John Wicks Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 7,945
- 17,286
Kiuhalisia, katika Nchi hii Sheria huwa hazitungwi Bungeni.Sheria ni sheria hata kama ni sheria mbaya. Uchaguzi huu unaendeshwa kwa mujibu wa sheria zetu hadi hapo sheria itakaposema vinginevyo. Kelele zinazosikika za akina MWABUKUSI na wengine ni kelele za kutaka watu wapindishe sheria ili kuwaridhisha watu wasioipenda sheria husika. Katiba hii ni katiba ya 1977 wakati wa Nyerere; haikutungwa na Samia na wenzake. Mwabukusi anataka Rais samia apore na kupoka madaraka ya wananchi ya kuandika katiba yao ili kuwaridhisha kikundi cha watu wachache; hii hatutaikubali. Katiba ni mali ya watanzania wote, hivyo kama kuna shida kwenye katiba tuhusishwe wote tulione hilo tatizo na tukubaliane kuwa ni tatizo kweli au ni mtizamo tu wa watu.
kama Rais samia atakubali kuichakachua katiba kwa maoni ya wachache atakuwa hafai hata kuongoza tarafa. Katiba hii ipo tangu 1977 hakuna haraka, tutafute muda tuiangalie wote.
chadema ni watanzania, lakini watanzania sio chadema. Katiba haina kukaa mezani, bali inatekelezwa.
Kama sheria zinatungwa bungeni basi wabobezi wa sheria wengi nendeni bungeni kupitia chama chochote hata ikibidi CCM ili mkatuletee sheria nzuri lakini sio kuhamasisha Rais avunje sheria kuwaridhisha chadema na watu wengine.
Ukishindwa kumshinda ungana nae.
Ni maneno tu ya wasiokuwa na akili wanaopita kwenye barabara za lami za ccm huku wakitanuna kifurushi cha mihogo, karanga na karoti. Tuna uhakika wa kuamka asubuhi bila kusikia milio ya bunduki. Tunadhani serikali itakuletea baga nyumbani kwako.
Kwani kama kuvunja katiba ya nchi na ya chama chako uyo mamaako kashavunja mala ngap??Sheria ni sheria hata kama ni sheria mbaya. Uchaguzi huu unaendeshwa kwa mujibu wa sheria zetu hadi hapo sheria itakaposema vinginevyo. Kelele zinazosikika za akina MWABUKUSI na wengine ni kelele za kutaka watu wapindishe sheria ili kuwaridhisha watu wasioipenda sheria husika. Katiba hii ni katiba ya 1977 wakati wa Nyerere; haikutungwa na Samia na wenzake. Mwabukusi anataka Rais samia apore na kupoka madaraka ya wananchi ya kuandika katiba yao ili kuwaridhisha kikundi cha watu wachache; hii hatutaikubali. Katiba ni mali ya watanzania wote, hivyo kama kuna shida kwenye katiba tuhusishwe wote tulione hilo tatizo na tukubaliane kuwa ni tatizo kweli au ni mtizamo tu wa watu.
kama Rais samia atakubali kuichakachua katiba kwa maoni ya wachache atakuwa hafai hata kuongoza tarafa. Katiba hii ipo tangu 1977 hakuna haraka, tutafute muda tuiangalie wote.
chadema ni watanzania, lakini watanzania sio chadema. Katiba haina kukaa mezani, bali inatekelezwa.
Kama sheria zinatungwa bungeni basi wabobezi wa sheria wengi nendeni bungeni kupitia chama chochote hata ikibidi CCM ili mkatuletee sheria nzuri lakini sio kuhamasisha Rais avunje sheria kuwaridhisha chadema na watu wengine.
Ukishindwa kumshinda ungana nae.
Oscar Kambona, Kamaliza, hanga, NJERU Kasaka, Sharif Hamad, Abood Jumbe
Huku ni kulazimisha Katiba ivunjwe ili chadema wafurahi. Namna uchaguzi unavyoendeshwa uko kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano ya 1977, kila mtu akaisome. Anaetaka wahuni wachache wakae mezani wairekebishe peke yao bila sisi wananchi kwa dharura nitawapinga mahakamani. Tukiruhusu uhuni huo ufanyike sasa hatutaweza kumzuia mwingine kama akidai jambo lake. katiba itajaa viraka na matobo mengi ya rejareja. Tuna haraka gani wakati katiba hii ilikuwepo tangu 1977 na uchaguzi ulikuwa ukifanyika kwa katiba hiihii?
