Big up Mwabu!wakuu
===
Rais wa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukus yaani Tanzania Law Society Ameishauri Serikali kutoka mahakani ili tundu lissu atoke mahakamani.
TLS wenyewe hawajapeleka wakili wao kwenye kesi ya Lissu Mwabukusi ni tapeli.wakuu
===
Rais wa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukus yaani Tanzania Law Society Ameishauri Serikali kutoka mahakani ili tundu lissu atoke mahakamani.
TLS wenyewe hawajapeleka wakili wao kwenye kesi ya Lissu Mwabukusi ni tapeli.
Mnyonge mnyongeni, ila haki yake mpeni.TLS wenyewe hawajapeleka wakili wao kwenye kesi ya Lissu Mwabukusi ni tapeli.
very nonsense,wakuu
===
Rais wa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukus yaani Tanzania Law Society Ameishauri Serikali kutoka mahakani ili tundu lissu atoke mahakamani.
A condom could have saved us this nonsense....very nonsense,
yaana mtu akiuke sheria kwa makusudi halafu asiwajibishwe, yaani waropokaji wenzie waje na huruma zao za kinafiki ili mkiuka sheria aachiwe huru?
kwanza huko ni kuingilia uhuru wa mahakama, lakini pia ni kuzifanya sheria za nchi ni useless.
ni vizur watuhumiwa kujikwamua mahakamani kwa mujibu wa sheria ikiwa wanahisi ukiukaji sheria ni haki yao.
wakiuka sheria wote Lazima washikishwe adabu kwa mujibu wa sheria walizokiuka 🐒
Ni kelele za kuachiliwa tena na si kujiachilia? Hivi Odinga au Gachagua wanaweza kamatwa na Ruto kizembe hivi?Big up Mwabu!
Big up sana TLS!
Kale ka simba ka Kizimkazi,kaachiliwe kutoka kwenye ile cage!,kaachiliwe kawe huru kurudi kwenye the wilderness!
Nimeguswa Sana!。
P
Akili yako na wewe imekuwa matope sana mlipopoteza mradi wenu wa kukitumia chama kama kitega uchumi.Ni kelele za kuachiliwa tena na si kujiachilia? Hivi Odinga au Gachagua wanaweza kamatwa na Ruto kizembe hivi?
Wako wapi wafuasi wa Lissu waliowaita wenzao magoi goi walamba asali? Nilitegemea ule mzuka wa Lissu asingelala rumande hata usiku mmoja!! Lissu ndo amefanya kiburi cha Samia kipande Mara 1000!!
Mama hawezi jenga hoja majukwaani wakati wa kampeni anamuogopa lissu, saizi yake ni hao akina salum mwl na mpina...viazi wenzie!.
Ni kelele za kuachiliwa tena na si kujiachilia? Hivi Odinga au Gachagua wanaweza kamatwa na Ruto kizembe hivi?
Wako wapi wafuasi wa Lissu waliowaita wenzao magoi goi walamba asali? Nilitegemea ule mzuka wa Lissu asingelala rumande hata usiku mmoja!! Lissu ndo amefanya kiburi cha Samia kipande Mara 1000!!
Wewe?Big up Mwabu!
Big up sana TLS!
Kale ka simba ka Kizimkazi,kaachiliwe kutoka kwenye ile cage!,kaachiliwe kawe huru kurudi kwenye the wilderness!
Nimeguswa Sana!。
P
Kwa vile Watanzania hawachagui hoja,wanachagua mtu, hata akisimama na kupunga tuu mkono,inatosha,kwasababu,kazi tuliisha maliza kitambo!,29 October ni kutimiza tuu taratibu za kuhalalisha kwa kuthibitisha kwa kutiki tuu, kutimiza lile takwa la kikatiba!Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!..kwenye kujenga hoja, na kushawishi wapiga kura, Mama Abduli hamuwezi hata Salum Mwalimu.
Ni vizuri ilivyokwenda hivi, ndio imetuonyesha , shida zipo wapi.Ni kelele za kuachiliwa tena na si kujiachilia? Hivi Odinga au Gachagua wanaweza kamatwa na Ruto kizembe hivi?
Wako wapi wafuasi wa Lissu waliowaita wenzao magoi goi walamba asali? Nilitegemea ule mzuka wa Lissu asingelala rumande hata usiku mmoja!! Lissu ndo amefanya kiburi cha Samia kipande Mara 1000!!