Mwabukusi: Watanzania waambie waandamane kwa ajili ya Simba au Yanga, wataandamana hata uchi

wewe unapima ujasiri wa Mwabukusi kwa maandamano ya jana? labda km akili yako ni ndogo km ya sisimizi unaweza uliza kwa nini hukumuona jana..
Ndio maana nimeomba Lisu makamu mwenyekiti wa Chadema aliyemfanyia kampeni ajibu

Huyo mtu wake anayelaumu watanzania kutoshiriki maandamano yeye mbona hakushiriki? Wala makamu wake wala viongozi wa juu wala mawakili kama akina kibatala nk
 
Nchi gani duniani inayofanya chaguzi inaweza itisha maandamano ya kudai raisi aliyepo madarakani kwa mujibu wa katiba na sheria aondoke; halafu hayo maandamano yakapewa baraka na vyombo vya ulinzi.

Embu siku CDM waitishe maandamano ya kudai tume huru uone kama kuna kundi la watu alitowaunga mkono Tanzania.

Lakini uwezi itisha maandamano ya kutaka aliepo kwa mujibu wa sheria atoke, subiri uchaguzi umtoe.

Halafu mtu kama Mwabukusi ambae anatakiwa kuwa impartial, kesho serikali ikikataa kufanya nae kazi kwa sababu anamlengo wa kisiasa mseme serikali sio sikivu.

Taasisi ya wataalamu ambayo inatakiwa kulinda maslahi ya wanachama wao na kiushauri serikali. Wasomi wenyewe wanaenda chagua mtu kama Mwabukusi.

Kupoteza muda tu wakati dunia inasogea. CCM ni hovyo na vyama vya upinzani ndio hovyo zaidi. Weka mtu mmoja mwenye vision ya kujenga nchi akae hata miaka 20 Tanzania watu wake bado kwa siasa za demokrasia. Wanahitaji mtu wa kuwabadili fikra kwanza.
 
Watanzania wanaandamana wakiwa na sababu za Msingi za kufanya hivyo na siyo kwakuwa Viongozi wa upinzani walio na agenda zao wameamua hivyo
 
wewe unapima ujasiri wa Mwabukusi kwa maandamano ya jana? labda km akili yako ni ndogo km ya sisimizi unaweza uliza kwa nini hukumuona jana..
Wacha yeye tu mawakili nguli wa TLS anaowaongoza wangapi walishiriki maandamano ya Chadema?

Mawakili wake hawakushiriki hata wale waliomtetea kesi yake dhidi ya kamati ya uchaguzi ya TLS waliingia mitini halafu anasukumia tuhuma kwa watanzania wa kawaida elimu ndogo na wasiosoma kuwa wajinga mbona hao wake akiwemo yeye hao wanajiita learned brothers and sisters mbona waliufyata? Hawakuonekana kwenye maandamano ?
 
CDM wanalazimisha watanzania wote tuwe CDM,kumbe kuna wengine hata kadi za vyama hatujui zinafanana vp! Kila mtu ashinde match zake uwanja wa home!!
 
Wewe ulishiriki au hayakukuhusu?
 
Mbona Mwabukusi hakuandamana maandamano ya Chadema?
Actions speaks louder than words

Anatukana watanzania kwa kutoandamana yeye mbona hakuandamana

Kweli nyani haoni ....................
Mwabukusi toka kawa Rais wa TLS anajiona kama nae ni Amiri Jeshi Mkuu asiyekua na majeshi!!
 
Na wale ma Askofu wa CDM nao pia hawakuonekana kwenye maandamano ya.kudai haki, au hawapendi haki!!??
 
Nakubaliana kabisa, mijitu haijui hatma ya matibabu yao kama ikiugua, almost 85% haina bima za afya; haijali ubora wa shule ambazo watoto wao wanakwenda aka kayumba - yaani ipo ipo tu kusubiri ubishani wa Simba & Yanga. Mijitu kama hii kuikombia ni kazi nzito, na ndiyo maana CCM wanatambia mtaji huu.
 
Na mahayawani wa ccm wamefanikiwa kutengeneza misukule mingi kwa huu upuuzi wa mampira uchwara ya simba na Yanga , yaani ccm yametengenezwa opium ya simba na Yanga na kufanikiwa kulevya na kupumbaza akili za majitu humu nchini .
Utakuta jitu hata halijapiga mswakk ni kujadili mpira uchwara wa Yanga na simba lakini kwenye mambo ya muhimu yanayogusa future ya nchi na vizazi vyake ,Walaa hayana habari .
Takataka hii nchi
 
Watanzania asili ya unyonge imeletwa na makabila ya pwani ya bahari ya Hindi! Makabila ya mtwara, Lindi, Tanga, pwani, DSM,na Zanzibar ni jamii za watu wanyonge wanaona kuwa masikini au mtumwa ni haki yao! Ukiwa jasiri katikati ya hizo jamii wanakushangaa sana na kukuona kama mtu wa tofauti! Wengi ni manamba wa wahindi na waarabu! Wao kufanya kazi za kutumikishwa na wahindi na waarabu wanaona ndio ufahali!! Ni ngumu kutokea mabadiliko katika nchi yenye makabila ya hao watu wa pwani!

Kanda ya ziwa ingekuwa nchi leo ingekuwa nchi yenye mafanikio kwasababu watu wa uko wana IQ kubwa.
 
Jitu likishavimbiwa mihogo na energy drink baaasi , linaona limeyapatia maisha
Nchi ya misukule hii .
Kumpigania mbwa koko mtz ni bora kufanya mambo yako mengine , mtanzania ni ngedere aliyenyofolewa ubongo ,zikajazwa tope kwenye fuvu lake .

 
Kazi anayofanya Mwabukusi na mapito alimopita na wengine wa TLS wewe unaweza kufanya?? maandamano ya siku moja wakati wao kila siku kazi wanayoifanya ni sawa na maandamano ya siku 100..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…