Mwabukusi hajawahi kuwa na akili huyo mpiga debe wa hiaceSheria ni sheria hata kama ni sheria mbaya. Uchaguzi huu unaendeshwa kwa mujibu wa sheria zetu hadi hapo sheria itakaposema vinginevyo. Kelele zinazosikika za akina MWABUKUSI na wengine ni kelele za kutaka watu wapindishe sheria ili kuwaridhisha watu wasioipenda sheria husika. Katiba hii ni katiba ya 1977 wakati wa Nyerere; haikutungwa na Samia na wenzake. Mwabukusi anataka Rais samia apore na kupoka madaraka ya wananchi ya kuandika katiba yao ili kuwaridhisha kikundi cha watu wachache; hii hatutaikubali. Katiba ni mali ya watanzania wote, hivyo kama kuna shida kwenye katiba tuhusishwe wote tulione hilo tatizo na tukubaliane kuwa ni tatizo kweli au ni mtizamo tu wa watu.
kama Rais samia atakubali kuichakachua katiba kwa maoni ya wachache atakuwa hafai hata kuongoza tarafa. Katiba hii ipo tangu 1977 hakuna haraka, tutafute muda tuiangalie wote.
chadema ni watanzania, lakini watanzania sio chadema. Katiba haina kukaa mezani, bali inatekelezwa.
Kama sheria zinatungwa bungeni basi wabobezi wa sheria wengi nendeni bungeni kupitia chama chochote hata ikibidi CCM ili mkatuletee sheria nzuri lakini sio kuhamasisha Rais avunje sheria kuwaridhisha chadema na watu wengine.
Ukishindwa kumshinda ungana nae.
We kenge unaishi kwa nani, we huna faida kwa TaifaAcha kupangia watu mambo ya kuongea... Wewe kama unaishi kwa dada yako na unalimitiwa cha kuongea basi usipangie wengine!!. Watu wanaweza wasiwe bumgeni ila wakaiinfuence mabadiliko ya sheria kufanyika.
Ukishindwa kuwashinda ungana nao wakufikishe bungeni, ukishafika huko unaonyesha cheche zako. Lissu alikuwa bungeni kwa miaka 10 kwa katiba hiihii ya 1977, wakati huo ilikuwa nzuri sasa hivi mbaya sana.Kwani kama kuvunja katiba ya nchi na ya chama chako uyo mamaako kashavunja mala ngap??
Unataka Mwabukusi aingie bunge kwa mfumo upi wa uchaguzi??
Unafikili uyo mamaako yuko tayali kumuachia mtu alie serious angie bungeni...
Kubalini reforms zifanyike ili wenye akili waweze kuingia bungeni..
Bunge linaridhia tu miswada kutoka kwa AG kisha huipeleka tena serikalini kwa Rais ili aisaini iwe sheria πMzee mgaya una tabu sana. Sheria hazitungwi?
Bungeni wanafanya nini? akili zenu zihojiwe. Kazi ya bunge, Kazi ya Serikali na kazi ya Mahakama ni zipi? Kweli elimu yetu imeshuka sana.Bunge linaridhia tu miswada kutoka kwa AG kisha huipeleka tena serikalini kwa Rais ili aisaini iwe sheria π
"Sheria ni sheria hata kama ni sheria mbayaβSheria ni sheria hata kama ni sheria mbaya. Uchaguzi huu unaendeshwa kwa mujibu wa sheria zetu hadi hapo sheria itakaposema vinginevyo. Kelele zinazosikika za akina MWABUKUSI na wengine ni kelele za kutaka watu wapindishe sheria ili kuwaridhisha watu wasioipenda sheria husika. Katiba hii ni katiba ya 1977 wakati wa Nyerere; haikutungwa na Samia na wenzake. Mwabukusi anataka Rais samia apore na kupoka madaraka ya wananchi ya kuandika katiba yao ili kuwaridhisha kikundi cha watu wachache; hii hatutaikubali. Katiba ni mali ya watanzania wote, hivyo kama kuna shida kwenye katiba tuhusishwe wote tulione hilo tatizo na tukubaliane kuwa ni tatizo kweli au ni mtizamo tu wa watu.
kama Rais samia atakubali kuichakachua katiba kwa maoni ya wachache atakuwa hafai hata kuongoza tarafa. Katiba hii ipo tangu 1977 hakuna haraka, tutafute muda tuiangalie wote.
chadema ni watanzania, lakini watanzania sio chadema. Katiba haina kukaa mezani, bali inatekelezwa.
Kama sheria zinatungwa bungeni basi wabobezi wa sheria wengi nendeni bungeni kupitia chama chochote hata ikibidi CCM ili mkatuletee sheria nzuri lakini sio kuhamasisha Rais avunje sheria kuwaridhisha chadema na watu wengine.
Ukishindwa kumshinda ungana nae.
Huyu ndiye katuandikia na kutuachia katiba hii ambayo wahuni wanayotaka kuibagaza. Katiba hii ndiyo chimbuko la umoja na amani yetu hata kama inaonekana mbaya. Lakini Rais ameapa kuilinda kama ilivyo.
