GE2025 MWABUKUSI nenda bungeni zinakotungwa sheria, kelele za nje ya Bunge ni too late

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Sheria ni sheria hata kama ni sheria mbaya. Uchaguzi huu unaendeshwa kwa mujibu wa sheria zetu hadi hapo sheria itakaposema vinginevyo. Kelele zinazosikika za akina MWABUKUSI na wengine ni kelele za kutaka watu wapindishe sheria ili kuwaridhisha watu wasioipenda sheria husika. Katiba hii ni katiba ya 1977 wakati wa Nyerere; haikutungwa na Samia na wenzake. Mwabukusi anataka Rais samia apore na kupoka madaraka ya wananchi ya kuandika katiba yao ili kuwaridhisha kikundi cha watu wachache; hii hatutaikubali. Katiba ni mali ya watanzania wote, hivyo kama kuna shida kwenye katiba tuhusishwe wote tulione hilo tatizo na tukubaliane kuwa ni tatizo kweli au ni mtizamo tu wa watu.

kama Rais samia atakubali kuichakachua katiba kwa maoni ya wachache atakuwa hafai hata kuongoza tarafa. Katiba hii ipo tangu 1977 hakuna haraka, tutafute muda tuiangalie wote.

chadema ni watanzania, lakini watanzania sio chadema. Katiba haina kukaa mezani, bali inatekelezwa.

Kama sheria zinatungwa bungeni basi wabobezi wa sheria wengi nendeni bungeni kupitia chama chochote hata ikibidi CCM ili mkatuletee sheria nzuri lakini sio kuhamasisha Rais avunje sheria kuwaridhisha chadema na watu wengine.

Ukishindwa kumshinda ungana nae.
 
Acha kupangia watu mambo ya kuongea... Wewe kama unaishi kwa dada yako na unalimitiwa cha kuongea basi usipangie wengine!!. Watu wanaweza wasiwe bumgeni ila wakaiinfuence mabadiliko ya sheria kufanyika.
 
Naunga mkono hoja
P
 
Sheria zinapitishwa bungeni hazitungwi 😂
Huko zinakopitishwa aende hukohuko. Yaani mwanasheria mbobovu anataka tusitishe sheria na katiba ili tukae mezani tupindishe sheria na katiba. Ni mhuni sawa na wahuni wengine kumbe. Yaani katiba iwekwe pembeni ili tutumie busara kuwafurahisha chadema. kweli elimu yetu imeshuka.
 
Acha kupangia watu mambo ya kuongea... Wewe kama unaishi kwa dada yako na unalimitiwa cha kuongea basi usipangie wengine!!. Watu wanaweza wasiwe bumgeni ila wakaiinfuence mabadiliko ya sheria kufanyika.
Factual. Ume acknowledge vizuri kabisa, ule mchakato mrefu wa kutunga sheria ambao huwaga mara nyingi unachukua mawazo pande zote, kisha yanapanda ngazi ya wizara, yanafanyiwa mambo mambo pale, kisha waziri husika analipeleka bungeni kama mswada wa kuwatongoza wabunge, then wakipiga kura inakuwa imepita.

So, kinachotakiwa ni political will.... hivyo tu
 
Sisi tusiokuwa na sauti (voiceless) ulinzi wetu uko kwenye Katiba na sheria. Katiba na sheria viheshimiwe. Mezani tukae kuzungumza mambo mengine lakini sio kupindisha Katiba na sheria kwa njia ya dharura kwa maoni ya mtu wa watu wachache. Huyu mwabukusi anashauri watu wakae mezani kwa niaba ya watanzania wote ili waone wapi hapafai kwenye Katiba ya nchi wapabadilishe na kutumika. Yaani nguvu hizo wanazipata wapi wahuni hawa,

kesho akitokea mtu mwingine hapendi kifungu kingine cha katiba wanaitana tena mezani na kukiondoa, huu utakuwa upuuzi wa hali ya juu. Kama ni lawama za katiba ziende kwa Mwl, Nyerere, Msekwa, Warioba, Butiku, malecela, nk waliotuandikia katiba hii. Tusipeleke katiba kwa samia, huko ni kumuonea Samia ambako hakukubaliki hata kwa bahati mbaya. Ni kumchukulia poa.

Utaratibu huu wa kukaa mezani kubadilisha katiba ulitaka kutumiwa na wahuni ili Samia asiwe Rais; tunalijua hili. Hatuwezi kuchezea katiba hata kama ni mbaya.
 
