Mwacheni Hayati Magufuli apumzike narudia tena mwacheni apumzike

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Hakuna mtu ndani ya system hajuwi Nini kilitokea na Nini kitatokea siku zijazo.

Hayati Magufuli amelala na hawezi rudi kuja kujitetea.

Kama alifanya kwa masilahi yake mtuambie kulebungeni wamejaa akina nani? Kama alifanya kwa utashi wake mtuambie vyama vya siasa hivi vinaudwa na nani ?

Kama alifanya kwa utashi wake mtuambie kwanini hakuna time huru ya uchaguzi.

Mwacheni alale mwacheni alale maana siku zinakuja huu mchezo manaucheza utakuwa mchezo wa hatari kwa Taifa.

Viongoz mmepewa nchi muongoze acheni kutumia njia ya kufanya character assassination kwa kupata huruma ya kisiasa.

Mtalitesa Taifa na mtaleta shida isio na maana.

Wazee wataifa hili nawakuu wa usalama kemeeni hii kitu mtafanya watu wauwane pasipo sababu za msingi. Hiki knachofanyika ni chuki na visasi. Watoto na familia ya Magufuli hawana Raha ktk Taifa lao baba yao hakujichaguwa kama walimchaguwa akaharibu mbona hawakusema akiwa hai hii sio sawa hata kidogo. Je Tuseme wanao mkashifu ndio walimuuwa? Maana msiwe na mihemko kwenye mambo yanatia ukakasi. Iwe waziri,mbunge au mwana nchi wakawaida anayeona sasa ndio muda wakukashifu marehem same hana ubinadam. Mwacheni alale. Maana hili lina endelea litararuwa umoja wakitaifa nakuligawa hili Taifa vipande vipande kwa ujinga na uchu wa madaraka na sifa za kijinga.

Kwanini mnamuandama nakumsema mambo mabaya while alikuwa akitekeleza mawazo na kazi ya wana idara? Je alishika silaha kwenda kuuwa? Je hao waliofanya hayo matukio kwanini wasiletwe tuwaone au serikali kwanini kama kweli wanataka kusema yeye ndie alie fanya hayo mbona hawakamati hao watu au hao watu wanasema wameambiwa ni order ya Hayati hawawataji walio tekeleza unyama huo why waseme mtu alie kufa?

Taifa lina njaa mnatudanganya Magufuli Mungu anawaona

Taifa watu wanahali mbaya mnatudanganya Magufuli

Miradi inasuwa suwa bado mnadanganya ni Magufuli Mungu anawaona.

Bei ya bidha imepanda pia ni Magufuli?

Ni Magufuli ni Magufuli majambaz wameanza tena pia mtasema Magufuli

Kupanda kwa Dola mtasinzia Magufuli...

Tumekosa mawazo mazuri kuliongoza Taifa na sasa tunamtumia Hayati kama fimbo yakutokea kwenye mlango wenye giza Nene. Hakuna mbunge ndani ya bungee la jamuhuri ya muungano atanyanyuwa mdomo wake juu ya Mwamba while wanajuwa ni kwa nguvu zake na ushawishi wake walipata hizo nafasi. Ila hata huyo mrithi anajuwa ninacho shangaa wanampiga mawe while wamekalia viti vya mtu yule yule wanao muita mbaya nadhani Mungu hawezi Kaa kimya atalijibu hili kwa uchungu sana. Maana Mwamba alikufa akishikilia jamuhuri na jamuhuri ilimkubali je wewe ni nani unae nyanyua mdomo dhidi ya jamuhuri? Je wadhani unaijuwa sana jamuhuri,? Ok let us see the end

Pia Mh Tundu kama bado unahasira na Magu utakuwa unashida. He is no longer there either is true or false unafanya makosa makubwa sana yakiusalama na kisheria.

Mama mkanye mwanao jamani
 
Uovu na waovu, hawaachwi kusemwa milele. Hitler bado anaishi? Stallin bado anaishi? Id Amin bafo anaishi? Je, hawasemwi?

Ukiwazuia watu kusema ukiwa hai kwa sababu una madaraka ya kuamrisha maharamia yaliyopo kwenye vyombo vya ulimzi na usalama kuwaua au kuwazima watu wasiseme uovu wako, au kukukosoa chochote, maana yake unawaambia wakuseme au ukiwa nje ya madaraka au ukiwa umekufa.

Dikteta marehemu aliwaziba midomo kwa utawala wa mkono wa chuma, hakuna ambaye angemsema au kumkosoa halafu akawa na uhakika wa kubakia salama. Sahizi wanapokuwa huru, ni lazima wamseme, na ni haki yao.

Lakini pia ni jambo jema kuusema uovu tena na tena ili iwe funzo kwa walio hai. Na ndiyo sababu tunaenda kwenye nyumva za kuabudu kila wiki, na wengine kila siku, na nyakati zote hizo, shetani anaendelea kusemwa, na maovu yanaendelea kusemwa na kukemewa.
 
Atapumzikaje wakati ameacha roho za watu zinamuandama na kumlilia?

