokiamini.

1 + 4 = 5 bIla kujali wajinga (chawa) wangapi wanasema ni 90.

Angalizo:

"Tunao uzoefu wa kutosha wa kurundika machawa kabatini."
----------

Nadhani utakuwa Umenisoma.
 
Ukombozi ni safari ndefu. Hatimaye uelekeo Tahrir unasomeka waziwazi.

Kulikoni?

1. Katiba Mpya ni sasa!
2. Hakuna Katiba, Mpya hakuna uchaguzi.
3. Biashara ya bandari, haipo.

"Wale watanzania wenzetu, wana halisi wa nchi hii wamerejea Mbeya na kupokelewa kwa kishindo:

View attachment 2775874

Mungu atupe nini?

Kesho Mama Abduli na washirika wake wakae mkao wa kula, watege masikio tutakuwa na jambo letu Mbeya:

View attachment 2775877

Safari yetu Tahrir, Mbeya itaibariki.

"Eh Mola wetu uwalinde waja wako hawa ambao kwa nchi hii iliyoteseka mno, kwa dhati wamejitoa."

Tuonane Tahrir.
Mnachokonoa yasiyochokonoleka....

Ile Mizimu...

Mizimu ya kule Bagamoyo iko radhi kufanya lolote kulilinda taifa hili dhidi ya hayo mambo ya TAHRIR.....

Ni agano kuu lisilojua siasa za kiliberali.....

Nchi hii ni "special" na teule duniani....siasa zake ni za kipekee na si za kuiga.......

#Never give wisdom to unworthy because it is unjust to the knowledgeable [emoji1787]

#SiempreJMT[emoji120]
 
CCM #2? Wazima huko ndugu? Ila msitutishe!

Bila kukomaa HAMAS waisrael wangekuwa wanasebuka dansi mpakani pale hali watoto wa kipalestina wanakufa njaa na mazingira yale.

Kuchokonoa? Wewe hata kama katiba mpya hutaki, bandari nazo je?
 
Back
Top Bottom