Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mkuu lazima kuwe na timingTutaogopa kuuwawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu lazima kuwe na timingTutaogopa kuuwawa?
Ndio maana nimeomba Lisu makamu mwenyekiti wa Chadema aliyemfanyia kampeni ajibuwewe unapima ujasiri wa Mwabukusi kwa maandamano ya jana? labda km akili yako ni ndogo km ya sisimizi unaweza uliza kwa nini hukumuona jana..
Hapo umenenaKwenye maandano ya Simba na Yanga hakuna hatari ya madaraka ya ccm, hivyo huwezi kuona vyombo vya dola vikitumwa na viongozi wa ccm kwenda kuwateka.
Wacha yeye tu mawakili nguli wa TLS anaowaongoza wangapi walishiriki maandamano ya Chadema?wewe unapima ujasiri wa Mwabukusi kwa maandamano ya jana? labda km akili yako ni ndogo km ya sisimizi unaweza uliza kwa nini hukumuona jana..
🚮Nilienda na nikazuiwa masaa mawili saa 3 mpk 6 kasoro
CDM wanalazimisha watanzania wote tuwe CDM,kumbe kuna wengine hata kadi za vyama hatujui zinafanana vp! Kila mtu ashinde match zake uwanja wa home!!Huu nao ni Wendawazimu kulinganisha yasiyoendana.Hao watakaoandamana kwa Simba au Yanga ni Mashabiki wa timu husika sio lazima wahusike na mambo mengine.Kama wanahitajika umati kama huo ni jukumu la Wahusika kuhamasisha ili nao wafikie huko na sio kutamani Wahusika wa mambo mengine.Huenda Mashabiki wa Simba na Yanga ni Watu milioni 7 tu, bado kuna zaidi ya Watanzania milioni 30 au 40 wa kufuatilia mambo mengine.Sasa inashangaza kushindwa kwako kuhamasisha muwatupie lawama wanaocheza vema upande wao?Vipi kama mliokuwa mkipingana nao (serikali) ndio wamefanikiwa dhidi ya hamasa ya kuandamana,bado utawalaumu Mashabiki wa Simba na Yanga? Kwani wakiitisha hay maandamano ya Simba na Yanga pia kutakuwa na vitisho vya Mamlaka?
Wewe ulishiriki au hayakukuhusu?Ni kama hapo mwandishi kashindwa kumhoji Mwabukusi anayejifanya ana critical thinking kuwa kwa nini hakuandamana maandamano ya Chadema jana?
Mwandishi alikosa kuhoji critical questions
Na Mwabukusi aliongea tu hewa ananyooshea tu vidole watanzania kuwa wajinga utafikiri yeye sio mtanzania yeye mbona hakushiriki maandamano ya Chadema? Na Chadema ndio waliomsaidia kupata uraisi wa Tanganyika Law Society kupitia Tundu Lisu makamu mwenyekiti wa Chadema ambaye pia alimshukuru waziwazi
Tundu Lisu tusaidie kwa nini huyo mtu wako Mwabukusi uliyemfanyia kampeni kuwa Raisi wa Tanganyika Law Society akashinda hakushiriki hayo maandamano ya Chadema
Lisu tupe jibu
Mwabukusi toka kawa Rais wa TLS anajiona kama nae ni Amiri Jeshi Mkuu asiyekua na majeshi!!Mbona Mwabukusi hakuandamana maandamano ya Chadema?
Actions speaks louder than words
Anatukana watanzania kwa kutoandamana yeye mbona hakuandamana
Kweli nyani haoni ....................
Na wale ma Askofu wa CDM nao pia hawakuonekana kwenye maandamano ya.kudai haki, au hawapendi haki!!??Wacha yeye tu mawakili nguli wa TLS anaowaongoza wangapi walishiriki maandamano ya Chadema?
Mawakili wake hawakushiriki hata wale waliomtetea kesi yake dhidi ya kamati ya uchaguzi ya TLS waliingia mitini halafu anasukumia tuhuma kwa watanzania wa kawaida elimu ndogo na wasiosoma kuwa wajinga mbona hao wake akiwemo yeye hao wanajiita learned brothers and sisters mbona waliufyata? Hawakuonekana kwenye maandamano ?
Sahau maandamano nchi hii.Litatokea jambo siku wananchi wenyewe wataingia barabarani bila kufuata kauli za viongozi wa chama. Yatakua hayana taarifa rasmi.
Kwa saivi acha polisi waandame wenyewe.
Mkuu lazima kuwe na timing
Nakubaliana kabisa, mijitu haijui hatma ya matibabu yao kama ikiugua, almost 85% haina bima za afya; haijali ubora wa shule ambazo watoto wao wanakwenda aka kayumba - yaani ipo ipo tu kusubiri ubishani wa Simba & Yanga. Mijitu kama hii kuikombia ni kazi nzito, na ndiyo maana CCM wanatambia mtaji huu.
Kazi anayofanya Mwabukusi na mapito alimopita na wengine wa TLS wewe unaweza kufanya?? maandamano ya siku moja wakati wao kila siku kazi wanayoifanya ni sawa na maandamano ya siku 100..Wacha yeye tu mawakili nguli wa TLS anaowaongoza wangapi walishiriki maandamano ya Chadema?
Mawakili wake hawakushiriki hata wale waliomtetea kesi yake dhidi ya kamati ya uchaguzi ya TLS waliingia mitini halafu anasukumia tuhuma kwa watanzania wa kawaida elimu ndogo na wasiosoma kuwa wajinga mbona hao wake akiwemo yeye hao wanajiita learned brothers and sisters mbona waliufyata? Hawakuonekana kwenye maandamano ?