Imagine mama wa yule mwandishi aliyemlilia JPM amuachie mwanae, JPM akagoma, mama akalia mpaka akafa.....

Kelele zinazopigwa kiroho katika kaburi la JPM ni zaidi hata ya hizi za huku duniani, ni zaidi ya kelele za mtaa wa Kongo au soko la kariakoo. Hatapumzika, na siku ya mwisho, Mungu anaamka naye, na akimalizana naye, shetani anambeba mzega mzega anaenda kumtupa kwenye shimo refu sana lisiloonekana mwisho, na linawaka moto kuzidi wa petroli, na ni moto wa milele na milele, Sasa mtu wa hivyo anapumzikaje sasa
 
Sawa mama mkanye mwanao
 
Hakuna mtu ndani ya system hajuwi Nini kilitokea na Nini kitatokea siku zijazo.

Hayati Magufuli amelala na hawezi rudi kuja kujitetea.

Kama alifanya kwa masilahi yake mtuambie kulebungeni wamejaa akina nani? Kama alifanya kwa utashi wake mtuambie vyama vya siasa hivi vinaudwa na nani ?

Kama alifanya kwa utashi wake mtuambie kwanini hakuna time huru ya uchaguzi.

Mwacheni alale mwacheni alale maana siku zinakuja huu mchezo manaucheza utakuwa mchezo wa hatari kwa Taifa.

Viongoz mmepewa nchi muongoze acheni kutumia njia ya kufanya character assassination kwa kupata huruma ya kisiasa.

Mtalitesa Taifa na mtaleta shida isio na maana.

Wazee wataifa hili nawakuu wa usalama kemeeni hii kitu mtafanya watu wauwane pasipo sababu za msingi.

Mh Tundu kama bado unahasira na Magu utakuwa unashida. He is no longer there either is true or false unafanya makosa makubwa sana yakiusalama na kisheria.

Mama mkanye mwanao jamani
Mwite apumzikie nyumbani kwako!
 
musolin, hitler,sadam gaddaf pia hawawez kujitetea.
nasema tuache tumseme hadi Mungu ajue na asikie kilio chetu juu ya uhayawani na madhambi yake
 
Hakuna mtu ndani ya system hajuwi Nini kilitokea na Nini kitatokea siku zijazo.

Hayati Magufuli amelala na hawezi rudi kuja kujitetea.

Kama alifanya kwa masilahi yake mtuambie kulebungeni wamejaa akina nani? Kama alifanya kwa utashi wake mtuambie vyama vya siasa hivi vinaudwa na nani ?

Kama alifanya kwa utashi wake mtuambie kwanini hakuna time huru ya uchaguzi.

Mwacheni alale mwacheni alale maana siku zinakuja huu mchezo manaucheza utakuwa mchezo wa hatari kwa Taifa.

Viongoz mmepewa nchi muongoze acheni kutumia njia ya kufanya character assassination kwa kupata huruma ya kisiasa.

Mtalitesa Taifa na mtaleta shida isio na maana.

Wazee wataifa hili nawakuu wa usalama kemeeni hii kitu mtafanya watu wauwane pasipo sababu za msingi.

Mh Tundu kama bado unahasira na Magu utakuwa unashida. He is no longer there either is true or false unafanya makosa makubwa sana yakiusalama na kisheria.

Mama mkanye mwanao jamani
Lissu lishakuwa ndo ashakuwa punguani na kiwete wa akili na mwili, na ndo ashakalishwa na kwenye dimbwi la ushoga maana viuno vya kiume hawezi tena.

Kiuno Cha pangaboy tentelele tentelele za Lissu
 
Hakuna mtu ndani ya system hajuwi Nini kilitokea na Nini kitatokea siku zijazo.

Hayati Magufuli amelala na hawezi rudi kuja kujitetea.

Kama alifanya kwa masilahi yake mtuambie kulebungeni wamejaa akina nani? Kama alifanya kwa utashi wake mtuambie vyama vya siasa hivi vinaudwa na nani ?

Kama alifanya kwa utashi wake mtuambie kwanini hakuna time huru ya uchaguzi.

Mwacheni alale mwacheni alale maana siku zinakuja huu mchezo manaucheza utakuwa mchezo wa hatari kwa Taifa.

Viongoz mmepewa nchi muongoze acheni kutumia njia ya kufanya character assassination kwa kupata huruma ya kisiasa.

Mtalitesa Taifa na mtaleta shida isio na maana.

Wazee wataifa hili nawakuu wa usalama kemeeni hii kitu mtafanya watu wauwane pasipo sababu za msingi.

Mh Tundu kama bado unahasira na Magu utakuwa unashida. He is no longer there either is true or false unafanya makosa makubwa sana yakiusalama na kisheria.

Mama mkanye mwanao jamani
Nani kakudanganya motoni kuna kupumzika?
 
Atapumzikaje wakati ameacha roho za watu zinamuandama na kumlilia?

Imagine mama wa yule mwandishi aliyemlilia JPM amuachie mwanae, JPM akagoma, mama akalia mpaka akafa.....