Sheria ni sheria hata kama ni sheria mbaya. Uchaguzi huu unaendeshwa kwa mujibu wa sheria zetu hadi hapo sheria itakaposema vinginevyo. Kelele zinazosikika za akina MWABUKUSI na wengine ni kelele za kutaka watu wapindishe sheria ili kuwaridhisha watu wasioipenda sheria husika. Katiba hii ni katiba ya 1977 wakati wa Nyerere; haikutungwa na Samia na wenzake. Mwabukusi anataka Rais samia apore na kupoka madaraka ya wananchi ya kuandika katiba yao ili kuwaridhisha kikundi cha watu wachache; hii hatutaikubali. Katiba ni mali ya watanzania wote, hivyo kama kuna shida kwenye katiba tuhusishwe wote tulione hilo tatizo na tukubaliane kuwa ni tatizo kweli au ni mtizamo tu wa watu.

kama Rais samia atakubali kuichakachua katiba kwa maoni ya wachache atakuwa hafai hata kuongoza tarafa. Katiba hii ipo tangu 1977 hakuna haraka, tutafute muda tuiangalie wote.

chadema ni watanzania, lakini watanzania sio chadema. Katiba haina kukaa mezani, bali inatekelezwa.

Kama sheria zinatungwa bungeni basi wabobezi wa sheria wengi nendeni bungeni kupitia chama chochote hata ikibidi CCM ili mkatuletee sheria nzuri lakini sio kuhamasisha Rais avunje sheria kuwaridhisha chadema na watu wengine.

Ukishindwa kumshinda ungana nae.
Screenshot_20250729-090555~2.png
 
Huko zinakopitishwa aende hukohuko. Yaani mwanasheria mbobovu anataka tusitishe sheria na katiba ili tukae mezani tupindishe sheria na katiba. Ni mhuni sawa na wahuni wengine kumbe. Yaani katiba iwekwe pembeni ili tutumie busara kuwafurahisha chadema. kweli elimu yetu imeshuka.
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Sisi tusiokuwa na sauti (voiceless) ulinzi wetu uko kwenye Katiba na sheria. Katiba na sheria viheshimiwe. Mezani tukae kuzungumza mambo mengine lakini sio kupindisha Katiba na sheria kwa njia ya dharura kwa maoni ya mtu wa watu wachache. Huyu mwabukusi anashauri watu wakae mezani kwa niaba ya watanzania wote ili waone wapi hapafai kwenye Katiba ya nchi wapabadilishe na kutumika. Yaani nguvu hizo wanazipata wapi wahuni hawa,

kesho akitokea mtu mwingine hapendi kifungu kingine cha katiba wanaitana tena mezani na kukiondoa, huu utakuwa upuuzi wa hali ya juu. Kama ni lawama za katiba ziende kwa Mwl, Nyerere, Msekwa, Warioba, Butiku, malecela, nk waliotuandikia katiba hii. Tusipeleke katiba kwa samia, huko ni kumuonea Samia ambako hakukubaliki hata kwa bahati mbaya. Ni kumchukulia poa.

Utaratibu huu wa kukaa mezani kubadilisha katiba ulitaka kutumiwa na wahuni ili Samia asiwe Rais; tunalijua hili. Hatuwezi kuchezea katiba hata kama ni mbaya.
Screenshot_20250725-185609~2.png
 
Sheria ni sheria hata kama ni sheria mbaya. Uchaguzi huu unaendeshwa kwa mujibu wa sheria zetu hadi hapo sheria itakaposema vinginevyo. Kelele zinazosikika za akina MWABUKUSI na wengine ni kelele za kutaka watu wapindishe sheria ili kuwaridhisha watu wasioipenda sheria husika. Katiba hii ni katiba ya 1977 wakati wa Nyerere; haikutungwa na Samia na wenzake. Mwabukusi anataka Rais samia apore na kupoka madaraka ya wananchi ya kuandika katiba yao ili kuwaridhisha kikundi cha watu wachache; hii hatutaikubali. Katiba ni mali ya watanzania wote, hivyo kama kuna shida kwenye katiba tuhusishwe wote tulione hilo tatizo na tukubaliane kuwa ni tatizo kweli au ni mtizamo tu wa watu.

kama Rais samia atakubali kuichakachua katiba kwa maoni ya wachache atakuwa hafai hata kuongoza tarafa. Katiba hii ipo tangu 1977 hakuna haraka, tutafute muda tuiangalie wote.

chadema ni watanzania, lakini watanzania sio chadema. Katiba haina kukaa mezani, bali inatekelezwa.

