Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Unajua Tanzania ni mwananchama wa mikataba mbalimbali ya kimataifa juu ya haki za watu na binadamu?Wamasai walitokea South Sudan na ku migrate hadi waka settle Serendeti miaka 300 iliyopita.
View attachment 3074855 Kwa hiyo walkuta kuna wanyama tayari pale Serengeti. Ndipo Mkoloni Mwingereza akaamua Serengeti iwe National Park mnamo mwaka 1951 na kuwahamisha Wamasai kwenda Ngorongoro
View attachment 3074857 Leo Serengeti inaonekana ni moja ya sehemu 10 duniani za kipekee ambazo zinavutia watalii ni kwa sababu ya maamuzi ya Mkoloni Mwingereza
Ngorongoro lazima tuiamulie leo kwa ajili ya faida ya vizazi vijavyo.Siasa ikiwekwa pembeni- watu na wanyama kwa style ya Ngorongoro hawawezi ku co exist na kuweza kuwa wote salama. Something will have to give.
- Wanyama wakibanwa na mifugo eco system inakuwa challenged na uwindani haramu unaongezeka, magonjwa ya mifugo yanawaingilia wanyama pori, pia mioto ya asili ya pori inabdilika maana mifugo inaweza pia introduce mimea ya kwinginepo inapotoka kupitia kinyesi.
- kwa upande wa binadamu, ni ngumu sana kupeleka huduma za kijamii kwa makundi yanayoishi kwa kuwa scattered tena kwenye maeneo yenye hatari. Hivyo it’s hard to have your cake and eat it too. Maendeleo ya service za jamii ili wayapate hiyo namna wanavyoishi inabidi ibadilike.
Haki ya kuwatambua indigenous people ipo kwenye mkataba wa kimataifa na Tanzania ni mojawapo ya nchi zilizosaini mkataba huo kwa maana watu wanaotokea maeneo yao ya asili wasiondolewe bali watengenezewe mazingira yanayoendana na eneo husika.
Kuna kesi ya Kenya dhidi ya jamii ndogo ya watu walioishi miaka mingi kwenye pori kabla serikali haijatangaza kuwa hifadhi ya taifa.
Walipowaondoa wakaenda mahakama za ndani wakashinda baadae serikali ya Kenya ikasuasua kutekeleza kikamilifu hukumu hivyo jamii ile wakaenda mahakama ya Afrika wakashinda kesi na Serikali ya Kenya iliamuriwa kuwarejesha kwenye makazi yao ya asili na kuwalipa fidia juu.