Ni kama hapo mwandishi kashindwa kumhoji Mwabukusi anayejifanya ana critical thinking kuwa kwa nini hakuandamana maandamano ya Chadema jana?Kwa kifupi Watanzania tulio wengi hatuna 'critical thinking' (hatuwezi kuhoji kwa nini mambo yafanyike kama yanavyofanyika na si tofauti). Kwa vile hatuna utamaduni wa kujihoji, tupo tupo tu bora liende, Kila mtu na shughuli zake.
Mwandishi alikosa kuhoji critical questions
Na Mwabukusi aliongea tu hewa ananyooshea tu vidole watanzania kuwa wajinga utafikiri yeye sio mtanzania yeye mbona hakushiriki maandamano ya Chadema? Na Chadema ndio waliomsaidia kupata uraisi wa Tanganyika Law Society kupitia Tundu Lisu makamu mwenyekiti wa Chadema ambaye pia alimshukuru waziwazi
Tundu Lisu tusaidie kwa nini huyo mtu wako Mwabukusi uliyemfanyia kampeni kuwa Raisi wa Tanganyika Law Society akashinda hakushiriki hayo maandamano ya Chadema
Lisu tupe jibu