Kelele zinazopigwa kiroho katika kaburi la JPM ni zaidi hata ya hizi za huku duniani, ni zaidi ya kelele za mtaa wa Kongo au soko la kariakoo. Hatapumzika, na siku ya mwisho, Mungu anaamka naye, na akimalizana naye, shetani anambeba mzega mzega anaenda kumtupa kwenye shimo refu sana lisiloonekana mwisho, na linawaka moto kuzidi wa petroli, na ni moto wa milele na milele, Sasa mtu wa hivyo anapumzikaje sasa
Yeye amekufa haya semeni walio husika kazi imalizike maana hakushika silaha kwenda tekeleza ukatili na hao walio shika silaha waleteni tuache siasa maji taka
 
Hakuna mtu ndani ya system hajuwi Nini kilitokea na Nini kitatokea siku zijazo.

Hayati Magufuli amelala na hawezi rudi kuja kujitetea.

Kama alifanya kwa masilahi yake mtuambie kulebungeni wamejaa akina nani? Kama alifanya kwa utashi wake mtuambie vyama vya siasa hivi vinaudwa na nani ?

Kama alifanya kwa utashi wake mtuambie kwanini hakuna time huru ya uchaguzi.

Mwacheni alale mwacheni alale maana siku zinakuja huu mchezo manaucheza utakuwa mchezo wa hatari kwa Taifa.

Viongoz mmepewa nchi muongoze acheni kutumia njia ya kufanya character assassination kwa kupata huruma ya kisiasa.

Mtalitesa Taifa na mtaleta shida isio na maana.

Wazee wataifa hili nawakuu wa usalama kemeeni hii kitu mtafanya watu wauwane pasipo sababu za msingi.

Mh Tundu kama bado unahasira na Magu utakuwa unashida. He is no longer there either is true or false unafanya makosa makubwa sana yakiusalama na kisheria.

Mama mkanye mwanao jamani
Ni rahisi sana kwa mtu ambaye hakuathirika na kitu chochote wakati wa utawala wake kumsahau. Lakini wale walioathirika kichanya ama kihasi itakuwa ni vigumu sana kumsahau.

Wapo ambao waliokuwa karibu naye, na kufaidika kwa kula mema ya nchi pasipo bughudha yoyote ile. Kundi hili ni lazima litakuwa lina m-miss, na hasa kama mirija yao imekatwa na badala yake inashikiliwa na wafaidika wapya.

Wapo pia ambao walioathirika kupitia mapungufu yaliyokuwapo katika utawala wake. Hawa ni lazima watamsema vibaya, ni hulka ya binadamu kufanya hivyo ili kuponya majeraha.
 
Hakuna mtu ndani ya system hajuwi Nini kilitokea na Nini kitatokea siku zijazo.

Hayati Magufuli amelala na hawezi rudi kuja kujitetea.

Kama alifanya kwa masilahi yake mtuambie kulebungeni wamejaa akina nani? Kama alifanya kwa utashi wake mtuambie vyama vya siasa hivi vinaudwa na nani ?

Kama alifanya kwa utashi wake mtuambie kwanini hakuna time huru ya uchaguzi.

Mwacheni alale mwacheni alale maana siku zinakuja huu mchezo manaucheza utakuwa mchezo wa hatari kwa Taifa.

Viongoz mmepewa nchi muongoze acheni kutumia njia ya kufanya character assassination kwa kupata huruma ya kisiasa.

Mtalitesa Taifa na mtaleta shida isio na maana.

Wazee wataifa hili nawakuu wa usalama kemeeni hii kitu mtafanya watu wauwane pasipo sababu za msingi. Hiki knachofanyika ni chuki na visasi. Watoto na familia ya Magufuli hawana Raha ktk Taifa lao baba yao hakujichaguwa kama walimchaguwa akaharibu mbona hawakusema akiwa hai hii sio sawa hata kidogo. Je Tuseme wanao mkashifu ndio walimuuwa? Maana msiwe na mihemko kwenye mambo yanatia ukakasi. Iwe waziri,mbunge au mwana nchi wakawaida anayeona sasa ndio muda wakukashifu marehem same hana ubinadam. Mwacheni alale. Maana hili lina endelea litararuwa umoja wakitaifa nakuligawa hili Taifa vipande vipande kwa ujinga na uchu wa madaraka na sifa za kijinga.

Mh Tundu kama bado unahasira na Magu utakuwa unashida. He is no longer there either is true or false unafanya makosa makubwa sana yakiusalama na kisheria.

Mama mkanye mwanao jamani
huko hakuna kupumzika ndugu
 
apumzike motoni
 
Lissu kiwete mtake mistake ni kiwete, kabaki anajinyea choo Cha kuchuchumaa hakiwezi sasa hivi huyo bwege wenu
Tuachane na siasa, nikuulize tu kama unapanda gari, Bajaj, bodaboda, unatembea kwa miguu barabarani wewe ni kiwete au mfu mtarajiwa,
Hakuna ajuae kesho yake,

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom