Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Wewe si enzi za jiwe ukawa unajifanya usiyejulikana?, Wewe haukumtisha ben saanane wewe?,Hakuna mtu ndani ya system hajuwi Nini kilitokea na Nini kitatokea siku zijazo.
Hayati Magufuli amelala na hawezi rudi kuja kujitetea.
Kama alifanya kwa masilahi yake mtuambie kulebungeni wamejaa akina nani? Kama alifanya kwa utashi wake mtuambie vyama vya siasa hivi vinaudwa na nani ?
Kama alifanya kwa utashi wake mtuambie kwanini hakuna time huru ya uchaguzi.
Mwacheni alale mwacheni alale maana siku zinakuja huu mchezo manaucheza utakuwa mchezo wa hatari kwa Taifa.
Viongoz mmepewa nchi muongoze acheni kutumia njia ya kufanya character assassination kwa kupata huruma ya kisiasa.
Mtalitesa Taifa na mtaleta shida isio na maana.
Wazee wataifa hili nawakuu wa usalama kemeeni hii kitu mtafanya watu wauwane pasipo sababu za msingi. Hiki knachofanyika ni chuki na visasi. Watoto na familia ya Magufuli hawana Raha ktk Taifa lao baba yao hakujichaguwa kama walimchaguwa akaharibu mbona hawakusema akiwa hai hii sio sawa hata kidogo. Je Tuseme wanao mkashifu ndio walimuuwa? Maana msiwe na mihemko kwenye mambo yanatia ukakasi. Iwe waziri,mbunge au mwana nchi wakawaida anayeona sasa ndio muda wakukashifu marehem same hana ubinadam. Mwacheni alale. Maana hili lina endelea litararuwa umoja wakitaifa nakuligawa hili Taifa vipande vipande kwa ujinga na uchu wa madaraka na sifa za kijinga.
Kwanini mnamuandama nakumsema mambo mabaya while alikuwa akitekeleza mawazo na kazi ya wana idara? Je alishika silaha kwenda kuuwa? Je hao waliofanya hayo matukio kwanini wasiletwe tuwaone au serikali kwanini kama kweli wanataka kusema yeye ndie alie fanya hayo mbona hawakamati hao watu au hao watu wanasema wameambiwa ni order ya Hayati hawawataji walio tekeleza unyama huo why waseme mtu alie kufa?
Taifa lina njaa mnatudanganya Magufuli Mungu anawaona
Taifa watu wanahali mbaya mnatudanganya Magufuli
Miradi inasuwa suwa bado mnadanganya ni Magufuli Mungu anawaona.
Bei ya bidha imepanda pia ni Magufuli?
Ni Magufuli ni Magufuli majambaz wameanza tena pia mtasema Magufuli
Kupanda kwa Dola mtasinzia Magufuli...
Mh Tundu kama bado unahasira na Magu utakuwa unashida. He is no longer there either is true or false unafanya makosa makubwa sana yakiusalama na kisheria.
Mama mkanye mwanao jamani
Watu watauana kwa lipi?,