Kavulata kwa ccm hii unataka aingie bungeni kama kunguru,njiwa ama mbayuwayu?Shida ni kuwa ccm mmejimilikisha kila kitu cha taifa hili kwa maslahi yenu pekee,mkimruhusu huyo Mwambukusi mtakua mmeamua kujivua magamba yenu magumu mfano wa kale kamnyama kadogo kajeuri!alaaaSheria ni sheria hata kama ni sheria mbaya. Uchaguzi huu unaendeshwa kwa mujibu wa sheria zetu hadi hapo sheria itakaposema vinginevyo. Kelele zinazosikika za akina MWABUKUSI na wengine ni kelele za kutaka watu wapindishe sheria ili kuwaridhisha watu wasioipenda sheria husika. Katiba hii ni katiba ya 1977 wakati wa Nyerere; haikutungwa na Samia na wenzake. Mwabukusi anataka Rais samia apore na kupoka madaraka ya wananchi ya kuandika katiba yao ili kuwaridhisha kikundi cha watu wachache; hii hatutaikubali. Katiba ni mali ya watanzania wote, hivyo kama kuna shida kwenye katiba tuhusishwe wote tulione hilo tatizo na tukubaliane kuwa ni tatizo kweli au ni mtizamo tu wa watu.
kama Rais samia atakubali kuichakachua katiba kwa maoni ya wachache atakuwa hafai hata kuongoza tarafa. Katiba hii ipo tangu 1977 hakuna haraka, tutafute muda tuiangalie wote.
chadema ni watanzania, lakini watanzania sio chadema. Katiba haina kukaa mezani, bali inatekelezwa.
Kama sheria zinatungwa bungeni basi wabobezi wa sheria wengi nendeni bungeni kupitia chama chochote hata ikibidi CCM ili mkatuletee sheria nzuri lakini sio kuhamasisha Rais avunje sheria kuwaridhisha chadema na watu wengine.
Ukishindwa kumshinda ungana nae.
Kwa ututusa wako unaamini Babu Tale anatunga sheria? πππBungeni wanafanya nini? akili zenu zihojiwe. Kazi ya bunge, Kazi ya Serikali na kazi ya Mahakama ni zipi? Kweli elimu yetu imeshuka sana.
Mwl. Nyerere alisema mpinzani wa CCM atatoka CCM kwenyewe. Akina Mwabukusi chagueni foleni inayosogea mbele kuelekea kule mnakokwenda. Panda hata roli (CCM) mradi ufike uendako. Hata ndani ya CCM wapo wanaotaka mabadiliko. Hata Samia anataka mabadiliko sema tu anakutana na wahafidhina ndani ya CCM, nendeni huko mkawe wengi.Kavulata kwa ccm hii unataka aingie bungeni kama kunguru,njiwa ama mbayuwayu?Shida ni kuwa ccm mmejimilikisha kila kitu cha taifa hili kwa maslahi yenu pekee,mkimruhusu huyo Mwambukusi mtakua mmeamua kujivua magamba yenu magumu mfano wa kale kamnyama kadogo kajeuri!alaaa
Sheria ni sheria hata kama ni sheria mbaya. Uchaguzi huu unaendeshwa kwa mujibu wa sheria zetu hadi hapo sheria itakaposema vinginevyo. Kelele zinazosikika za akina MWABUKUSI na wengine ni kelele za kutaka watu wapindishe sheria ili kuwaridhisha watu wasioipenda sheria husika. Katiba hii ni katiba ya 1977 wakati wa Nyerere; haikutungwa na Samia na wenzake. Mwabukusi anataka Rais samia apore na kupoka madaraka ya wananchi ya kuandika katiba yao ili kuwaridhisha kikundi cha watu wachache; hii hatutaikubali. Katiba ni mali ya watanzania wote, hivyo kama kuna shida kwenye katiba tuhusishwe wote tulione hilo tatizo na tukubaliane kuwa ni tatizo kweli au ni mtizamo tu wa watu.
kama Rais samia atakubali kuichakachua katiba kwa maoni ya wachache atakuwa hafai hata kuongoza tarafa. Katiba hii ipo tangu 1977 hakuna haraka, tutafute muda tuiangalie wote.
chadema ni watanzania, lakini watanzania sio chadema. Katiba haina kukaa mezani, bali inatekelezwa.
Kama sheria zinatungwa bungeni basi wabobezi wa sheria wengi nendeni bungeni kupitia chama chochote hata ikibidi CCM ili mkatuletee sheria nzuri lakini sio kuhamasisha Rais avunje sheria kuwaridhisha chadema na watu wengine.
Ukishindwa kumshinda ungana nae.
Halafu waliokuwa wakihoji aliwanyamzisha...