Mwabukusi: Waziri hana Mamlaka ya kufuta Kijiji na asili ya Watu wa Ngorongoro

Mwabukusi: Waziri hana Mamlaka ya kufuta Kijiji na asili ya Watu wa Ngorongoro

Ukijadili kila kitu kwa mrengo wa kidini unakuwa mpumba na juha kabisa.

Samia ni kweli ana wajomba zake kama ilivyo kwa Wazanzibar wengi walivyo na mafungamano na Oman.

Labda kama hujui Zanzibar ilikuwa ni sehemu ya Oman na makazi ya Sultan kama unavyoona Comoro ya Mayotte ni wilaya ya Ufaransa.

Wewe hata ujipendekeze vipi kwa Waarabu wewe siyo Mwarabu ni Mmakonde tu.
magolo utayaweza nayo hujiona maarabu, wakati yanaitwaga magolo, " hiyo golo akili haina"
 
Na katiba lazima ibadirishwe mshenzi yeyote kutoka vile visiwa vya Seyyid Barghash asiwe Rais tena; wameonyesha sana udhaifu kuuza NCHI; Mwinyi sasa huyu
ILA KUTOKA KULE VATICAN IWE SAWA TUH??

MAKAFIRI BWANA,WANAVYOSHADADIA KUONGOZA NCHI SASA,WAKATI WAISLAM WANAPIGANIA UHURU NCHI HII WAO AAAH WAPO TUH WANAKULA KITI MOTO,ETI SAZI WANATAKA KUJIFANYA WAO WANA UCHUNGU SANA NA NCHI HII,HOVYO KABISA.
 
Hawa watu na dini yao uwezo wao ni mdogo
SASA UTAFANYAJE NA NDIYO KESHAKUWA RAIS WAKO NA NCHI HII INSHA ALLAH ATAONGOZA HADI 20230??UTACHAGUA MWENYEWE EITHER KUJITIA KITANZI AU KUJITIA VIDOLE,NA SALAMU WAFIKISHIE HUKO VATICAN KUWA WAARABU WAMESHIKA DOLA HUKU.
 
Tuna bahati Mwabukusi kukalia ofisi ile
Haiwezekani Watanzania wawe wakimbizi katika nchi yao wenyewe.
Wamasai wana haki ya kuishi ngorongoro, kujaribu kuwafukuza ni kukaribisha hatari ya violent resistance
Serikali ndio inaanzisha vijiji, mitaa, miji, Wilaya, manispaa na majiji kwa kufuata utaratibu uliowekwa na ndio ina mamlaka ya kufuta. Hao TLS na Mwabukusi wanawadanganya tu.
 
Anajifanya kutetea hifadhi kumbe maslahi ya muarabu yameguswa. Sijui waarabu waliwafana nini hawa wenzetu maana huku ni zaidi ya kuwasujudu. Wako radhi waue watanzania wenzao kwa sababu ya muarabu.
Lakini kumbuka ndani ya Serengeti kuna zile hotels za Singita and Sasakwa Lodges zipo toka wakati wa B W Mkapa mwaka 2002 na mmiliki ni Paul Tudor Jones ambaye ni Marekani.

Screenshot_20240820_124724_Wikipedia.jpg
Screenshot_20240820_124648_Wikipedia.jpg
Kama Mmarekani alimiliki mwaka 2002 leo hii akija mwekezaji kutoka Oman inaonekana ni kitu cha Samia na wajomba.

Huu ndiyo UPIMBI wa Watanzania. Hela hazina dini, kabila wala rangi
 
KUENDELEA KUKAA NA KUHARIBU UHAI WA HIFADHI HAIKUBALIKI,WAMASAI WALIO WENGI WAMEONDOKA KWA HIYARI YAO NA KWENDA MSOMERA,SASA HAO MNAOWAPIGIA KIFUA WAENDELEE KUBAKIA HAPO NI WA KUWAINGIZA KWENYE SHIDA TUH.
Udini unakusumbua
 
Mtu mmoja tunampa mzigo wa kupigania haki ya Watanzania wote. Atachoka haraka. Watanzania hatubebeki, wala hatuna uchungu wa Rasilimali tulizopewa bure na Mungu. Hakukosea kuweka vyote hapa.

Tuvilinde, hawa wanasiasa ni wa kupita anajineemesha yeye na watu wake. Baada ya miaka 10 hayupo madarakani but Tz bado ipo. Je ni sawa kila sehemu iuzwe au kuingia mikataba na hatuoni faida ya hizo hela?

Bado tunakopa na walipaji nisisi. Hatuhoji chochote, ni ili mradi kunakucha. Wao wanatumia huo udhaifu wa kufanya watakalo hakuna wa kuwauliza wala kuwazuia. Watanzania hebu tuamke huo usingizi wa pono jamani.
Mbaya zaidi hatuna hata bunge
 
Mwambukusi anafaa awe rais na huyu wa Sasa ambaye ni wakala wa waarabu apumzike.
 
MBONA MAGUFULI ALIIKABIDHI VATICAN KWA BABU ZENU NA SISI HATUKUSEMA KITU??
Babu zetu wanaimiliki Vatican au una maana tofauti?
Kama ingekuwa hivyo, lingekuwa jambo la faida vizazi hadi vizazi.
Wakati wote tunatakiwa kushirikisha ubongo kabla ya kuandika.
 
Mimi nina mtazamo tofauti na hawa wanasheria wetu kuhusiana na huu mgogoro....
1. Ikumbwe kuwa maeneo karibia yote yenye wanyama (National Parks, kuna kipindi huko nyuma kuna baadhi ya watu hata vijiji walilazimika kuhamishwa na kupewa maeneo mbadala ili kuyapisha yabaki kama hifadhi ya wanyama kwa faida ya watanzania wote.

2. Ninavyokumbuka kwenye historia, Wamasai waliachwa Ngorongoro kwa sababu tu walionekana hawakuwa na madhara kwa wanyama na mazingira (kipindi hicho wakiwa wachache) hivyo ilionekana kuwa, wangeendelea kuishi hapo huku wakibakia na utamaduni wao (mavazi, nyumba nk) ili kusiwe na mgogoro kati yao na wanyama/mazingira.

3. Tafasiri potofu inayo tolewa ni kuwa, Serikali inawafurusha/inawafukuza wamasai eneo lao la ngorongoro; wakati tafsiri sahihi ni kuwa, Serikali imeonesha nia ya kubadilisha matumizi ya eneo la ardhi ya Ngorongoro libakie kama mbuga ya wanyama kwa faida ya watanzania wote. Na hii imekuja kwa nia njema kwani wamasaai wameongezeka sana hivyo kuleta ukinzani kwa mazingira lakini pia maendeleo yanayo pelekea wamasai wabadilishe utamaduni wao kwa kujenga nyumba za kisasa, nk nk nk
Ikumbukwe kuwa; Serikali ingeweza kupitisha na kuanza utekelezaji wa zoezi la kuwahamisha mara moja ila badala yake, ikaona iendeshe zoezi hilo taratibu kwa maridhiano kitu ambacho, watu wenye nia ovu wamekuwa wakipotosha nia njema ya serikali.
Sijui kwanini ikifika kwa Wamasai ionekane kuwa ni tatizo na sio kwa Watanzania wengine wengi walio pisha/hamishwa maeneo yao nyakati tofauti tofauti kupisha miradi mbalimbali kwa faida ya watanzania wote?

Naona kama huu mgogoro unabebwa kwa mbeleko ila sijui ni kwa maslahi ya nani?

Mwisho japo sio kwa umuhimu; mimi sio mwanasheria ila huo ndio mtazamo wangu
 
Kwanini Ngorongoro iwe special? sehemu zote zenye hifadhi za taifa shughuli za binadamu zimekatazwa!
Ngorongoro ni World Heritage Site tusilete siasa kwenye maswala nyeti!
 
Unaandika vitu usivyo na ufahamu navyo, unajuwa ni nani aliyepiga marufuku biashara ya utumwa?

