kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
- Thread starter
- #41
Taifa haliwezi kuparaganyika kwasababu Lissu yuko mahabusu au anasema no reforms no election. Hata wakina Oscar Kambona walikuwa watu muhimu sana kwenye taifa hili, Mzee Abood Jumbe alikuwa mtu muhimu sana nchini hapa, Lowasa, Mrema, nk wote hawa walipata misukosuko lakini nchi haikuparaganyika, kwanini iwe sasa.Adv Mwabukusi yupo sahihi sana. Taifa limeparaganyika, hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujifanya hakuna matatizo.
Kama taifa, TURUDI mezani, BUSARA haijawahi kuchelewa, muda bado tunao
Unaposema no reforms no election ni kama utani na dhihaka kwa Katiba na watanzania wenzako. Hebu ona hawa watu hapa, sio watanzania?
View: https://www.youtube.com/live/DGQ0MF_t-8Y?si=SIvS_menz3BxFHSN