GE2025 MWABUKUSI nenda bungeni zinakotungwa sheria, kelele za nje ya Bunge ni too late

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Adv Mwabukusi yupo sahihi sana. Taifa limeparaganyika, hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujifanya hakuna matatizo.
Kama taifa, TURUDI mezani, BUSARA haijawahi kuchelewa, muda bado tunao
Taifa haliwezi kuparaganyika kwasababu Lissu yuko mahabusu au anasema no reforms no election. Hata wakina Oscar Kambona walikuwa watu muhimu sana kwenye taifa hili, Mzee Abood Jumbe alikuwa mtu muhimu sana nchini hapa, Lowasa, Mrema, nk wote hawa walipata misukosuko lakini nchi haikuparaganyika, kwanini iwe sasa.

Unaposema no reforms no election ni kama utani na dhihaka kwa Katiba na watanzania wenzako. Hebu ona hawa watu hapa, sio watanzania?

View: https://www.youtube.com/live/DGQ0MF_t-8Y?si=SIvS_menz3BxFHSN
 
Naunga mkono hoja
P
Weeeh nawe! Unakera ujue bro!

Siku tutakapojitambua sisi ni WaTanga nyiiika akili itawaka sawa.
Msishabikie yatakayoangamiza Urithi wa watoto wenu na wajukuu zenu.

Wewe hujatambua kujilimbikizia mali kuuza rasilimali ni dhambi kuu kuliko zote?

Siku ukijifahamu wewe ni wa NYIKA aka BARA akili itatia akili.
 
Mwabukusi anafahamu kwamba uchaguzi ni zoezi la kikatiba, uchaguzi kila baada ya miaka mitano ni takwa la Kikatiba, lakini Mwabukusi anafurahishwa na kauli ya kusudio la kufunja Katiba la no reforms no election; yaani uchaguzi usifanyike nchi nzima. Hawa ni wanasheria wa wapi?. Alipaswa kuwaelimisha na kuwakemea ikibidi kwamba kuzuia uchaguzi usifanyike ni kwenda kinyume na Katiba; badala yake anaunga mkono tamko la kuvunja katiba na anataka Samia wakae mezani watengue Katiba kwa maslahi ya Lissu na kundi lake. Uanasheria wa hivi ni heri ya mimi machinga.
 
 
 
Kwahiyo kama hana access ya kua bungeni afanyeje? Pia mboga2 wakishajua mtu huyu anakuja bungeni kutuharibia chakula hawawez mpa nafasi!! Muache mabukus awachape angle zote.
 
Kwahiyo kama hana access ya kua bungeni afanyeje? Pia mboga2 wakishajua mtu huyu anakuja bungeni kutuharibia chakula hawawez mpa nafasi!! Muache mabukus awachape angle zote.
Chezea mama wewe!! Huyu Mama ni tunu kutoka kwa Mungu. Msikie Mh. Mwabukusi akihimiza watu waende kupiga kura maana ni zoezi la kikatiba. Hii ni baada ya kutoka Ikulu kupewa shule.

View: https://youtu.be/wTDatTDPnp4?si=S_sdQkR4nyW9n65e
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…