Unajuwa ni nani alitowa pesa kuwanunuwa watumwa wote Zanzibar waachiwe huru?

Unajuwa kanisa la Mkunazini Cathedral limejengwa lini na nani aliyetowa kiwanja lijengwe kanisa?
ARE YOU TRYING TO ASK ME ABOUT THE ABOLITION OF SALVE TRADE THAT TOOK PLACE IN AUGUST 1833??

COME ONE DR UCHWARA MATOLA,BRITAIN ABOLISHED IT NOT BECAUSE THEY LOVED OUR FOR FATHERS YOU IDIOT,DO NOT ASSUME THAT THEY WERE HEROES.

SLAVE TRADE CEASED TO BE PROFITABLE TO THEM SOON AFTER INDUSTRIAL REVOLUTION...
 
Mkuu mtazamo wako ukoje
Naomba nikuelezee mambo yanayojiri Ngorongoro ili usije kuwa unapotoshwa, na kuanza kuilaumu Serikali kimakosa:-
1. Watu wanaishi Ngorongoro bila kuwa na huduma muhimu za jamii, hususani shule, hospitali, na nyumba za kuweza kuishi binadamu wa karne hii.

2. Watu wanakufa kwa kuliwa na wanyama wakali, ie simba nk, nilishuhudia mabaki ya watoto waliokuwa wanatoka kuchunga mifugo wakavamiwa na kuliwa na simba, mtoto mmoja akawahi kukimbia akapanda mti. Huyo mtoto anasishi na trauma mpaka leo

3. Robo tatu ya watu wanaoishi Ngorongoro hawamiliki mfugo hata mmoja, mifugo iliyomu humo ni ya watu wengine tofauti kabisa ambao wamepeleka mifugo yao humo kwa ajili ya malisho, na kuwapa watu wanaoishi humo kazi ya kuitunza mifugo hiyo, na ndiyo wanao-fund hayo maandamano ya wamasai kwaajili ya interest zao.

4. Kuna baadhi ya jirani zetu wanasafirisha nyama ya kondoo uarabuni, sasa kwa kukosa maeneo ya malisho nchini mwao, wameamua kuwapa wamasai wanaoishi huko kwao mkataba wa kuwanoneshea mifugo hiyo kwenye bonde la Ngorongoro na kwa kuwa koo za wamasai zimesambaa across boundary wamewaruhusu wenzao kuleta hiyo mifugo, ili waweze kutimiza mikataba waliyokubaliana na watu wa uarabuni wa kuwapelekea nyama. Ndiyo maana usishangae kuwaona jirani zetu wakijadali hoja ya Ngorongoro mpaka kwenye bunge lao.
Sasa serikali imefanyaje kutatua tatizo hilo.

5.Serikali iliamua kutenga budget na kuwajengea nyumba ya vyumba vitatu ya matofali ya block, mkoani Tanga, eneo la Msomera, na kuwapa maeneo ya malisho, na mtaji, watu wote waliokubali kuondoka ngorongoro na kuhamia msomera. Lakini ushangae kwamba watu hawataki kutoka pamoja na kupewa nyumba bure yenye eneo la ekari mbili na nusu, pamoja na ekari zingine tano za shamba la kulima pamoja na ardhi nyingine ambayo ni communal land kwa ajili ya malisho.

6.Bado still kila kaya inayohamia Msomera inalipwa mtaji wa shilingi milioni kumi ili iweze kununua mifugo yao mwenyewe.

7. Lakini pia, ukumbuke eneo la Ngorongoro sio eneo la Wamasai peke yao kama wanavyotaka kuwaaminisha watu, wenyeji wa asili pale Ngorongoro ni kabila la Wahadzabe, Wadatoga na Wamasai, lakini haya makabila mengine hayana shida yoyote ya kuhamia Tanga.

Sasa baada ya serikali kuyafanya hayo yote, utakuwa mtu wa namna gani, kuanza kuandika mabango kumchafua Rais na Serikali yake, kama itakuwa sio kwamba watu hawa wana agenda nyingine under the carpet
 
Back
Top Bottom