Kama sheria zinatungwa bungeni basi wabobezi wa sheria wengi nendeni bungeni kupitia chama chochote hata ikibidi CCM ili mkatuletee sheria nzuri lakini sio kuhamasisha Rais avunje sheria kuwaridhisha chadema na watu wengine.

Ukishindwa kumshinda ungana nae.
Rais wa TLS kaongea kawachoma machawa sasa wameanza kutoka.
 
Sisi tusiokuwa na sauti (voiceless) ulinzi wetu uko kwenye Katiba na sheria. Katiba na sheria viheshimiwe. Mezani tukae kuzungumza mambo mengine lakini sio kupindisha Katiba na sheria kwa njia ya dharura kwa maoni ya mtu wa watu wachache. Huyu mwabukusi anashauri watu wakae mezani kwa niaba ya watanzania wote ili waone wapi hapafai kwenye Katiba ya nchi wapabadilishe na kutumika. Yaani nguvu hizo wanazipata wapi wahuni hawa,

kesho akitokea mtu mwingine hapendi kifungu kingine cha katiba wanaitana tena mezani na kukiondoa, huu utakuwa upuuzi wa hali ya juu. Kama ni lawama za katiba ziende kwa Mwl, Nyerere, Msekwa, Warioba, Butiku, malecela, nk waliotuandikia katiba hii. Tusipeleke katiba kwa samia, huko ni kumuonea Samia ambako hakukubaliki hata kwa bahati mbaya. Ni kumchukulia poa.

Utaratibu huu wa kukaa mezani kubadilisha katiba ulitaka kutumiwa na wahuni ili Samia asiwe Rais; tunalijua hili. Hatuwezi kuchezea katiba hata kama ni mbaya.
Hapo sawa kbs
 
Factual. Ume acknowledge vizuri kabisa, ule mchakato mrefu wa kutunga sheria ambao huwaga mara nyingi unachukua mawazo pande zote, kisha yanapanda ngazi ya wizara, yanafanyiwa mambo mambo pale, kisha waziri husika analipeleka bungeni kama mswada wa kuwatongoza wabunge, then wakipiga kura inakuwa imepita.

So, kinachotakiwa ni political will.... hivyo tu
Mwl Nyerere alikuwa anataka watu wenye akili wengi wawe wengi bungeni kwa wingi, sio Ikulu. Alijua kuwa bungeni ndiko mambo mengi yanakopitishwa, MWABUKUSI aende bungeni badala ya kuhamasisha nchi iongozwe kwa kutumia busara. mwabukuzi ana dhima pia ya kuwaongoza chadema wasome katiba kwanza kabla ya kuamua kusema au kususia kitu. Mfano, mwabukuzi alipaswa kuwaambia chadema waende kusaini maadili na kanuni za uchaguzi hata kama wana no reforms no election. Kule vyuoni ambako wanafuzi wananyimwa mitihani kama hawajalipa ada zao ni vema kuwaonya wanafuzi wanaolipa ada kwa kuchelewa wahakikishe kuwa wanafanya course works zote kabla ya siku ya mtihani wa chuo (University Examinations), kwakuwa kama hujafanya course works hata kama baadae ukilipa ada hutafanya mitihani kwakuwa huna course works. Kugomea kusaini maadili yalikuwa makosa hata kama reforms zikifanyika leo.
 
Toa kifungu chochote kwenye Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 ambacho kinasisitiza kwenda kusaini kwenye fomu ya maadili ya ccm na muda gani unaopaswa kwenda kusaini ili ukubaliwe na Tume iliyoundwa na ccm.
 
Ni maneno tu ya wasiokuwa na akili wanaopita kwenye barabara za lami za ccm huku wakitanuna kifurushi cha mihogo, karanga na karoti. Tuna uhakika wa kuamka asubuhi bila kusikia milio ya bunduki. Tunadhani serikali itakuletea baga nyumbani kwako.
 
Toa kifungu chochote kwenye Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 ambacho kinasisitiza kwenda kusaini kwenye fomu ya maadili ya ccm na muda gani unaopaswa kwenda kusaini ili ukubaliwe na Tume iliyoundwa na ccm.
Mnachezea serikali? Serikali sio kama boyfriend au girl friend kwamba unawezakwenda au usiende. Seikali ikisema leseni yako imekwisha tarehe hii lazima uende kutafuta leseni nyingine hataka haiko kwenye katiba ya Jamhuri.
 
Aende bungeni kwa tiketi ya chama gani?
Au hujasikia kwamba kuna vyama havitasimamisha wagombea?
 
Back
Top Bottom